Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

1.
Mkuu Zanzibar ni Tanzania na matatizo yaliyotokea naona unayakubali kama unavyoyakubali ya Zimbabwe( kutokana na nukuu yako)

Yeah! wote sisi ni wezi wa kura na uchaguzi

2
. Sasa ilikuwa ni wajibu wa Nchi nyingine za SADC kuisimikia Tanzania.

Absolutely, no clue kinachosemwa hapa.

3.
Kwa hiyo mkuu unataka pia kusema kuwa kutokana na matatizo ya Zanzibar, Tanzania kwa sasa hakuna serikali?

Zimbabwe sasa hivi kuna serikali kama vile tulivyonavyo Tanzania na Visiwani, lakini zote zimewekwa kwa wizi wa kura na uchgauzi.

4.
Kama serikali ipo then wanawajibu wakutoa tamko kuhusu Zimbabwe hata kama wao hawakutolewa tamko kwa uchaguzi wa Zanzibar.

No clue kabisa na what this has to do na wizi wa kura na uchaguzi wa Zimbabwe kama sisi tulivyoiba kura na uchaguzi kwenye uchaguziwa Visiwani? Huenda sijakuelewa mkuu the point hapa!lakini kama kawaida ninaednelea kuheshimu mawazo ya wengine on this ishu, ila kama kawaida ninaweka ukweli wangu na simalzimishi mtu kuamini yangu ila kama kawa ninaweka hoja tu, kuwa the fact hapa ni sisi Tanzania hatuna ubavu wa kukemea maovu ya wizi wa kura na uchaguzi, na ndio maana siku hizi hata maneno yetu kwenye siasa za kimataifa hayana nguvu tena kama zamani.
 
1.

Yeah! wote sisi ni wezi wa kura na uchaguzi

2

Absolutely, no clue kinachosemwa hapa.

3.

Zimbabwe sasa hivi kuna serikali kama vile tulivyonavyo Tanzania na Visiwani, lakini zote zimewekwa kwa wizi wa kura na uchgauzi.

4.

No clue kabisa na what this has to do na wizi wa kura na uchaguzi wa Zimbabwe kama sisi tulivyoiba kura na uchaguzi kwenye uchaguziwa Visiwani? Huenda sijakuelewa mkuu the point hapa!lakini kama kawaida ninaednelea kuheshimu mawazo ya wengine on this ishu, ila kama kawaida ninaweka ukweli wangu na simalzimishi mtu kuamini yangu ila kama kawa ninaweka hoja tu, kuwa the fact hapa ni sisi Tanzania hatunha ubavu wa kukemea maovu ya wizi wa kura na uchaguzi.

Mkuu utanisamehe sina namna ingine ya kukuelewesha. Kuna wajumbe kama Ogah, Masanja nk. wameeleza vizuri sana na umeshindwa kuelewa then sorry. Tukate issue zingine
 
BOb had an opportunity to step down as a Statesman-he has not!- A rule with an African Warrior Vigor! A true patriot and a Man to Reckon with.

Tanzania tumepewa heshima hiyo na sauti kwa-sababu tu, ya-tunavyoendesha siasa mbadala.

Mheshimiwa wetu alionekana ana ubavu lakini sasa lugha nyingine, inabidi asimame kidete aidha kupinga misimamo ya wakoloni mamboleo(kwani ndio wachocheaji) au kutomtambua Bob. Kinacho fuatia sasa ni mambo ya Umoja wa Mataifa...Tutashiriki humo na kuoneka manduminakuwili.

Uenyekiti huu utatufanya sasa tuonekane kama ni walegevu wa siasa bora Afrika. Kuna umuhimu wa hata kuhamaki.


Tutafika...
 
...kikwete Na Membe Wake Ni Wajinga!!!!...how Come Wanayaona Ya Mugabe ..wakati Wanayashindwa Ya Zanzibar...charity Begins At Home....toa Kwanza Boriti Kwenye Jicho Lako Kabla Ya Kuiona Kibanzi Kwenye Jicho Ya Mwenzako!!!!

Ndio Maana Mugabe Anasema Kama Wakianza Kusemana Nani Atakayesimama Kati Yao.....te Teh ....nadhani Anajua Kuwa Kikwete Pia Alishinda Kwa Pesa Za Epa..zilizotumika Kuchapisha Makaratasi Kinyonga Ya Kura Israel Na China.....
 
