white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Yaani wewe ni ZWAZWA KWELI!!hebu tuletee takwimu za huyo shujaa wenu(mwendazake)makusanyo yalikuwa ni wastani wa trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara ilikuwa ni kama bilioni 700, na kila mwezi, kulipa deni la taifa ni bilioni 500 kila mwezi, haya sasa tuambie hizo pesa nyingine lilikuwa linazitoa wapi, na kukopa hakopi?!la muhimu ni kusema MUNGU FUNDI.Kikwete alikuwa anakopa ili alipe mshahara! Msidanganye watu hapa kikwete watu walikuwa wanapokea mshahara mpaka tarehe 4! Yule bwana alikuwa zungukuku mkubwa sana!