johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
"Waziri wa Kilimo"?Waziri wa kilimo mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Anataka awe wa kwanza kupostiiii"Waziri wa Kilimo"?
Mada zisizo na maelezo ya kujitosheleza kama hii, tena toka kwa mtu ambaye ana utitiri wa kuanzisha mada hapa JF kunaifanya JF kupoteza sifa iliyojijengea kwa muda mrefu.
Hii ni mada mhimu, inahusu matamshi ya waziri wa Serikali kuihusu nchi jirani, tena nchi tuliyo nayo mahusiano mazuri kwa muda mrefu.
Kuna haraka ya nini kukimbilia kuweka habari kama huna uhakika nayo!
Thubutu kutoka Bandari ya Beira Msumbiji kwenda Zambia ni karibu zaidi kuliko kutoka Dar azuie aone joto ya jiwe, inaonekana waziri hajaona kwenye google map ujaribu wa Bandari ya BeiraWaziri wa kilimo mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Endelea kuponda kokoto!
kwani watashundwa kupitishia kwingineWaziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Kwingine wapi?
Mkuu siku hizi wazambia wanalima sana.asilimia ZAIDI ya sabini ya wakulima wa Zimbabwe wameamia zambia wamefungua mashamba makubwa sana.na baada ya miaka miwili au mitatu hata mbao hawatachukua kwetu.wamepanda miti sana ya mbao kwa maelfu ya maekari.Capitalist Economy, Free market economy tushindane kibiashara kwa diplomasia maana tukizuia shaba kupita pia tutakosa pesa pia.
Mbona simple 2 wauzie mahindi Zambia nao wauze congo maana Zambia nao hawalimi mahindi wanayatoa Tanzania kwa njia za magendo.
Imagine kama mfano msumbiji wakitaka kuuza mahindi kenya mtawaruhusu kirahi rahisi kupitisha apa kwetu?
Tatizo utawala wa Magufuli wamekosa diplomasia.
Bandari tunayo sisi tu au?. Jiulize magari yanayotoka south Africa yanaleta mizigo kwenye migodi yetu ile mizigo inashushwa bandari zetu? Jiongoze na punguza maswali ya kitoto wakati mwingine.Kwingine wapi?
Hahahaaaaaa..........!Bandari tunayo sisi tu au?. Jiulize magari yanayotoka south Africa yanaleta mizigo kwenye migodi yetu ile mizigo inashushwa bandari zetu? Jiongoze na punguza maswali ya kitoto wakati mwingine.
Yaani wewe nakufananisha na RC wa MbeyaWaziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Beira Mozambique Durban SAKwingine wapi?