Tanzania haiwezi kuwa kama Ulaya, Marekani, China hata CHADEMA wakichukua nchi

Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.

Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.

Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.

Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.

Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.

Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.

Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.

Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Rubbish !
No reform no election
Perioood
 
Kwahio unataka kusiwe na Uchaguzi wowote,
Nyerere angetawala hadi kufa
Mwinyi angetawala hadi kufa
Mbunge aongoze Hadi kufa
Diwani aongoze Hadi kufa

Achana na siasa chafu unazojaribu kuzijenga!
Uchaguzi huru ni muhimu ndani na nje ya Chama
 
Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.

Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.

Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.

Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.

Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.

Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.

Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.

Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Hongera sana.
Moja ya ya ukweli mchungu ambao wengi kama si wote hatuutaki
 
Haya mawazo unayo wewe na baadhi ya watanzania na siyo kila mtu. Tena ni mawazo ya kijinga sana kama yale waliokuwa wanafikiri watu wa enzi za mawe. Watu wenye akili wanajua kabisa kuwa viongozi hawajengi nchi bali wananchi ndiyo hujenga. Wanajua kuwa ushindani wa kisiasa kwa kutumia demokrasia ni moja ya misingi ya kuanza kuleta maendeleo. Unazungumzia Kenya, hivi unajua nchi yao ilikokuwa enzi za KANU na iliko sasa? Unadhani mabadiliko ya uongozi yanaleta matokeo chanya mara moja kama kubonyeza kitufe? Msingi inaweza kuwekwa leo lakini wajukuu wako au vitukuu na hata vilembwe ndiyo wakaanza kuona maendeleo. Ulaya unayoiona hakuanza hivyo, ni matokeo ya mapambano ya muda mrefu sana na magumu.
 
Na kwa mantiki hiyo. Wananchi tukiwa waadilifu tunapata viongozi waadilifu. Tukiwa wa hovyo tunapata wa namna hiyo. Uwongozi una anza na sisi kwanza kwenye familia zetu. Andaa wanao na maadili sahihi kwanza kabla hujataka mabadiliko nje na kwako
 
Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.amboambo
Mambo ya kupiga ramli na uchumi wapi wapi, usilaumu dalili laumu chanzo cha wa Tanganyika kuwa hv, Tatizo la nchi yetu mi ccm, ccm wakibadirisha Sera, wakaweka watu wenye weredi (best and abled) meritocracy, kwenye maamuzi, ya ki uchumi tutafika mbali, sio, Rais anaamua ajenge airport kijijini kwake, hakuna biashara, hakuna ndege, amekufa uwanja umebaki wa, kuanikia mahindi, billions of shillings zimepotea, badala, ya, kuweka watu Bora, unaweka sycophants, machawa, wakusifia hata kama, Mambo hayaendi,
Kama chadema haiwezi, kuifanya bomgo iwe kama ulaya, ccm wameweza nini!
Ninachokiona ni Rais wao, kurembua macho tu kila siku, kama, amekula kungu
As
 
Haya mawazo unayo wewe na baadhi ya watanzania na siyo kila mtu. Tena ni mawazo ya kijinga sana kama yale waliokuwa wanafikiri watu wa enzi za mawe. Watu wenye akili wanajua kabisa kuwa viongozi hawajengi nchi bali wananchi ndiyo hujenga. Wanajua kuwa ushindani wa kisiasa kwa kutumia demokrasia ni moja ya misingi ya kuanza kuleta maendeleo. Unazungumzia Kenya, hivi unajua nchi yao ilikokuwa enzi za KANU na iliko sasa? Unadhani mabadiliko ya uongozi yanaleta matokeo chanya mara moja kama kubonyeza kitufe? Msingi inaweza kuwekwa leo lakini wajukuu wako au vitukuu na hata vilembwe ndiyo wakaanza kuona maendeleo. Ulaya unayoiona hakuanza hivyo, ni matokeo ya mapambano ya muda mrefu sana na magumu.
Demokrasia haileti maendeleo bali wananchi wenye maono na wenye weredi. Hiyo ulaya haijajengwa kwa demokrasia acha kujidanganya. Kama hujamwelewa mleta mada basi wewe una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako
 
