Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Endelea kuandika nadharia zako wakati wenzio wanakunja 23%. Haya mawazo ya KIFALA sana na ndiyo alikuwa nayo yule DIKTETA wa Chato.

Hebu tupisheni tunajuwa tutapata wapi hizo fedha za kuwalipa wafanyakazi
 
Wakati JK anakusanya mapato ya kila mwezi billion 800 na kulipa mishahara bilioni 700 aliwezaje, mwendazake aliwaingizia matope vichwani mwenu
 
Vitabu vitakupeleka watu hayo ni mawazo ya watu uko too theoretically wala sijasoma najua umeandika utumbo ungekuwa mwana uchumi ungegundua hata vocha Kaa wa kutulia walioamua wanajua zaidi ya wewe
 
Maneno mengi lkn PUMBA tupu
 
mnaoponda wafanyakazi kuongezewa mshahara mnamioyo ya korosho na ya kichawi mlifurahi sana kipindi Cha miaka SITA bila nyongeza ya mshahara nyambafuu mtakula hizo Barabara zenu mnazotaka zijengwe

Na inflation inasemaje huko vs ongezeko la mshahara kwa watumishi? Halafu msifikir ni watumishi wa serikali tu ambao hawafiki hata laki tano ndio wenye wako entitled na hii nchi.
 
Hata ikiongezeka sh 100 inatosha as long as imeongezeka
 
Mkuu
Mi Binafsi sioni tena kutangazwa bkwa miradi ile mikubwa ya kimkakati!
Sijui nini kumetokea hadi sasa!
NAJIULIZA
Mwenye majibu naomba!!
Tulipokuwa na miradi mikubwa ya kimkakati wewe ilikusaidia nini?
Wacha mama apunguze makali ya maisha ya watu
Tunataka maendeleo ya watu na si ya vitu
 
Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya maendeleo katika Nchi yetu kasoro watu wenye maarifa na taasisi imara.
Mkuu 'Fumadilu Kalimanzila', huo mstari huo ndio unaotuua kabisa Tanzania.

"...watu wenye maarifa na taasisi imara."

Binafsi, naamini kwa dhati ya moyo wangu wote, kwamba "watu wenye maarifa" wapo, labda kama unayo maana nyingine ya watu hawa. Kinachokosekana ni uongozi wenye uwezo wa kuwapanga vizuri watu hawa wayartumie vizuri maarifa yao kwa faida yao na nchi yao.

Nitakupa mfano: leo hii tunalilia wawekezaji waje kutoka Malaysia waje hapa kuwekeza ili tupate mafuta ya kula (mawese?). Tunawakimbilia hawa Malaysia kwa sababu wao walikuja kuchukua mbegu hapa za michikichi, wakaenda kwao na kutumia maarifa yao na kuwa wazalishaji wazuri wa zao hilo. Hawa hawakwenda kutembea duniani kutafuta watu waende kuwafanyia walichoweza kufanya wao wenyewe.

Huu ni mfano mmoja tu tena rahisi sana kuuelewa; lakini ni mmoja kati ya mengi ambayo sisi tunashindwa kuyafanya kwa maarifa yaliyopo hapahapa, lakini tunasubiri kwenda kutafuta maarifa huko nje. Hii ni kukosa uongozi wa kusimamia vyema kuwaongoza wananchi wafanye kazi zao kwa maarifa waliyonayo kwa ufanisi.

Nisikuchoshe, lakini yapo mengi yanayoumiza roho kuona jinsi nchi yetu hii inavyozidi kudidimia.
 
Hapo mwisho ungeweka alama ya kuuliza tungekusaidia ila hatujui kama ni swali au masikitiko
 
Naona mfanyishwa kazi unafurahia tangazo na unachukia ukweli wa tangazo.
Sasa sikiliza wewe mfanyishwa kazi, alichoeleza mleta mada ni kwamba ongezeko hilo haliwezekani. Maana pato jumla la mwezi ni dogo kuliko mahitaji jumla ya mwezi.
EEeeeeHeeee!

Umesahau, si watakwenda kukopa?

Wanakutangazia kila siku hapa kwamba bado tunao uhimilivu wa kukopa! EEeeeHEeeHeee!
 
7. Mahindi
8. Mchele
9. Nyama/kuku/ng'ombe/mbuzin.k.
10. Maziwa
11. Samaki

Ni watu gani wasioweza kufanikisha haya kama viongozi watakuwepo wa kuwajibika kwa wananchi kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Mbona mahindi na mchele miaka ya hivi karibuni imewezekana, si ni waTanzania hao hao wanaofanya haya, kwa nini hayo mengine washindwe hadi twende kulilia watu wa nje waje hapa kutufanyia kazi hizi.

Na si hayo tu yanayohusika na kilimo na ufugaji, yapo maeneo mengi sanna ambayo wananchi wapo tayari kabisa kuyafanya kwa ufanisi, hata ya uzalishaji wa viwandani, wapo.
 
Umeandika ujinga tupu, hao watumishi hawafanyi kazi ya kanisa, wanastahili kupata kipato Cha kuwafanya waendeleze maisha yao, na kipato hicho kitaingia mtaani na kitazunguka na serikali itapata faida
Kwa taarifa yako Watumishi wengi hawana fedha kwani fedha zao zinabaki Bank walishazikopa.
 

Tulijua mtakuja tu na theory zenu....!
 
Sisi tubakuwa brainwashed kwamba utalii ni muhimu kuliko ng'ombe wetu. Upumbavu wa hali ya juu. Tunaambiwa wine ya Uholanzi ni bora kuliko yetu. Kama ni bora, kwanini tusifanye initiative za kuboresha?
Eti samani za nje ni bora kuliko vya kwetu wakati havikai hata robo mwaka, vya kwetu vunadumu.
Waswahili ni watu wajinga sana.
Hatuoni kabisa kwamba uzalishaji wa ndani ndio utakuza uchumi wetu?
Hatuoni kilimo kwanza kikivyotuokoa kwenye aibu ya njaa na kuletewa mahindi ya njano(yanga)?
Tuondoe aibu pia katika uzalishaji wa ngano, maziwa, alizeti na michikichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…