...kikwete Na Membe Wake Ni Wajinga!!!!...how Come Wanayaona Ya Mugabe ..wakati Wanayashindwa Ya Zanzibar...charity Begins At Home....toa Kwanza Boriti Kwenye Jicho Lako Kabla Ya Kuiona Kibanzi Kwenye Jicho Ya Mwenzako!!!!

Ndio Maana Mugabe Anasema Kama Wakianza Kusemana Nani Atakayesimama Kati Yao.....te Teh ....nadhani Anajua Kuwa Kikwete Pia Alishinda Kwa Pesa Za Epa..zilizotumika Kuchapisha Makaratasi Kinyonga Ya Kura Israel Na China.....

Hapana, Kikwete na Membe si wajinga, labda ungesema ni werevu au wajanja.
Ya Zanzibar so far tumuulize Mkapa ndiyo yeye ali-facilitate 2000 na 2005.
So far in foreign policy Mr. President, Jakaya Kikwete have scored an "A+".
On EPA the beneficiary was Kikwete; but the culprit was Dictator Mkapa.
We will only blame Mr. Kikwete on Zanzibar issue when comes 2010; so far he has handled well in his capacity.
Note: I do not clear him on the domestic handling of issues, especially solving such issues as EPA, Richmond etc as I think he is a beneficiary of those deals.
 
Mkuu Masanja,

Wewe ninajua kuwa ni kichwa sana, lakini jaribu basi kuniheshimu kidogo kwa sababu haya uliyosema hapo juu ni an insult kwa my intelligence.

kwa sababu hayana ushusiano wowote na wizi wetu wa kura na uchaguzi, na kujaribu kwasomesha wengine wasiibe kura na uchaguzi kama sisi.

Ahsante Mkuu

Mkuu wangu samahani sana, sikuwa na nia ya kukuudhi kabisa. Kama umeelewa vinginevyo, tafadhali naomba radhi. Sina jadi ya kudharau utu au mawazo ya mwenzangu hata siku moja. Na wewe personally nakuheshimu sana kwa michango yako makini iliyokwenda shule humu JF. Kama ulikuwa hujui naomba ulijue kabisa hili. I respect you so much.

Kinachogomba hapa ni sera za Mugabe ambazo mimi na wewe tuna mtizamo tofauti na kwa hilo nimekubali tutofautiane kabisa mkuu! Lakini I still believe kwamba Bwana Membe amefanya kitu kizuri sana. Kwamba JK kashindwa kushughulikia EPA, MUUNGANO, RICHMOND, KIWIRA and on and on...hakunifanyi nisione yale mazuri kidogo anayoyafanya. Na kwa hili la Zim niko na bwana Membe kabisa bega kwa bega!
 
Hapana, Kikwete na Membe si wajinga, labda ungesema ni werevu au wajanja.
Ya Zanzibar so far tumuulize Mkapa ndiyo yeye ali-facilitate 2000 na 2005.
So far in foreign policy Mr. President, Jakaya Kikwete have scored an "A+".
On EPA the beneficiary was Kikwete; but the culprit was Dictator Mkapa.
We will only blame Mr. Kikwete on Zanzibar issue when comes 2010; so far he has handled well in his capacity.
Note: I do not clear him on the domestic handling of issues, especially solving such issues as EPA, Richmond etc as I think he is a beneficiary of those deals.

Nani alikuwa foreign chief wa Tanzania katika miaka kumi ya Mkapa?
 
Kwamba JK kashindwa kushughulikia EPA, MUUNGANO, RICHMOND, KIWIRA and on and on...hakunifanyi nisione yale mazuri kidogo anayoyafanya. Na kwa hili la Zim niko na bwana Membe kabisa bega kwa bega!

Issue hapa ni double standards...kama tulisema masuala ya Kenya yatamalizwa na Wakenya wenyewe, Balozi wa UK Dar akawaambia CUF kuwa suala lao na CCM ni suala la ndani na litamalizwa na Watanzania wenyewe na wakome kwenda kushtaki kwenye balozi au nje ya nchi, nini kinachotushinda kusema suala la Zimbabwe pia ni la Wazimbabwe wenyewe?
 
hivi kuhusu zanzibar mnataka Kikwete afanye nini?just tell me honestly.Kuweni wa wazi kwa nafsi zenu kisha mseme.
 
