TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Watu wa kulalamika kwa kila Jambo litendwalo na Serikali hataisha.Yaani Serikali imeamsha ari kwa wafanyakazi wake lakini BADO Kuna watu hawaoni jitihada hiziHahaha unajua kuna mambo unaweza kutazama unabaki kucheka tu unajiuliza hii watu wanafanya siasa au ni kweli ndio uwezo wao wa kufikiri!!!?....sisi waafrica tuna ulemavu wa akili hayo ni maumbile mkuu.
Sisi hatufanani kabisa na aina nyingine za binadamu ni hivyo tu ukisema unaweza onekana sio.