Tanzania haitasita kuizuia Zambia kupitishia mizigo yao hapa nchini

Zambia hawalimi Mahindi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huu udhaifu wa wanaccm kushindwa kushindana umeingia mpaka kwenye mahusiano ya nchi, wakiona mahali wanazidiwa wanakimbilia kwenye figisu.
 
Mku Port Beira ya Mozambiq na hapa Dar wapi mbali ndugu.
Zambia hawapotezi ni kitu ila wanakuja Dar kwa mazoea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Watu waliopewa mamlaka kwa ujumla wengi wao waliteuliwa wakati hawakuwahi kutoka kwenda nje Tanzania ila kwa sasa wamepata nafasi wajitahidi kutembea ili wajue tuko wapi kiuchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wanajua Nyerere na Kaunda walikotokea wajaribu kuzuia kama mzimu wa Nyerere hautawazukia na matamko yao yasiyo na tija kwa Taifa.
 
Kabla Mheshimiwa Waziri hajatoa tamko lake aangalie critically prons and cons, na aone kuwa hakuna namna nyingine, hata ya mazungumzi, ndipo afanye maamuzi, au ashauri hilo lifanyike,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wao (serikali) wanavyofanya foul kuendelea kuwanyenyekea wachina na wanaingia nchini utafikiri kijana sharobaro anavyoingia na kutoka chumbani kwa sugar mamy.... God save us from COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…