Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba waongezwe ili mimi mjasiriamali nipate hicho kidogo.Usiposhukuru kidogo hata upigwe makofi bado hautaelewa sababu.Roho mbaya imekujaa...
Wafanyakazi walipokaa miaka 7 Bila kuongezewa Chochote Ndio maendeleo yalikuja??
Something has to give ndio mwisho wa miradi mikubwa ya barabara na other necessary infrastructure za kuchochea uwekezaji maeneo yote ndani ya Tanzania.
Hawa ni short sighted sio nation builders wapo kwa sababu ya kupigiwa makofi sio kuangalia Tanzania ya kesho.
Well kupanga ndio kuchagua, wanajibebesha majukumu based on optimistic scenario which usually highly unlikely ya kukuwa kwa mapato.
It is not rocket science kuona matatizo waliyoamua kujitwisha ili kufurahisha kadamnasi nadhani Tanzania ndio nchi pekee iliyoingeza mishahara wakati dunia nzima ina pambana na kushusha inflation with subsidising policies bei ya bidhaa ziwe stable.
Ndugu mtoa mada una point ya msingi ingawa bahati mbaya mada yako imevamiwa na waimba ngonjera.......lakini kimantiki hili ongezeko halipatani na uhalisia....nadhani ni muendelezo wa wanasiasa wa nchi kujiandalia mazingira ya uchaguzi ujao......bila kuangalia matokeo ya maamuzi yao.......haya ni moja ya matokeo ya kuwapa nafasi ya kufanya maamuzi watu wenye uwezo mdogo wa akili kwa niaba ya taifa kwa ujumla......
Mkapa alijenga mabarabara na alikuwa anaongeza mishahara, kikwete pia, na sio jukumu la mtumishi wa umma kutolipwa mshahara sahihi ili barabara zijengwe, mtumishi kaenda pale kupata stahiki yake sahihi. Hata Kuna msemo kwamba Roma haikujengwa siku moja, Kila zama itatimiza wajibu wake, mtumishi wa Sasa huwezi mbebesha mzigo wa barabara za miaka 100 ijayo, na wao watafanya sehemu yaoSomething has to give ndio mwisho wa miradi mikubwa ya barabara na other necessary infrastructure za kuchochea uwekezaji maeneo yote ndani ya Tanzania.
Hawa ni short sighted sio nation builders wapo kwa sababu ya kupigiwa makofi sio kuangalia Tanzania ya kesho.
Well kupanga ndio kuchagua, wanajibebesha majukumu based on optimistic scenario which usually highly unlikely ya kukuwa kwa mapato.
It is not rocket science kuona matatizo waliyoamua kujitwisha ili kufurahisha kadamnasi nadhani Tanzania ndio nchi pekee iliyoingeza mishahara wakati dunia nzima ina pambana na kushusha inflation with subsidising policies bei ya bidhaa ziwe stable.
Sawa tu kuliko jiwe lenu lilikaa miaka 7 bila hata 1% nyongeza, roho mbaya tu, Sasa imemfikisha wapi?
Alipoacha kutangaza ongezeko la Mishawaka Mei mosi mliongea na Sasa ametangaza mnaongea .Kenge Nyie.
Kwa ivyo unapambana na inflation ambayo chanzo chake mafuta kwa kuongeza mishahara.Usijoangalie wewe,angalia pia vitu vimepanda bei-malalamiko yote haya ni kutokana na vipato vya watu kuwa vidogo ndio maana unaona kelele nyingi ya vitu kupanda bei.So,sote tunajua the only solution to that ni kuongeza fedha mtaani ili watu waanze kufanya production.
Kama Serikali una njia 2 za kuweka hela kwenye mzunguko ni either utekeleze miradi ambayo itakayopeleka hela kwa watu au uongeze mishahara.Kumbuka 80% ya miradi yetu Wakandarasi ni wa nje hivyo fedha zote ukizotoa kwenye hiyo miradi zinahama kwenda Nchi zingine na huku fedha za ongezeko LA mishahara mostly zitaenda kwenye shughuli nyingi zinazomilikiwa na wazawa.
kuongoza kazi sana
ukiongeza mishahara wanapinga
usipoongeza pia wanapinga
Kama ni shabiki wa formula1 racing basi unaelewa ule mfumo wa tyre choices ni kama ukuaji wa uchumi na infrastructures investment.Mkapa alijenga mabarabara na alikuwa anaongeza mishahara, kikwete pia, na sio jukumu la mtumishi wa umma kutolipwa mshahara sahihi ili barabara zijengwe, mtumishi kaenda pale kupata stahiki yake sahihi. Hata Kuna msemo kwamba Roma haikujengwa siku moja, Kila zama itatimiza wajibu wake, mtumishi wa Sasa huwezi mbebesha mzigo wa barabara za miaka 100 ijayo, na wao watafanya sehemu yao
👏👏👏Kama ni shabiki wa formula basi ule mfumo wa tyre choices ni kama ukuaji wa uchumi na investment.