...kikwete Na Membe Wake Ni Wajinga!!!!...how Come Wanayaona Ya Mugabe ..wakati Wanayashindwa Ya Zanzibar...charity Begins At Home....toa Kwanza Boriti Kwenye Jicho Lako Kabla Ya Kuiona Kibanzi Kwenye Jicho Ya Mwenzako!!!!

Ndio Maana Mugabe Anasema Kama Wakianza Kusemana Nani Atakayesimama Kati Yao.....te Teh ....nadhani Anajua Kuwa Kikwete Pia Alishinda Kwa Pesa Za Epa..zilizotumika Kuchapisha Makaratasi Kinyonga Ya Kura Israel Na China.....
how dare you call wenzio wajinga?ukitaka ku argue argue lakini kutukana wenzio ya nini?
 
hivi kuhusu zanzibar mnataka Kikwete afanye nini?just tell me honestly.Kuweni wa wazi kwa nafsi zenu kisha mseme.

Atoe tu matamshi kama anayowatolea Zimbabwe, maana kama watu walipigwa huko Zim, Unguja nako pia walikung'utwa. Pemba watu waliuawa. Mbona huko kakaa kimya au hakuna wababe wenye interest nako wanaomsukuma?
 
Nafikiri tunachotofautiana hapa sio kwamba urais wa Mugabe ni halali au la, bali ni kwamba kuna baadhi yetu wanatumia hisia (gut feelings) kutoa maoni yao wakati wengine tunatumia uhalisia wa mambo (evidence).

Ni aibu zaidi kusema kwamba nchi yetu ikae kimya au Mugabe aachwe na uharamia wake kwa sababu tu nasi tulivuruga uchaguzi huko Zanzibar. Kwa hiyo mnataka tukubaliane kwamba sisi ndivo tulivyo na hatuna haja kubadilika? The argument couldn't be weaker and any more ludicrous!


hapana mkuu si kweli naamini ni uchaguzi wako tuu kuona hivyo. naamini wengi humu wanakubaliana kwamba mugabe hawatendei mema wananchi wake. tunatofautiana jinsi tanzania inavyochangia kutatua mgogoro wa zimbabwe. mbona mimi naona wewe ndio huangalii uhalisia wa mamabo (siasa za kimataifa).

mbona tunaambiwa jk alipata nafasi ya kuzungumza faragha na mugabe? naamini huko ndiko angeyasema yote na kwa ukali wote yaani kama tanzania. aidha tanzania ilikuwa na nafasi ya kumuita balozi wa tanzania zimbabwe nyumbani "kwa majadiliano" na hii ingetuma ujumbe tosha kwa mugabe kuhusu msimamo wetu na kuwa presha tosha. katika siasa za multilateral mara nyingi juhudi za chinichini ndizo huzaa matunda kuliko hizi za "kupaza sauti usikike".

naamini sio vyema kuwaambia wale ambao hawakubaliani na hoja yako "ndivyo tulivyo".
 
Yaani I love JF, maswali na majibu mkuu Kafara ubarikiwe tu, jana usiku nilikuwa na chakula cha usiku na mmoja wa wakulu aliyekuwepo huko Egypty, akanipa live maneno yalivyokuwa huko ndani ya ukumbi uso kwa uso na Mugabe, ngoja kwanza ni-edit kidogo halafu baadye nitamwaga machache on it!

Yaaani Mugabe sina hamu, nasikia Botswana ndio walijaribu kwanza kumpa somo Mugabe, alipojibu ilikuwa aibuu kubwa sana!
 
...International politics haziendi hivyo. Leo Bush akikemea Human Rights violations Darfur, siyo kwamba yanayotendeka Guantanamo hayaoni! Leo Australia akikemea yanayotokea Congo siyo kwamba yanayotokea kwa aboriginals hayaoni....

Ukweli ni kwamba kama international diplomacy ingekuwa inaendeshwa hivyo kama injili ya YESU (asiye na doa na awe wa kwanza kurusha jiwe)..basi hii dunia ingekuwa kitu kingine kabisa.

international politics inataka umakini na kuangalia madhara ya muda mfupi na mrefu wa kile unachokisema. mimi naamini tanzania tulikuwa na nafasi nzuri ya kuwasaidia ndugu zetu wa zimbabwe kutatua mgogoro wao lakini baada ya tamko la mh. membe nafasi hiyo imetoweka.
 