Na kwa mantiki hiyo. Wananchi tukiwa waadilifu tunapata viongozi waadilifu. Tukiwa wa hovyo tunapata wa namna hiyo. Uwongozi una anza na sisi kwanza kwenye familia zetu. Andaa wanao na maadili sahihi kwanza kabla hujataka mabadiliko nje na kwako
Kweli kabisa, kitu ambacho wabongo wengi tunsahau
 
Utaisemea vp Uchina, UAE, nk.zina maendeleo tena maendeleo bora kushinda hizo nchi zenye demo krasia. Acha kutuongelesheA habari za ulaya, ulaya wanasapoti ushoga. Sasa wewe unatuletea habari zao kwani wewe vp kwenye majambo haya ya msingi. Acha istizaha na kuandika utoto.
 
Mambo ya kupiga ramli na uchumi wapi wapi, usilaumu dalili laumu chanzo cha wa Tanganyika kuwa hv, Tatizo la nchi yetu mi ccm, ccm wakibadirisha Sera, wakaweka watu wenye weredi (best and abled) meritocracy, kwenye maamuzi, ya ki uchumi tutafika mbali, sio, Rais anaamua ajenge airport kijijini kwake, hakuna biashara, hakuna ndege, amekufa uwanja umebaki wa, kuanikia mahindi, billions of shillings zimepotea, badala, ya, kuweka watu Bora, unaweka sycophants, machawa, wakusifia hata kama, Mambo hayaendi,
Kama chadema haiwezi, kuifanya bomgo iwe kama ulaya, ccm wameweza nini!
Ninachokiona ni Rais wao, kurembua macho tu kila siku, kama, amekula kungu
As
Ukisoma vizuri bila mihemko ya kisiasa utamwelewa mleta mada.
Hivi hiyo Chadema ndo ilikuwa na akin kigaila, mrema et.al ambao wmekimbia chama baada ya sponsor wao kushindwa uenykiti na saa wnakivuruga chama.
Hivi hao wtu wangepewa madaraka wangleta maendeleo wanayoyahubiri?
 
Tunaweza mkuu! Hata kama itachukua miaka mingi.Kinachokiwa ni kila mtanzania kuweka mbele Uzalendo kwa nchi yake. Kwa hiyo Nchi kama itaweka mipango ya maendeleo vizuri kwa kufanya tafiti mbali huku zikipiga vita rushwa,ufisadi,uzembe ubadhilifu wa mali ya Umma,uongo,nk inawezekana kabisa tukazifikia nchi za Ulaya.
Mkuu yaani watanzania wote tukiwa na mawazo kama yako yenye mtazamo wa 'october 25 Tiki kwa Mama' aise hatutoboi.
Zipo nchi zilikuwa maskini kama China,indonesia,nk lakini ziko mbali.
Aloo ndiyo natoka usingizini.
 
Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.

Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.

Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.

Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.

Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.

Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.

Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.

Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Mkuu Mi Mi
Kabla hii nchi haijawa Tanganyika, watu walikua na tabia zao, yaani mindset. Mindset inajengeka kutokana na society/community unayoishi. WaTanzania wa kabla ya Uhuru au miaka mia iliyopita walifikiri tofauti na wasasa na yote hiyo inasababishwa (influenced) na social, political na uchumi wa nchi. Watu wa wakati wa Nyerere tofauti kabisa na wa sasa.

Kwa hiyo culture ya mahali ndiyo yote. Huwezi kulinganisha China, Ulaya na Afrika. Culture zetu, yaani mila zetu ndizo zimetufikisha hapa.. Hata hapa Tanzania makabila yamechamganyika yameleta mila mpya, hiyo ndiyo ina-influence mahala popote. Kwa mfano mila za unyago na ngono zimekuwa ni desturi za kusifiwa sana, lakini mila hizo sehemu zingine kama Asia zimewaendeleza watu kuwa na hekima. Family values etc etc, lakini Africa zime promote polygamy, sex hoby culture etc etc

