Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

Umeandika ujinga tupu, hao watumishi hawafanyi kazi ya kanisa, wanastahili kupata kipato Cha kuwafanya waendeleze maisha yao, na kipato hicho kitaingia mtaani na kitazunguka na serikali itapata faida
Tatizo moja tu kwako, wewe unatetea na mwenzako kaandika fact na hoja zenye nguvu!

Tumia vema ubongo na hata kama ni kweli umeongezewa mshahara,
 
Ili wage bill increment hiyo ya kuwalipa wafanyakazi ipatikane, serikali inahitaji kufanya yafuatayo:
✓ Punguza matumizi serikalini
• Punguza mishahara ya mawaziri
• Punguza ununuzi wa magari ya kifahari

✓ Punguza matumizi bungeni
• Wabunge punguza mishahara yao na posho
• Punguza expense unnecessary kwa wabunge

✓ Serikali izuie mianya yote ya wizi wa hela serikaln
• Bunge litunge sheria na kiundwe chombo huru cha kufuatilia matumizi ya serikali na sheria hizo zilenge kuwajibisha yeyote akiwapo raisi endapo atafuja hela, ashitakiwe kwa kesi isiyo na dhamana.

✓ Bana kodi, wote wakwepa kodi waanza kulipa kodi bila kuchekeana, akiwepo "muzee" naye alipe kodi kwenye biashara zake kubwa.

Nakuhakikishia itapatikana hela mpaka chenji zitabaki ya kuwaongezea zaidi waalimu wa shule za msingi posho n.k
 
Kwa akili ndogo unaweza gundua ili kama mapato yetu kabla ya ongezeko la mishahara ni trilioni 1.5.... ni wazi kuwa baada ya ongezeko hata mapato ya nchi yanaweza kuongezeka kwa kiasi kadhaa.
 
Hivi miaka yote serikali ilipokua inaongeza mishahara ilipunguza hayo matumizi?
 
Bei ya weze hatuna uwezo wa ku control kama nchi.

Watu wapeww mishahara mizuri mzunguko wa hela uongezeke mitaani, ma house boy tuwaongezee pesa na house girls, tuwe na shughuli mbadala za kufanya tulipe kodi serikali ipate mapato
 

100% uko sawa.
 
Tatizo moja tu kwako, wewe unatetea na mwenzako kaandika fact na hoja zenye nguvu!

Tumia vema ubongo na hata kama ni kweli umeongezewa mshahara,
Hapo hakuna fact yoyote,anajaza servers za JF tu
 
Iko hivi!

 
Eti mtu anashangilia kuongezeka kwa 23% this is pure poverty mentality.
Tujadili ni namna gani
1) tutabana matumizi ya serikali
2) dhibiti upotevu wa fedha Report ya CAG
3) kuongeza mapato ya nchi
4) kusbsidize hudumu muhimu
5) kupunguza inflation
 
Utopia mlisoma shule gani?
 
Wajuaji mko wengi ila mko weupe kichwani Sana..
 
Eti mtu anashangilia kuongezeka kwa 23% this is pure poverty mentality.
Tujadili ni namna gani
1) tutabana matumizi ya serikali
2) dhibiti upotevu wa fedha Report ya CAG
3) kuongeza mapato ya nchi
4) kusbsidize hudumu muhimu
5) kupunguza inflation
Leta mapendekezo yako juu ya ulicho andika
 
Eti mtu anashangilia kuongezeka kwa 23% this is pure poverty mentality.
Tujadili ni namna gani
1) tutabana matumizi ya serikali
2) dhibiti upotevu wa fedha Report ya CAG
3) kuongeza mapato ya nchi
4) kusbsidize hudumu muhimu
5) kupunguza inflation
Maneno ya wakosaji 😆😆
 
Kwani hizi hela wafanyakazi wataweka kwenye sandarusi makwao???
 
Wewe ambaye hukukariri unataka kujiendesha kwa kuiga mambo hovyo hovyo bila kujua madhara yake iwapo role model yako ni Turkey. Huyo jamaa Ergodan kapandisha mishahara hiyo kwa sababu za kisiasa tu, siyo kwa sababu za kiuchumi. Yeye ni mtawala mmoja corrupt sana ambaye yuko madarakani kwa mabavu tu na anabana sana vyama vya upinzani. Ingawa uchumi wa Turkey siyo mbaya, lakini kutokana na corruption kuna fedha nyingi sana mitaani inayosababisha inflation iwe juu sana. Wakati anapandisha mishahara hiyo kwa kudai kuwasaidia wafanyakazi kutokana na inflation ambyo wakati huo ilikuwa 54%, ndipo inflation ikapanda zaidi na sasa hivi ni 70%. Kama huo ndio mfano unaiga, basi bado tuna safari ndefu sana. Turkey imekataliwa kuingia kwenye European Union kwa sababu hiyo.
 
I hope unalipwa
 
Kilaza wakati mwingine unakuwa timamu sana. Hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…