Kitila Mkumbo,

..labda nimekwenda mbali kidogo kwa kusema AU "wamemtambua" Mugabe.

..lakini sielewi kitendo chao cha kumu-address kama President Mugabe kina maana gani.

..halafu kama hatutambui uchaguzi uliofanyika na 'ushindi' wa Mugabe, je Zimbabwe ni nchi isiyokuwa na serikali sasa hivi?

..kwa wale wanaotambua 'ushindi' wa Tsivangarai wanafanya hivyo kwa kufuata katiba gani?

hapana hujakwenda mbali ndio haswa maana yake. vinginevyo wangekwepa kutumia neno hilo na kutumia maneno kama " encourage the parties concerned..."

sasa kulikoni kuambiwa eti msimamo wa au ni kutomtambua mugabe? ndio maana hapo awali niliishasema ni vyema kama magazeti hayakumkariri vyema mh. membe kwani vinginevyo hii ni aibu.
 
unajua imani ni kitu kimoja kizuri sana kwetu sisi wanadamu..........na hizi imani inategemea mtu unazielewa vipi ili kuijenga imani yako vilivyo, imani hizo hizo wengine huzitumia kufanya maovu na wengine hutumia busara ili kujudge na kutenda yaliyo mema.

.........ni imani yangu kuwa whatever the case may be the fact will remain to be the fact....na asiye liona hilo.......eti kwa kuwa ana boriti....im sorry.......siwezi kumsaidia........endelea kuwa na boriti milele......

Binafsi namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo wa kuona japo facts kidogo na hizo ndizo ninazo na nitakazosimamia.......unless proven otherwise

Kuamini au kutokuamni kwako hakuifanyi/hakumfanyi.......Serikali/Membe kutosema yaliyosemwa............na kama kutokuamini kwako kunakufanya uone its a big joke....so be it...thats you,...........kuna wengine wameona/tumeona otherwise....and that is the fact.

Narudia tena, kama hili jambo limesemwa na Membe and for that matter serikali yetu.......NAWAPA PONGEZI

kipinge wanachoamini wenzako lakini waheshimu. yaani wewe unaamini muumba hakuwapa uwezo wa kuona fact wale unaotofautiana nao mawazo?!
matusi mengine bwana!
 
Africa's problems require African solutions

By Fiona Forde

It was to Sharm el-Sheikh that 29 Israeli, Arab and world leaders travelled in 1996 in an attempt to bring peace to the Middle East.

Bill Clinton boldly dubbed it the "summit of the peacemakers". And, not surprisingly, many observers questioned his daring back then. No sooner had they left the Red Sea resort town than the Arab world was burning with the notorious peace process teetering on the brink.

And it was from here that 53 African leaders and delegates departed on Tuesday night, armed with as much symbolism and rhetoric, and some would say as little substance, as the crew before them. On the surface, not much more than a call for talks to broker a solution.

This time the issue at stake was the ongoing Zimbabwe crisis. Robert Mugabe had been sworn in as the country's sixth president on the eve of the summit, with 85 percent of votes to his credit from last week's one-man race.

As the world began to tut-tut at his blatant disregard for democracy, members of the African Union (AU) jetted into Sharm-el-Sheikh for a meeting that was intended to address water, sanitation and rising food prices, but was overshadowed by the troublesome leader of the southern African state.

How to deal with a man who was once one of the most respected liberation icons on the continent, but who then proceeded to preside over the decline of what Julius Nyerere once dubbed the "bounty" of Africa, would be no mean feat.

A man who began to dig in his heels when the world condemned him. An African leader who puts words to the unspoken and deep-seated anti-West sentiment that is shared by most other African leaders. And at the same time, a dictator who shares the same closet secrets as many of them.

Africa, though not the AU, has been here before with Robert Mugabe. In 2000, 2002 and 2005. AU President Jakaya Kikwete was not in an enviable position.

During the summit's opening ceremony, UN Deputy Secretary-General Asha Rose Migiro described it as "a moment of truth" for the African leaders gathered in her midst, a time to step up to the podium and practice what they preached. The world powers were putting it to the AU: Get involved and strike the right chord.

Some of them did just that when they spoke up in the closing session. A handful, it has to be said. Leaders "used the kind of language I've never heard in a summit like this before," according to one Tanzanian delegate.

Botswana called for Mugabe to be banned from all future Southern African Development Community (SADC) and AU meetings. They said his sham elections did not confer legitimacy on his presidency.

