Tanzania haina wapinzani bali wajaza matumbo. Tatizo la uhaba wa madarasa limetatuliwa; mnalalama nini kihusu mikopo?

Watu wameanza kuchanganyikiwa hapa, watu waparulane wenyewe ndani ya chama chao wanaosemwa ni wapinzani wa nje.
 
Yule mgogo mlimkera toka awali, alisema mgao uangaliwe vema, haiwezekani jimbo langu lina wakazi zaidi ya milioni na eneo kubwa tupate sawa na jimbo la watu laki mbili, pili ukitafsiri zaidi hamna mbara aliyelidhika 20%ya 1.3T iende Zenji. Kwa maana hiyo hiyo ndugai ajaridhika ndio maana anaona hakukuwa na sababu ya kukopa, kama madarasa tayari tulipitisha tozo kwa lazima, sasa mkopo wa nini, halafu mnakopa mnapigia makofi!
 
Nashangazwa na mtu ambaye hajui thamani ya upinzani mpaka leo. Maendeleo hayaweazi kuja kama hakuna upinzani, kuanzia kwenye siasa mpaka kwenye biashara. Upinzani unachochea tija na uvumbuzi.
 
Swala la kujenga madarasa halihitaji mkopo.

Hatukua na ulazima wa kulilia fedha za korona ambayo tulishasema haipo tena fedha zenyewe tutakuja lipa huko mbeleni kujenga madarasa wakati serikali ilishatuambia kuwa kazi ye fedha za tozo moja wapo itakua hiyo kujenga madarasa.

Sasa mkija na habari kuwa madarasa yamejengwa kwa fedha za mkopo mnatengeneza tatizo jingine la kuhutajika kutoa maelezo ya namna gani fedha za tozo zitumika.
 
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.

Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.

Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Wapinzani wa CCM ni CCM wenzenu hata siyo Chadema. Tena wana hasira kuliko kambi rasmi ya upinzani.
 
Swala la kujenga madarasa halihitaji mkopo.

Hatukua na ulazima wa kulilia fedha za korona ambayo tulishasema haipo tena fedha zenyewe tutakuja lipa huko mbeleni kujenga madarasa wakati serikali ilishatuambia kuwa kazi ye fedha za tozo moja wapo itakua hiyo kujenga madarasa.

Sasa mkija na habari kuwa madarasa yamejengwa kwa fedha za mkopo mnatengeneza tatizo jingine la kuhutajika kutoa maelezo ya namna gani fedha za tozo zitumika.
Lakini haka ka mkopo si ni pesa za mkupuo? Kuliko kukusanya tozo ambazo zingechukua muda mrefu
 
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.

Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.

Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
We jamaa huna akili kabisa,yaani unafurahi kabisa,wazungu walipe Kodi harafu Kodi zao ziletwe zijenge shule kwa ajiri ya mtoto wako!!?
Madini yote,gesi yote,wanyama wote na rasilimali zote tulizo nazo tunafanyia nini?
Serikali inatumia mabilioni ya pesa kujenga Ikulu na makazi ya waziri mkuu,kununua magari!! Lakini hawana pesa za kujenga madarasa na vyoo kwenye mashule!
Hizi ni akili matope?
 
Tena Rais akampa Mzee Mwinyi Benzi jipya kabisa ila fedha za kujenga madarasa wanakopa.
 
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.

Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.

Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
acha kuwa mjinga wewe. hayo madarasa na wanfunzi walioongezeka kwa wingi wanaenda sawa na idadi ya walimu.
kama walimu hawaajiriwi ni kupoteza muda na hiyo midarasa haina maana yoyote. ujinga sana. wanafunzi zaidi ya elfu walimu wa hesabu wawili na bado wanafunzi mwaka januari wataongezeka kwakuwa madarasa yapo mengi lakini unaona kuna dalili ya upandaji wa kiwango kizuri cha elimu?
 
Tena Rais akampa Mzee Mwinyi Benzi jipya kabisa ila fedha za kujenga madarasa wanakopa.
Benzi jipya ni hela ya ujenzi wa vyoo viwili vya shule, ndugu mpinzani😂🤣
 
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.

Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.

Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Ndugai ni mpinzani?
Nape ni mpinzani?
Hetu tuambie ni mpinzani gani kaongelea mikopo siku za hivi karibuni tofauti na wanaccm wenzako ambao mgao unawapita kushoto?
Pili, mlituambia kuwa tunatkatwa tozo kwenye miamala ya simu ili tujenge madarasa, sasa iweje tena mtuambie kuwa mikopo ni kwa ajili ya kujenga madarasa?
 
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.

Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.

Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Aione Job kwenye jalada.
 
Ndio umejua leo!! Ni wachumia tumbo tu kama ccm.
 
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.

Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.

Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?
Acha unafiki aliyeongelea suala la mikopo Ni Speaker wa bunge Job Dungai. Tena akasema juzi hapa mama ameenda kukopa. Yani kamlenga Rais mwenyewe lakini kwa unafiki wako mzigo unawarushia upinzani. Kwenye ukweli useme ukweli usipindishe kisa Ndugai atakukasirikia. Pia umesema Upinzani wanajaza matumbo. Hivi Kati ya CCM na upinzani Nani anayejaza matumbo. Serikali ya CCM inakusanya tozo za lazima, inakata Kodi na bado inakopa kwa Kasi mpaka hatari ya nchi kupigwa mnada imeonekana na wana CCM wenyewe. Acha kuubebedha upinzani mzigo usio kuwa wake.
 
Back
Top Bottom