Tanzania haitasita kuizuia Zambia kupitishia mizigo yao hapa nchini

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.

Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.

Source ITV habari!
 
Sababu ya mahindi tu muwaze kuwazuia wazambia kutumia bandari ya Dar.?

Hii serikali inapaswa iwe inatembea tembea nje kujifunza maana ya mahusiano.

Hivi anajua Zambia inachangia kiasi gani kwenye pato la nchi hii, hivi anajua ndani Zambia kuna maelfu ya Watanzania wanavuna tu huko na kuleta Tanzania..

Hizi kauli zingine bora kukaa kimya tu kuliko kuropoka namna hii.!
 
Capitalist Economy, Free market economy tushindane kibiashara kwa diplomasia maana tukizuia shaba kupita pia tutakosa pesa pia.

Mbona simple 2 wauzie mahindi Zambia nao wauze congo maana Zambia nao hawalimi mahindi wanayatoa Tanzania kwa njia za magendo.

Imagine kama mfano msumbiji wakitaka kuuza mahindi kenya mtawaruhusu kirahi rahisi kupitisha apa kwetu?

Tatizo utawala wa Magufuli wamekosa diplomasia.
 
Waziri wa kilimo mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
"Waziri wa Kilimo"?

Mada zisizo na maelezo ya kujitosheleza kama hii, tena toka kwa mtu ambaye ana utitiri wa kuanzisha mada hapa JF kunaifanya JF kupoteza sifa iliyojijengea kwa muda mrefu.

Hii ni mada mhimu, inahusu matamshi ya waziri wa Serikali kuihusu nchi jirani, tena nchi tuliyo nayo mahusiano mazuri kwa muda mrefu.

Kuna haraka ya nini kukimbilia kuweka habari kama huna uhakika nayo!
 
Anataka awe wa kwanza kupostiiii

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa kilimo mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.

Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.

Source ITV habari!
Thubutu kutoka Bandari ya Beira Msumbiji kwenda Zambia ni karibu zaidi kuliko kutoka Dar azuie aone joto ya jiwe, inaonekana waziri hajaona kwenye google map ujaribu wa Bandari ya Beira
 
Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.

Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.

Source ITV habari!
kwani watashundwa kupitishia kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Capitalist Economy, Free market economy tushindane kibiashara kwa diplomasia maana tukizuia shaba kupita pia tutakosa pesa pia.

Mbona simple 2 wauzie mahindi Zambia nao wauze congo maana Zambia nao hawalimi mahindi wanayatoa Tanzania kwa njia za magendo.

Imagine kama mfano msumbiji wakitaka kuuza mahindi kenya mtawaruhusu kirahi rahisi kupitisha apa kwetu?

Tatizo utawala wa Magufuli wamekosa diplomasia.
Mkuu siku hizi wazambia wanalima sana.asilimia ZAIDI ya sabini ya wakulima wa Zimbabwe wameamia zambia wamefungua mashamba makubwa sana.na baada ya miaka miwili au mitatu hata mbao hawatachukua kwetu.wamepanda miti sana ya mbao kwa maelfu ya maekari.
 
Bandari tunayo sisi tu au?. Jiulize magari yanayotoka south Africa yanaleta mizigo kwenye migodi yetu ile mizigo inashushwa bandari zetu? Jiongoze na punguza maswali ya kitoto wakati mwingine.
Hahahaaaaaa..........!
 
Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.

Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.

Source ITV habari!
Yaani wewe nakufananisha na RC wa Mbeya
 
Back
Top Bottom