Nigeria was equally daring in refusing to recognise Mugabe as a head of state, a move that could also be interpreted as a slight against its arch-rival South Africa, as Zimbabwe mediator. Kenya raised its voice. Sierra Leone followed suit. Then Liberia, followed by Senegal and Tanzania in slightly more neutered tones.

"I wasn't going to make my position known publicly," said Senegal's President Abdoulaye Wade.

"It wouldn't have been helpful." There wasn't a whisper from Namibia. "Silence speaks for itself," a Namibian delegate claimed. Or indeed from a host of other leaders.

And the majority refusal to openly condemn Mugabe forced the AU to finally agree to disagree. With the first prize out of reach, they opted for the next best - a call on Mugabe and his arch rival Morgan Tsvangirai to form a Government of National Unity, sooner rather than later.

And there was a nod in Thabo Mbeki's direction with a recommendation that the talks remain at the SADC level, but with a permanent presence on the ground to seize the momentum for a settlement.

Like Sharm el-Sheikh in 1996, no real substance, on paper at least. And certainly no reflection of the harsh verdicts handed down by a handful of leaders, because black-brother politics still won't allow such sentiments public breathing space. That's not to say their words won't echo.

Like Harare in 2002, when another of Mugabe's disputed presidential victories also brought talking heads to a table, Mugabe is so far agreeing to toe the line.

"He has not objected to me yet," Kikwete told Independent Newspapers, although Tsvangirai has insisted on a clause to all future negotiations: No peace, no talks.

But it's not Tsvangirai that's the worry right now. Six years ago, with the world focused on Zimbabwe just as it is today, Africa thought it had seen the end of Mugabe's reign of terror. Promises were made.

Assurances were given. Agreements were in place. Within months, it was falling apart. By then the glare of the world was elsewhere. And Zimbabwe has continued its steady decline ever since.

Africa is back where it was in 2002. And it calls the futility of Tuesday's resolution - no more than a call for talks - into question.

Would it have helped matters if Kikwete could have urged all his peers to take a hardened stance and not recognise the 84-year-old Zanu-PF leader as one of them? To condemn his actions and force him out?

It's what the world seems to have been waiting for. It would've caused an international stir. It would also have marked a first for inter-African relations. Kikwete would have become an instant darling of the West. But hell would've known no fury like Mugabe's wrath had that happened.

The old man would have well and truly flipped if his black brothers ousted him from his African club. The TV-footage of him ranting at a British journalist on Monday would have been nothing compared to the fury he would have unleashed, no doubt on his own people, if he were toppled in principle from his presidential perch.

There is no denying that Mugabe's entitlement to a powerful seat is not legitimate. Reports from three credible observer missions have said as much.

The SADC, the Pan African Parliament and the AU concur in their observations that the poll was fatally flawed and does not represent the will of the people of Zimbabwe.

But the situation is such that it would be foolish to exclude Mugabe at this point. Both the AU and the SADC need to work with him and not against him, because dismantling the powerful Zanu-PF after all these years will be no mean feat. A peaceful transition in Zimbabwe can only happen with all the main players on board.
Unspoken words in Tuesday's resolution are directed at the rest of the world: The AU won't pander to global powers. But they refrained from using the language of Mugabe's spokesperson George Charramba - "the West can go hang a thousand times" - confirming the view that Africa's problems require African solutions.

http://www.int.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=84&art_id=vn20080704061956275C524259
 
Zimbabwe crisis

At the end of the summit, a draft resolution was issued by the AU Commission, urging the political leaders of Zimbabwe to reconcile their differences, honour their commitment to initiate dialogue and form a government of national unity.

President Jammeh also supported the draft resolution bill for Zimbabwe, adding that it was in the best interest of the people of Zimbabwe.

"We are a new crop of African leaders who will stand up to defend African integrity and African interest. This message, especially that of Zimbabwe, showed to them [the West] that we are independent," said President Jammeh.

http://wow.gm/africa/gambia/banjul/article/2008/7/4/union-govt-is-the-key-says-president-jammeh
 
Kama demokrasia ni muhimu hivyo basi HAMAS wapewe mamlaka ya kuongoza Wapalestina. Ni nani aliyetangaza kuwa hawatambui ushindi wa HAMAS kama sio hao hao ambao leo wanatufundisha waafrika tuheshimu demokrasia?
 
Back
Top Bottom