Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

Mbna unaweweseka hiv????kwan ce tunakula hyo mirad????
 
Hv ni nan aliekuwa na huo uwezo mkubwa????
 
Mkapa alijenga mabarabara na alikuwa anaongeza mishahara, kikwete pia, na sio jukumu la mtumishi wa umma kutolipwa mshahara sahihi ili barabara zijengwe, mtumishi kaenda pale kupata stahiki yake sahihi. Hata Kuna msemo kwamba Roma haikujengwa siku moja, Kila zama itatimiza wajibu wake, mtumishi wa Sasa huwezi mbebesha mzigo wa barabara za miaka 100 ijayo, na wao watafanya sehemu yao
 
Kwa ivyo unapambana na inflation ambayo chanzo chake mafuta kwa kuongeza mishahara.

Wakati wakandarasi washaanza kulalamika gharama za kutekeleza miradi zimeongeka kwa sababu ya kupanda kwa mafuta, hiyo inakwenda kuongeza gharama za serikali kwenye kulipia miradi.

Mishahara inaenda kuongeza gharama za admin costs za serikali.

Bei za bidhaa zimepanda maradufu kwenye kila kitu ongezeko la mishahara italeta unafuu kiasi lakini fall in government collection zitakuwepo tu ambazo unategemea kulipia hiyo nyongeza ya mishahara.

Kutokana na hiyo vicious circle ndio maana kila nchi duniani inapambana na bei ya mafuta kwa sababu ndio tatizo la msingi.

Hili sakata la kupambana na inflation mtu ambae kalitolea majibu mazuri ni Zitto nadhani ile ndio direction sahihi.

Hili la kuongeza mishahara ni kujichimbia shimo zaidi na kuacha agenda muhimu. Ufungui nchi kwa kuzurura bali unafungua nchi kwa kuweka easy access ya watu kuweza kuwekeza popote na accesss za kufikia masoko kirahisi au bandari kama ni for exportation.

Swala la uwekezaji wa miundombinu ni chungu lakini hakuna shortcut hakuna nchi duniani iliyokuwa bila ya kufungua access za sehemu mbalimbali nchini kwake; ukisoma historia ya US ni interconnection ya railway ndio iliyopaisha uchumi, ukienda UK canals na baadae railway na nchi nyingine nyingi ni mabarabara; hakuna uchumi unaokuwa bila ya interconnection ya kufikia masoko kirahisi.

Swala hapa kupanga ni kuchagua agenda yako ya kitaifa ya muda mrefu ni nini; sera za awamu ya tano zilikuwa za muda mrefu na maendeleo yanataka sacrifice.

Ni bora utumie tsh1 kupambana na inflation kwa ku stabilise bei ya mafuta which you know is a temporary measure kuliko ujiongezee full time commitments za tsh2 trillion kila mwaka wakati mapato yenyewe wasiwasi.
 
Kama ni shabiki wa formula1 racing basi unaelewa ule mfumo wa tyre choices ni kama ukuaji wa uchumi na infrastructures investment.

Kwenye race ukiweka hard tyres utaenda polepole lakini utafika mbali ivyo kukupunguzia pit stops.

Ukiweka soft tyres utaenda kasi lakini ufiki mbali ndio maana mara nyingi wanazitumia kwenye qualification tu.

Jamaa anaweza kuwa mbele yako sekundu 20 ukienda kuweka new tyres especially soft au medium unamkata kama kuna laps za kutosha zimebaki.

Same thing kwenye infrastructure project na ukuaji wa uchumi unataka kukua kwa kasi gani ya haraka ndio utakavyowekeza kwa kasi sambamba na infrastructures projects.

Mtu anaweza jenga kiwanda kikubwa Shinyanga kwa target za Tabora, Geita, Musoma, Bukoba na Mwanza kwa sababu kuna easy access ya kufikia masoko yake huko na kwa gharama nafuu. Na uwekezaji unaenda sambasamba na kutengeneza ajira na ongezeko la makusanyo kwa serikali.

Ni hivi ili kuchangamsha Tanzania kiuchumi miradi ya infrastructures sio luxury ni lazima; na kwa hatua za hii serikali inayojiita ya awamu ya hiyo miradi itasimama kwa sababu wanajipa commitment kubwa za kuongeza gov admin expenses badala ya kuangalia bigger picture.
 
👏👏👏
 
Kwani hiyo miradi mikubwa magufuli alikua anatumia fedha za ndani au mikopo?
 
S
Tumekusikia katibu mkuu hazina
 

ili nchi inayoendelea ipige hatua inahitajika Kufanya Developmental expenditures nyingi (Miradi ambayo italeta faida kwenye long run) na sio kuzidisha recurring expenses (wages & salaries) ambazo hazina tija sana in a long run

knowledge ya kawaida tu, kama kijana wa kawaida nlivyoskia hivyo nkashangaa considering hali ya uchumi ya sasa “God have mercy on us”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…