Ukiweka hard tyres utaenda polepole lakini utafika mbali.
Ukiweka soft tyres utaenda kasi lakini ufiki mbali
Jamaa anaweza kuwa mbele yako sekundu 20 ukienda kuweka new tyres soft au medium unamkata kama kuna laps za kutosha zimebaki.
Same thing kwenye infrastructure project na ukuaji wa uchumi unataka kukua kwa kasi gani kwa haraka.
Mtu anaweza jenga kiwanda kikubwa Shinyanga kwa target za Tabora, Geita, Musoma, Bukoba na Mwanza kwa sababu kuna easy access ya kufikia masoko ya huko.
Ni hivi ili kuchangamsha Tanzania kiuchumi miradi ya infrastructures sio luxury ni lazima; na kwa hatua za hii serikali itasimama kwa sababu wanajipa commitment kubwa za kuongeza gov admin expenses badala ya kuangalia bigger picture.
Kwani hiyo miradi mikubwa magufuli alikua anatumia fedha za ndani au mikopo?Something has to give ndio mwisho wa miradi mikubwa ya barabara na other necessary infrastructure za kuchochea uwekezaji maeneo yote ndani ya Tanzania.
Hawa ni short sighted sio nation builders wapo kwa sababu ya kupigiwa makofi sio kuangalia Tanzania ya kesho.
Well kupanga ndio kuchagua, wanajibebesha majukumu based on optimistic scenario which usually highly unlikely ya kukuwa kwa mapato.
It is not rocket science kuona matatizo waliyoamua kujitwisha ili kufurahisha kadamnasi nadhani Tanzania ndio nchi pekee iliyoingeza mishahara wakati dunia nzima ina pambana na kushusha inflation with subsidising policies bei ya bidhaa ziwe stable.
Tumekusikia katibu mkuu hazinaUkisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii.
Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya maendeleo katika Nchi yetu kasoro watu wenye maarifa na taasisi imara.
Hata watu wachache wenye maarifa tulionao pia wana maarifa yaliyopitwa na wakati (obsolete) au waliyo karirishwa tu! Tunaweza kusema maarifa yao hayo ni USELESS KNOWLEDGE tu.
Nchi bila uzalishaji na kuingiza Nguvu kazi kubwa katika uzalishaji ili kuongeza tija ni kazi bure tu.
Viongozi wetu na wachumi wetu waliwasoma akina Adam Smith kwenye THE WEALTH OF NATIONS kwa ajili ya kukariri kujibia mitihani tu!
Watu wetu hata wasomi wakubwa hawajui kutafsiri hata vitu basic kabisa!
Watu wanaambiwa kima cha chini la Mshahara kimeongezeka kwa asilimia 23.3% ,wao wanakimbilia Rais ameongeza Mishahara kwa asilimia 23.3% ( akili za Ki- Mwijaku Mwijaku)!
Jiulize kwanza kama Mishahara itaongezwa kwa asilimia 23.3% yote ,Wage Bill yetu itakuwa Shilingi ngapi?!
Wage Bill ikifika bilioni 900 kwa mwezi na madeni tunayolipa kwa mwezi ni bilioni 900 wakati Mapato yetu kwa mwezi Trilioni 1.5 ( bilioni 1500) Nchi itakwendaje?!
Ukitaka kujua Nchi hii ina tatizo kubwa katika Wealth Creation angalia utitiri wa tozo katika mafuta!
Kwahiyo ukifuatilia sasa mjadala ni asilimia 23.3% ya ongezeko la Mishahara ni kwa kima cha chini pekee au Mishahara yote!
Kama ni shabiki wa formula basi ule mfumo wa tyre choices ni kama ukuaji wa uchumi na investment.
Ukiweka hard tyres utaenda polepole lakini utafika mbali.
Ukiweka soft tyres utaenda kasi lakini ufiki mbali
Jamaa anaweza kuwa mbele yako sekundu 20 ukienda kuweka new tyres soft au medium unamkata kama kuna laps za kutosha zimebaki.
Same thing kwenye infrastructure project na ukuaji wa uchumi unataka kukua kwa kasi gani kwa haraka.
Mtu anaweza jenga kiwanda kikubwa Shinyanga kwa target za Tabora, Geita, Musoma, Bukoba na Mwanza kwa sababu kuna easy access ya kufikia masoko ya huko.
Ni hivi ili kuchangamsha Tanzania kiuchumi miradi ya infrastructures sio luxury ni lazima; na kwa hatua za hii serikali itasimama kwa sababu wanajipa commitment kubwa za kuongeza gov admin expenses badala ya kuangalia bigger picture.
Subirini malaika kutoka mbinguni waje kuwatawala.Say agin and again! Matokeo ya wenye upeo mdogo kupewa uongozi. Unaambiwa hata Mwingulu eti ni waziri wa fedha na mambo ya uchumi! Kweli hatujipendi!