Kweli kabisa mkuuHayo matamshi sio muafaka kutoka kinywani kwa waziri wa biashara kwa jirani dunia ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuuHayo matamshi sio muafaka kutoka kinywani kwa waziri wa biashara kwa jirani dunia ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malori yenye bidhaa gani?Ukweli wa hii habari ni kwamba Zambia inazuia malori ya bidhaa yatokayo Tanzania kwenda DRC. Hivyo Tanzania inatishia kuyazuia magari kama hayo ya mizigo yanayotoka Zambia kwenda Rwanda na Burundi kupitia hapa nchini.
Kweli nimeona ni mbali sanaMkuu Dar Lusaka ni 1900 na ushee
Kwa sasa asilimia kubwa ya Wazambia wanatumia Bandari ya Beira na Welvis bay dunia ya leo amri amri za kijingajinga na ubabe ubabe wa kipumbavu watu wanachomoa betri na wanahamaKweli nimeona ni mbali sana
Tungekuwa na viongozi wenye akili, wangelimaliza hilo kwa diplomasia, na pengine hata bila ya wananchi kujua.Ukweli wa hii habari ni kwamba Zambia inazuia malori ya bidhaa yatokayo Tanzania kwenda DRC. Hivyo Tanzania inatishia kuyazuia magari kama hayo ya mizigo yanayotoka Zambia kwenda Rwanda na Burundi kupitia hapa nchini.
Hapo ni suala la diplomasia kuzungumza tu halafu utakuta ni kiraka kimoja tu cha Zambia kimeaumua binafsi na si maamuzi ya serikali ya Zambia hicho kinafukuzwa kazi tu watu wazima wanaweka mambo sawa,bifu haijibiwi na bifuUkweli wa hii habari ni kwamba Zambia inazuia malori ya bidhaa yatokayo Tanzania kwenda DRC. Hivyo Tanzania inatishia kuyazuia magari kama hayo ya mizigo yanayotoka Zambia kwenda Rwanda na Burundi kupitia hapa nchini.
True mfano zile bifu binafsi za watawala kumchukia Kenyatta eti sababu aelewani na Raila ikapelekea uchomaji wa vifaranga na utaifishaji wa mifugo. Kenya alipigwa njaa akawa anahitaji mahindi toka kwetu na yalikuwapo ya kutosha ikatoka amri ya kuzuia kuuza mazao nje ili kumkomoa Kenyatta juu ya bifu za kishamba,Kenya wakaona isiwe tabu tumewanyima mahindi wakaenda Zambia wakayasomba vya kutosha Zambia inachakula sababu wakulima waliofukuzwa na Mugabe sababu ya chuki binafsi walikaribishwa Zambia na Malawi wanalima huko.Mahindi yetu yakawaozea wakulima wetu wakakosa pesa toka Kenya waliopeleka kimagendo yakataifishwa malori wapo wabongo wachache waliotumia fursa hio kunufaika walikodi truck zenye usajili wa Zambia wakapenyea mwanya huo huo kuingiza Kenya mahindi.Baada ya kuyasolve ikiwemo lile sakata la bifu la magari ya utalii pia watu wakaruhusiwa kuuza mahindi Kenya lkn ikawa ni too late Kenya ina stock ya mahindi ya kutosha toka nje wakati huo huo nao wako msimu wa mavuno baada ya mvua kunyesha vizuri,wakulima wetu wakawa wamelikosa soko la Kenya sababu tu za maamuzi mabovu ya wanasiasa wabinafsi,wao wanaendekeza bifu sababu wako kwenye viyoyozi hayawakuti magumu kama wananchi.We will loose totally kwa sasa Msumbiji wana standard gauge train ambapo ina supply nchi za Sadc tena kwa bei rahisi kuliko kutumia ma roli sasa tukisema tuzinguane nao si wao watafurah biashara huria
Mimi nadhani maamuzi yetu yawe mapana hata kwa vizazi vijavyo sio kufanya kwa mihemko ya siasa sifa