Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Naona ndo KUB!Mpuuzi wewe, Ndugai ni mpinzani?
Akili zikiisha unaishiwa hata hoja za maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ndo KUB!Mpuuzi wewe, Ndugai ni mpinzani?
hatari tupuNaona ndo KUB!
Akili zikiisha unaishiwa hata hoja za maana.
Wapinzani wa CCM ni CCM wenzenu hata siyo Chadema. Tena wana hasira kuliko kambi rasmi ya upinzani.Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.
Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.
Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Lakini haka ka mkopo si ni pesa za mkupuo? Kuliko kukusanya tozo ambazo zingechukua muda mrefuSwala la kujenga madarasa halihitaji mkopo.
Hatukua na ulazima wa kulilia fedha za korona ambayo tulishasema haipo tena fedha zenyewe tutakuja lipa huko mbeleni kujenga madarasa wakati serikali ilishatuambia kuwa kazi ye fedha za tozo moja wapo itakua hiyo kujenga madarasa.
Sasa mkija na habari kuwa madarasa yamejengwa kwa fedha za mkopo mnatengeneza tatizo jingine la kuhutajika kutoa maelezo ya namna gani fedha za tozo zitumika.
We jamaa huna akili kabisa,yaani unafurahi kabisa,wazungu walipe Kodi harafu Kodi zao ziletwe zijenge shule kwa ajiri ya mtoto wako!!?Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.
Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.
Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Tena Rais akampa Mzee Mwinyi Benzi jipya kabisa ila fedha za kujenga madarasa wanakopa.We jamaa huna akili kabisa,yaani unafurahi kabisa,wazungu walipe Kodi harafu Kodi zao ziletwe zijenge shule kwa ajiri ya mtoto wako!!?
Madini yote,gesi yote,wanyama wote na rasilimali zote tulizo nazo tunafanyia nini?
Serikali inatumia mabilioni ya pesa kujenga Ikulu na makazi ya waziri mkuu,kununua magari!! Lakini hawana pesa za kujenga madarasa na vyoo kwenye mashule!
Hizi ni akili matope?
Za umatagaStress za nini?
acha kuwa mjinga wewe. hayo madarasa na wanfunzi walioongezeka kwa wingi wanaenda sawa na idadi ya walimu.Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.
Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.
Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Benzi jipya ni hela ya ujenzi wa vyoo viwili vya shule, ndugu mpinzani😂🤣Tena Rais akampa Mzee Mwinyi Benzi jipya kabisa ila fedha za kujenga madarasa wanakopa.
Ndugai ni mpinzani?Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.
Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.
Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Aione Job kwenye jalada.Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.
Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.
Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Acha unafiki aliyeongelea suala la mikopo Ni Speaker wa bunge Job Dungai. Tena akasema juzi hapa mama ameenda kukopa. Yani kamlenga Rais mwenyewe lakini kwa unafiki wako mzigo unawarushia upinzani. Kwenye ukweli useme ukweli usipindishe kisa Ndugai atakukasirikia. Pia umesema Upinzani wanajaza matumbo. Hivi Kati ya CCM na upinzani Nani anayejaza matumbo. Serikali ya CCM inakusanya tozo za lazima, inakata Kodi na bado inakopa kwa Kasi mpaka hatari ya nchi kupigwa mnada imeonekana na wana CCM wenyewe. Acha kuubebedha upinzani mzigo usio kuwa wake.Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.