Huyo waziri ni mjinga kama katamka hayo manenoWaziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Chunga mdomoWaziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Na huyo ni waziri kijana,yaani jamaa maarifa yake ni madogo sana,nilihudhuria mahafali ya Kaizerege na yeye ndo alikuwa mgeni rasmi yaani hotuba nzima kujisifia nilisoma Marekani,sifa zenyewe hazina connection na mazingira ya hayo mahafaliBadala ya kupambana kuwin soko la DRC mnaanza vitisho.
atakuwa alikuwa amekalia kigogoMimi ni CCM lakini naona aibu sana kuwa mwanaccm ......kauli gani hizo jamani zinatolewa?je aliyetoa hiyo kauli aliitoa akiwa kwenye hali gani?
Huyo waziri aliyeongea hayo maneno kasoma Marekani baada tu ya kumaliza kidato cha nne,yaani kwa kifupi hakwenda US kubeba box,lakini akili yake ni ndogo haswaTatizo Watu waliopewa mamlaka kwa ujumla wengi wao waliteuliwa wakati hawakuwahi kutoka kwenda nje Tanzania ila kwa sasa wamepata nafasi wajitahidi kutembea ili wajue tuko wapi kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka Jeshi Tunduma, wasituchezee!! Hawajui sisi ni dona Kantiri?Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC.
Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini.
Source ITV habari!
Aliekuambia Zambia hawalimi mahindi nani? Kipindi wakulima tumezuiwa kuuza mahindi KE walitoa wapi kama si Zambia?Capitalist Economy, Free market economy tushindane kibiashara kwa diplomasia maana tukizuia shaba kupita pia tutakosa pesa pia.
Mbona simple 2 wauzie mahindi Zambia nao wauze congo maana Zambia nao hawalimi mahindi wanayatoa Tanzania kwa njia za magendo.
Imagine kama mfano msumbiji wakitaka kuuza mahindi kenya mtawaruhusu kirahi rahisi kupitisha apa kwetu?
Tatizo utawala wa Magufuli wamekosa diplomasia.
Bwashee kesho tuko Hai na Mwamba wa Ufipa!
Viongozi wanaopenda waonekane.Sababu ya mahindi tu muwaze kuwazuia wazambia kutumia bandari ya Dar.?
Hii serikali inapaswa iwe inatembea tembea nje kujifunza maana ya mahusiano.
Hivi anajua Zambia inachangia kiasi gani kwenye pato la nchi hii, hivi anajua ndani Zambia kuna maelfu ya Watanzania wanavuna tu huko na kuleta Tanzania..
Hizi kauli zingine bora kukaa kimya tu kuliko kuropoka namna hii.!
Mawazo kama haya ndio yanarudisha maendeleo nyuma!! Eti mzimu wa nyerere!! Kama upo kweli umeshindwa kujitokeza na kuwasaidia WATZ, kwa haya yanayoendelea ndani ya nchi yao, uwe na uchungu zaidi na inshu ya zambia?!! Sasa watz, wanaishi kiu adui, walioko chama kile ndio wanajiona wenye haki na nchi hii, kuliko hao wengine, hadi mtu anatolewa uhai, kisa hayupo nao?! Mzimu wa baba wa taifa, umeshindwa kujitokeza na kuwafanyia kitu mbaya wale waliotufikisha hapa, uje kuwa na uchungu na wa zambia!!! Masihara hayo!! Ndio akile zile za kijinga, BWANA NAMUACHIA MUNGU TU!!,Kama wanajua Nyerere na Kaunda walikotokea wajaribu kuzuia kama mzimu wa Nyerere hautawazukia na matamko yao yasiyo na tija kwa Taifa.
Kwam lazima watumie Bandari ya Dsm? Zipo Bandari South Africa, msumbiji, Congo Brazzaville, AngolaHayo matamshi sio muafaka kutoka kinywani kwa waziri wa biashara kwa jirani dunia ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wanachojua ni kuwabambikia watu kesi na kauli za kijinga jinga zisizo na Tija kwa TaifaMawazo kama haya ndio yanarudisha maendeleo nyuma!! Eti mzimu wa nyerere!! Kama upo kweli umeshindwa kujitokeza na kuwasaidia WATZ, kwa haya yanayoendelea ndani ya nchi yao, uwe na uchungu zaidi na inshu ya zambia?!! Sasa watz, wanaishi kiu adui, walioko chama kile ndio wanajiona wenye haki na nchi hii, kuliko hao wengine, hadi mtu anatolewa uhai, kisa hayupo nao?! Mzimu wa baba wa taifa, umeshindwa kujitokeza na kuwafanyia kitu mbaya wale waliotufikisha hapa, uje kuwa na uchungu na wa zambia!!! Masihara hayo!! Ndio akile zile za kijinga, BWANA NAMUACHIA MUNGU TU!!,
Kwanza Bandari zingine hakuna Usumbufu wa kutoa mizigo kama Bandari ya Dsmbandari ya DURBAN wanachekelea. tumieni akili mambo mengine.
Kwa Nchi zenye kujielewa huyo waziri mda huu angekuwa keshafukuzwa kazi kwa kauli za kuzorotesha uchumiSababu ya mahindi tu muwaze kuwazuia wazambia kutumia bandari ya Dar.?
Hii serikali inapaswa iwe inatembea tembea nje kujifunza maana ya mahusiano.
Hivi anajua Zambia inachangia kiasi gani kwenye pato la nchi hii, hivi anajua ndani Zambia kuna maelfu ya Watanzania wanavuna tu huko na kuleta Tanzania..
Hizi kauli zingine bora kukaa kimya tu kuliko kuropoka namna hii.!
Zipo Bandari nyingi sana ikiwemo za South Africa Angola, Congo Brazzaville nkHuyu Waziri ni kilaza. Haoni kwamba serikali itapoteza mapato. Zambia siwatapitisha mizigo ya msumbiji?
Kesho magufuli amfukuze kazi au na yeye ana ndumba kama za Daud Bashitekauli ya hovyo sana katika ulimwengu wa ushindani
Hawajazoea kupambana ,uchaguzi nao wanaiba kura .sasa huko nje hakuna njia ya mkato .mazezeta haya pambaneni mchukue sokoBadala ya kupambana kuwin soko la DRC mnaanza vitisho.
Hili ni tatizo la mfumo. Jinsi tunavyopata viongozi wetu ,unajiuliza huyu mpumbavu amefikaje kwenye kazi ya uwaziri.tume huru. Ya uchaguzi Ni muhimu sanaHuyu Waziri ni kilaza. Haoni kwamba serikali itapoteza mapato. Zambia siwatapitisha mizigo ya msumbiji?