Tanzania haitasita kuizuia Zambia kupitishia mizigo yao hapa nchini

Punguzeni Hizo aisee,, Ajira mmetunyima tumejiongeza tumepata vileseni na vidayworker vya hapa na pale kupeleka magari IT Zambia napo mnataka kuharibu pia. Twende wapi sasa na tule nn au mnataka digestion system izibe?
 
Wanashindwa kuzuia wachina Wanao toka China nakuja Tanzania Hasa kukiwa na Hatari Ya Corona

Nchi Kubwa tu zimewapiga marufuku wanakuja na vizuizi visivyo kuwa na tija

Hivi sibora wangeacha Ndugu Zetu karibia 400 naa wakarejea makwao Kuliko hawa ng'ombe kuja kutalii Kipindi Hichi tena tunajinadi wameongezeaka

Tunapokea hadi Mia Kwasiku kutoka 30 msyuuuu[emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zambia hawalimi mahindi una uhakika?
 
Punguzeni Hizo aisee,, Ajira mmetunyima tumejiongeza tumepata vileseni na vidayworker vya hapa na pale kupeleka magari IT Zambia napo mnataka kuharibu pia. Twende wapi sasa na tule nn au mnataka digestion system izibe?

Watoto wao wako tra,bot,nssf,tpa etc wala hawawezi kujua maswaibu mtakayoyapitia baada ya kukosa kazi za IT kupeleka gari huko Zambia.
 
Huyu waziri sijui kama kuna jina limfaalo. Safari hii tuna balaa lakupata viongozi waropokaji.
 
Sasa hiyo ndiyo itatatuwa tatizo au itazidisha tatizo!?
 
Kabla Mheshimiwa Waziri hajatoa tamko lake aangalie critically prons and cons, na aone kuwa hakuna namna nyingine, hata ya mazungumzi, ndipo afanye maamuzi, au ashauri hilo lifanyike,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawaziri wa hivi sijui wameokotwa wapi! Angalao Kabudi alikuwa muwazi kuwa aliokotwa jalalani lakini huyu wa biashara lazima aliokotwa sehemu mbaya zaidi na hata baada ya kuokotwa akaendelea kuwa na fikra zake za huko alikookotwa.
 
Nani kamshauri Waziri huyu kijana. Mbona mapema sana kutoa matamshi kama hayo. Bora angenyamaza vijana hatuna ajira atupatie mahindi tutapiga nayo mbizi ziwa Tanganyika ebo. Akakanushe haraka iwezekanavyo
 
Kuwazuia wazambia wanaotuletea pesa kwa kupitishia mizigo yao kwetu ndo kuleta maendeleo?.
 
Ukweli wa hii habari ni kwamba Zambia inazuia malori ya bidhaa yatokayo Tanzania kwenda DRC. Hivyo Tanzania inatishia kuyazuia magari kama hayo ya mizigo yanayotoka Zambia kwenda Rwanda na Burundi kupitia hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…