white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Yaani wewe ni ZWAZWA KWELI!!hebu tuletee takwimu za huyo shujaa wenu(mwendazake)makusanyo yalikuwa ni wastani wa trilioni 1.2 kwa mwezi, mishahara ilikuwa ni kama bilioni 700, na kila mwezi, kulipa deni la taifa ni bilioni 500 kila mwezi, haya sasa tuambie hizo pesa nyingine lilikuwa linazitoa wapi, na kukopa hakopi?!la muhimu ni kusema MUNGU FUNDI.Kikwete alikuwa anakopa ili alipe mshahara! Msidanganye watu hapa kikwete watu walikuwa wanapokea mshahara mpaka tarehe 4! Yule bwana alikuwa zungukuku mkubwa sana!
Umefanyaj hesabu hapo mkuu na kwa muda ganiWewe hujui kitu, tulia ! Hata maana ya bilioni huijui!
Angalia kupunguza Tshs.29 tu ya bei ya Lita Moja ya petroli ambapo zitahitajika Tshs.bilioni 100 imebidi Serikali kuomba mkopo WB.
Sasa itakuja kuwa 250 bilioni kila mwezi!!!
Nasisitiza HUJUI KITU, TULIA!
Ww ndo hujaelewa, percentage decrease as salary increasesWe hamnazo kweli pia una chuki binafsi n watumishi, soma vzuri ile barua, wamesema mishahara imeongezwa kwa watumishi wa umma kwa 23.3% ikiwemo kima cha chini.Hapo anamaanisha ombi la tucta la milioni moja na elfu kumi limekataliwa kwahiyo Kila mtumishi basic yake atazidisha kwa 23.3 na kugawa kwa 100%.Pongezi kwa Rais wetu na sio yule Babu yenu.
Naomba uijibu post number 251, tafadhali.Wewe unaelewa?
hatamimi mwenyewe huyu jamaa simuelewagi aisee alipitia njia gani hadi kuwa hapo alipo,nchi hii imeshindwa kutengeneza viongozi wazuri hususani chama cha mapinduzi.ikiwezekana hikichama kingekaa pembeni.Say agin and again! Matokeo ya wenye upeo mdogo kupewa uongozi. Unaambiwa hata Mwingulu eti ni waziri wa fedha na mambo ya uchumi! Kweli hatujipendi!
Kenya hawajaongeza kwa zaidi ya miaka 3 ndo mwaka huu wameongezaKwanza Kenya wamekuwa wakiongeza almost Kila mwaka. Kwa miaka mitatu tu wameshaongeza kwa uchache zaidi ya 40% sisi kwa miaka 7 ni 23.3%
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Soma katiba mkuu, unashangaa ameingiaje hahahahhatamimi mwenyewe huyu jamaa simuelewagi aisee alipitia njia gani hadi kuwa hapo alipo,nchi hii imeshindwa kutengeneza viongozi wazuri hususani chama cha mapinduzi.ikiwezekana hikichama kingekaa pembeni.
Inapaswa kabla ya kupandisha mishahara serikali iangalie namna ya kupunguza inflationUkisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii.
Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya maendeleo katika Nchi yetu kasoro watu wenye maarifa na taasisi imara.
Hata watu wachache wenye maarifa tulionao pia wana maarifa yaliyopitwa na wakati (obsolete) au waliyo karirishwa tu! Tunaweza kusema maarifa yao hayo ni USELESS KNOWLEDGE tu.
Nchi bila uzalishaji na kuingiza Nguvu kazi kubwa katika uzalishaji ili kuongeza tija ni kazi bure tu.
Viongozi wetu na wachumi wetu waliwasoma akina Adam Smith kwenye THE WEALTH OF NATIONS kwa ajili ya kukariri kujibia mitihani tu!
Watu wetu hata wasomi wakubwa hawajui kutafsiri hata vitu basic kabisa!
Watu wanaambiwa kima cha chini la Mshahara kimeongezeka kwa asilimia 23.3% ,wao wanakimbilia Rais ameongeza Mishahara kwa asilimia 23.3% ( akili za Ki- Mwijaku Mwijaku)!
Jiulize kwanza kama Mishahara itaongezwa kwa asilimia 23.3% yote ,Wage Bill yetu itakuwa Shilingi ngapi?!
Wage Bill ikifika bilioni 900 kwa mwezi na madeni tunayolipa kwa mwezi ni bilioni 900 wakati Mapato yetu kwa mwezi Trilioni 1.5 ( bilioni 1500) Nchi itakwendaje?!
Ukitaka kujua Nchi hii ina tatizo kubwa katika Wealth Creation angalia utitiri wa tozo katika mafuta!
Kwahiyo ukifuatilia sasa mjadala ni asilimia 23.3% ya ongezeko la Mishahara ni kwa kima cha chini pekee au Mishahara yote!
katiba hahahahaaaaaa...........hivikweli nchi hii tunaongonza na katiba kweli au? au sijakuelewa vile!Soma katiba mkuu, unashangaa ameingiaje hahahah
Serikali ilishaonesha vyanzo vya mapato Bungeni wakati inawasilisha taarifa ya ukomo wa bajeti..Upo karibu naye mshtue. Huwezi kusimama ukawaambia wananchi wa USA, UK Sweden, nchi yoyoye inayojitambua nitaongeza hivi bila kusema vitatoka wapi? Watakutoa serikalini siku hiyo hiyo. Everything must, need to be costed.
Hivi balance sheet yetu ya TZ ikoje? kikaratasi cha kuonyesha mapato, matumizi, assets, liabilities, mikopo. Uwiano wa mapato matumizi, mikopo umekaaje?
Hili ni swali au jibu? Au haukuwa na macho ya kuona?Roho mbaya imekujaa...
Wafanyakazi walipokaa miaka 7 Bila kuongezewa Chochote Ndio maendeleo yalikuja??
Umeona eeeeh!Haka ka 23.3% kanatoa watu roho! Kuna watu watakufa kwa pressure kisa wenzao wamefutwa vichozi !! Elewa kama hujapata wewe shangazi yako atapata...!!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Inawezekana wale wanaopokea kimya Cha chini ndo wameongezewa izo asilimia ila kadri unavyopanda juu asilimia zinapungua
vipi wafanya kazi wa secta binafsi jombaaa? maana mnazoza tuu wafanya kazi wa uma umaa vipi wasecta binafsi?secta iliyobeba wafanya kazi kuliko hata huko selikarini au? au wanaopiga kula ni wauma biafsi hawapigagi kula auKwa hiyo Ujafuraishwa Wafanyakazi wa Umma Kuongezewa Mshahara?Kila Kitu Kimepanda Nae ni binadam atamudu vipi gharama za maisha bila kupata pay raise?Em tupunguze husda. Jambo Lililomshinda JPM for 7yrs Mama kaliweza Kwanini Msimpongeze hata kidgo. The Gang Tulieni.