Mawazo kama haya ndio yanarudisha maendeleo nyuma!! Eti mzimu wa nyerere!! Kama upo kweli umeshindwa kujitokeza na kuwasaidia WATZ, kwa haya yanayoendelea ndani ya nchi yao, uwe na uchungu zaidi na inshu ya zambia?!! Sasa watz, wanaishi kiu adui, walioko chama kile ndio wanajiona wenye haki na nchi hii, kuliko hao wengine, hadi mtu anatolewa uhai, kisa hayupo nao?! Mzimu wa baba wa taifa, umeshindwa kujitokeza na kuwafanyia kitu mbaya wale waliotufikisha hapa, uje kuwa na uchungu na wa zambia!!! Masihara hayo!! Ndio akile zile za kijinga, BWANA NAMUACHIA MUNGU TU!!,