Tanzania haiwezi kuendelea kwa sababu Makanisa na Misikiti ni Mingi sana kuliko idadi ya Viwanda, Hospital na Shule

Tanzania haiwezi kuendelea kwa sababu Makanisa na Misikiti ni Mingi sana kuliko idadi ya Viwanda, Hospital na Shule

Wajenge kiwanda kwa ajili ya nini? We umejenga kiwanda gani zaidi ya kubet na ufuska tu. Pumbau wahead wewe. Fanya kazi acha kujiita Afisa Ubashiri alafu ulalamike eti makanisa ndio chanzo.
Mzee huhitaji kutukana ili tukuelewe mkuu. Hoja hujibiwa kwa hoja. Kuwa na makanisa mengi haimaanishi watu ni watakatifu sana ni sehem ya biashara pia. Kwa mfano hapo ilipo efatha unajua kilikuwa kiwanda cha nini. Na jamaa alivyonunua kapageuza kanisa halafu watu watakuja kuombewa wapate kazi. In common sense huon huo ni ujinga. Kaz ni sehem ya ibada Chief. Omba Mungu sana na kaz ufanye sana. Au unafikiri Mungu alipomaliza kuumba vitu vyote na kupumzika cku ya saba mpaka leo kapumzika.
 
Wafia dini hawatakuelewa

Hapa mtaani kwangu nimezungukwa na misikiti miwili, yaani nikiamua kwenda wowote ule haitazidi dakika 10 nitakua nimefika lkn naona kuna msikiti mwingine mpya unajengwa.

Ile miwili iliyokuwepo haijai labda iwe siku ya swala ya Ijumaa au Sikukuu za Eid lkn bado tunachangishana kujenga msikiti mwingine wa tatu.

Inshort hizi nyumba za ibada ni kama biashara za watu, Mtu akishasoma elimu ya dini akaielewa anatamani awe na kanisa au msikiti wake. Ndo maana Kila siku yanaongezeka hata kama hakuna ulazima
Mtaani kwetu kuna mtu kawekeza kwenye kiwanda kidogo cha kukoboa na kusaga unga wa mahindi na kuchanganya chakula cha mifugo. Watu wanalalamika eti kiwanda hicho kinawapigia kelele kinapofanya kazi pamoja na kutoa direct jobs nane na indirect jobs kadhaa. Mtaa huo huo una misikiti miwili na kila siku shehe anaita swala swala watu hawasemi ni kelele. Dini hizi tutumie sana akili.
 
Umesahau sera ya Tanzania ya Viwanda-JPM?
Labda ungeuliza Tanzania ina viwanda vingapi kwa sasa!
 
Nakupa hongera mtoa mada, umefikiria kwa kiwango cha juu sana.
Watu kama nyie

tunawahitaji muwe viongozi wakubwa wa nchi hii ya ovyo, yenye viongozi wasio na maono ya mbali, wenye kuwaza matumbo yao na familia zao.

Nimepitia comment za member ambao wanakupinga, hakika nimesikitishwa sana na uwezo wa wa kufikiri, Typically non-sense,hopeless

Tunahitaji mabadiliko ya haraka ili tuondokane na umaskini, wachungaji wana utajiri wa kukufuru kupitia sadaka za waumini wao, wanatembelea gari za 300m nyumba za kifahari, ambazo hazina manufaa kwa waumini, hata lift huwezi kupewa na gari zimenunuliwa kwa sadaka yako.
Ni aibu na masikitiko makubwa sana.
 
Back
Top Bottom