Nakupa hongera mtoa mada, umefikiria kwa kiwango cha juu sana.
Watu kama nyie
tunawahitaji muwe viongozi wakubwa wa nchi hii ya ovyo, yenye viongozi wasio na maono ya mbali, wenye kuwaza matumbo yao na familia zao.
Nimepitia comment za member ambao wanakupinga, hakika nimesikitishwa sana na uwezo wa wa kufikiri, Typically non-sense,hopeless
Tunahitaji mabadiliko ya haraka ili tuondokane na umaskini, wachungaji wana utajiri wa kukufuru kupitia sadaka za waumini wao, wanatembelea gari za 300m nyumba za kifahari, ambazo hazina manufaa kwa waumini, hata lift huwezi kupewa na gari zimenunuliwa kwa sadaka yako.
Ni aibu na masikitiko makubwa sana.