Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.
Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.
Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.
Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.
Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.
Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.
Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.
Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.