Nakubaliana na mleta mada.
Na ndio hata mimi huwa naona hilo.
Tabia za wale wanaotuongoza ndio tabia zetu nyingi za tunaoongozwa.
Hadi jamii ibadilike ndio Taifa litabadilika kiujumla.
Wananchi wengi tunawaza ukipata nafasi uibe utengeneze maisha yako na familia na hilo ndilo viongozi nao huliwaza.
Kwahyo ngoma droo,Tofauti tu wengine wanaiba kidogo wengine wanaiba sana.