Sasa njo politically, ni Nyerere tu ndiyo aliwaunganisha watu toka kijijini hadi juu, yaani Manager wa kijiji, anahamasisha toka chini, lakini baadaye tumekuwa na gap kubwa kati ya kijijini na mjini, hakuna maendeleo bila "development theory", watu wameachwa wafanye wanalofanya kivyao. Sasa nenda kwenye nchi hizo ulizosema zimeendelea, watu wako informed, Manager wa kijiji yupo responsible, Manager wa Kata yupo responsible, na theories za development na awakening zipo kila siku,

Kujadili topic kama hii itachukua muda mrefu, lakini ni ukweli kabisa politicians hawako responsible. Ukilipa Kanisa katoliki leo billion litajenga Hospitali, Shule, kanisa, na huduma. Ukimpa mbunge hizo pesa haziwezi kufanya kazi yoyote. Mindset, na viongozi ambao hawana vision.
 
Demokrasia haileti maendeleo bali wananchi wenye maono na wenye weredi. Hiyo ulaya haijajengwa kwa demokrasia acha kujidanganya. Kama hujamwelewa mleta mada basi wewe una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako
Demokrasia HAILETI maendeleo ndiyo. Wewe ulidhani watu tunaopigania demokrasia huwa tunasema inaleta maendeleo? Demokrasia ni kichocheo muhimu tu kati ya vingi. Chukulia hivi: Moto ni muhimu sana kwenye kumfanya binadamu ale chakula.... lakini moto per se hauwezi kumfanya binadamu ale.... bila juhudi zake za kutafuta chakula cha kupika na pia kukipika bila kusahau vifaa vya kupikia. Statement kama hizi: ''Kama hujamwelewa mleta mada basi wewe una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako'' ni statement zinazopendwa sana na watanzania pale wanaposhindwa kutetea hoja yao au kutaka kila mtu akubaliane na anachosema. Tafakari: Kama viongozi na rais wa nchi wana uwezo wa kutumia fedha za nchi kwa manufaa yao bila kuulizwa chochote na yeyote na wakiulizwa wanakufunga au kukuua nchi itapata maendeleo? Bila shaka jibu ni hapana na huu ni mfano mmoja tu.
 
Na kwa mantiki hiyo. Wananchi tukiwa waadilifu tunapata viongozi waadilifu. Tukiwa wa hovyo tunapata wa namna hiyo. Uwongozi una anza na sisi kwanza kwenye familia zetu. Andaa wanao na maadili sahihi kwanza kabla hujataka mabadiliko nje na kwako
Upo sahihi sana
 
Ukisoma vizuri bila mihemko ya kisiasa utamwelewa mleta mada.
Hivi hiyo Chadema ndo ilikuwa na akin kigaila, mrema et.al ambao wmekimbia chama baada ya sponsor wao kushindwa uenykiti na saa wnakivuruga chama.
Hivi hao wtu wangepewa madaraka wangleta maendeleo wanayoyahubiri?
Umenielewa vyema
 
Kweli kweli , tunataka kuona wasomi wanafanya makubwa sio kujisifia kuajiriwa na UN ,Phd za mkopo ...kila siku mnadefend thesis bila ya kuleta kitu kipya kwenye jamii.
Kama umesoma PhD ya Mkopo anayekupa mkopo ana nguvu ya kuamua usomee jambo lipi. Slavery of 21st century.
 
Dogo sikiliza acha upumbavu na mihemko ya mitandaoni kisa siasa za kifala za Afrika.

Hata hizo reforms zikifanyika wewe huto nufahika kwa lolote ni familia za wanasiasa ndizo zita nehemeka na hizo reforms wewe utaendelea kula vumbi na kupush kampeni za kipuuzi.

Mdude yuko wapi,Soka,Ben nani anayejali hata kuhusu wao hata chama chake hakijali kuhusu wao.

Temana na siasa za kipuuzi
Achaa kunilishaa uoga ww ,mabadiliko lzm yafanyikee utaki n ww na kuvimbiwa kwako ,mm cna njaa yyt ila lzm reform,,Kwa hyo kina sokoine na Ben kupotea ndio iwe kigeo Cha kuogopaa ety🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom