Tanzania haiwezi kuwa kama Ulaya, Marekani, China hata CHADEMA wakichukua nchi

Ingewezekana kama tusingedai uhuru.
Kihehere tu cha wapigania uhuru ndio chanzo cha umasikini Africa
 
Si upinzani si tawala kimeshawahi leta mabadiliko kwenye nchi Africa.
Wote ni nyani na tumbili ugombeana zamu ya kuiba mahindi shambani.
Hakuna mtawala wa kiafrika yupo kwa maslai ya wananchi
 
Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.

Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.

Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.

Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.

Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.

Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.

Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.

Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Ili tusiseme TANU/CCM sio mwanzo wa tatizo je unaweza kutupa chama kingine kimetawala Tanzania na kikafeli..? Uongozi wa nchi ndio mwanzo wa kupiga hatua kwenda mbele zaidi. Kama wananchi wakikosoa namna zilizo mbaya katika kutumia rasilimali za nchi watapotezwa unategemea hatua ipi itapigwa..? Wewe ni ccm unataka kutetea ujinga
 
Liberia, Ghana, Zambia,Kenya Malawi,ashindae ndie upewa nchi lakini hakuna tofauti ya maisha.
Maisha ya waafrika weusi yote yanafanana, kuanzia vitu hovyo ukosefu wa ustaarabu,miji holela uswazi nenda Ghana, Cameroon, Angola, Malawi nk hakuna chochote.
Hakuna nchi yeyeto ya Africa ya kutolea mfano wa matunda ya uhuru zote ni kama zilirudi nyuma baada ya uhuru kwa kuvamiwa na wezi walioangalia matumbo yao na vitukuu vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye lindi la dhiki kuu tofauti na kabla ya uhuru,ambapo ajira zilikuwa tele, mkulima hakukosa soko, mkoloni hakuwa na shida na mwafrika kumiliki pesa kupitia biashara..
Ni propaganda tu za wapigania uhuru kuwapa mbwa jina baya ili kuhalalishwa kushindwa kwao kuwaletea wananchi maendeleo.
 
Africa itaaamka siku ikikataa kupokea misaaada.
Kwenye misaaada ndipo ipo siri
 
Kwaaa mbali ukituliza bichwa kuna kitu kinaingia kwenye ubongo
 
Laiti kama wapigania uhuru wangepigania maslai ya waafrika kusingekuwapo na umasikini
 
Uko sahihi,tatizo nikwamba bado tuko kwenye jamii za wajinga wengi werevu wachache.Dunia nzima wanasiasa wako kwa ajili ya kujineemesha ndo maana wanajipangia maslahi na stahiki mbalimbali nzuri nzuri ndo maana ata chadema wanapiga sana kelele kwenye mambo ya uchaguzi kuliko katiba kwasababu kwenye uchaguzi ndiko maslahi yao yalipo,Ni rahisi kuneemeka kupitia nafasi za kisiasa kuliko kuneemeka kupitia katiba bora.Tofauti ya wenzetu kwenye nchi zingine nasisi zakiafrika ni moja.Wenzetu wameweka taratibu,kanuni,sheria na katiba nzuri na bora zakumsimamia na kumuwajibisha mwanasiasa pale ambapo atafanya kinyume na aliyotakiwa kuyafanya wakati anapata hiyo nafasi.Uku kwetu hivyo vitu viko kwa ajili yakumlinda mwanasiasa afanye anavyotaka bila mwananchi kumwingilia.Mwananchi anakua niwakupokea tu maagizo sio kumsimamia aliyemwajiri.Kwa hali hiyo lazima maisha na maendeleo yawe tofauti na kwakusua sua.Sasa kwasababu wajinga ni wengi wajanja lazima watumie ujinga wao kujinufaisha kwakuletewa ahadi na matamko kedekede yakupumbaza ili uone maisha sindo haya kumbe mambo ni yale yale.
Nashangaa hapa eti wasomi wawe wanasiasa hao watendaji watatoe wapi?

Mtu aache ukurugenzi pale TRC ili akagombee ubunge si tatizo hilo , wasomi wa Tz hawana vitu kichwani mpaka wapige porojo za maneno pale bungeni ila sio watendaji ...Phd zote ni butu zinatumika kwenye kazi rahisi ,almost akili zao zimelala wanatafuta job security .
 
Demokrasia HAILETI maendeleo ndiyo. Wewe ulidhani watu tunaopigania demokrasia huwa tunasema inaleta maendeleo? Demokrasia ni kichocheo muhimu tu kati ya vingi. Chukulia hivi: Moto ni muhimu sana kwenye kumfanya binadamu ale chakula.... lakini moto per se hauwezi kumfanya binadamu ale.... bila juhudi zake za kutafuta chakula cha kupika na pia kukipika bila kusahau vifaa vya kupikia. Statement kama hizi: ''Kama hujamwelewa mleta mada basi wewe una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako'' ni statement zinazopendwa sana na watanzania pale wanaposhindwa kutetea hoja yao au kutaka kila mtu akubaliane na anachosema. Tafakari: Kama viongozi na rais wa nchi wana uwezo wa kutumia fedha za nchi kwa manufaa yao bila kuulizwa chochote na yeyote na wakiulizwa wanakufunga au kukuua nchi itapata maendeleo? Bila shaka jibu ni hapana na huu ni mfano mmoja tu.
Nitjie nchi moja iliyoendelea kupitia demokrasia uchwara za Kiafrika?
Unatakia usome kwa makini na kumuelewa mleta mad na nilicosema mimi. Ila ukija na mihemko ya kisiasa tena siasa uchwara za Afrika huwezi elewa
 
Mjinga mama yako na baba yako waliozaa taathira kama wewe na elimu yako ya kata ,kichwa maji mbwa takataka .Kama hujui umuhimu wa kuwa na katiba imara yenye kuenforce utawala wa sheria tofauti na useng€ unaoendelea sasa hivi humu nchini chini ya CCM , huna akili
Asante sana.
Ila kama demokrasia unayopigania ndo hii ya matusi pole
 
Nitjie nchi moja iliyoendelea kupitia demokrasia uchwara za Kiafrika?
Unatakia usome kwa makini na kumuelewa mleta mad na nilicosema mimi. Ila ukija na mihemko ya kisiasa tena siasa uchwara za Afrika huwezi elewa
Wewe una tatizo moja. Huelewi maana ya demokrasia. Hata kitendo cha kuandika ''demokrasia uchwara za kiafrika'' inaonyesha kabisa unakubali kuwa Afrika hakuna demokrasia (ni uchwara)na ndiyo maana tupo hapa tulipo. Ni hivi: demokrasia ikifanyika kwa dhati na kulingana na mazingira ya sehemu husika basi inaleta matokeo chanya. Na Afrika tuko hapa tulipo kwa sababu tuna demokrasia uchwara. NOTE: Demokrasia siyo lazima iwe na mfumo wa vyama vingi. Unaweza kuwa na mfumo wa vyama vingi lakini usiwe na demokrasia.
 
Dogo sikiliza acha upumbavu na mihemko ya mitandaoni kisa siasa za kifala za Afrika.

Hata hizo reforms zikifanyika wewe huto nufahika kwa lolote ni familia za wanasiasa ndizo zita nehemeka na hizo reforms wewe utaendelea kula vumbi na kupush kampeni za kipuuzi.

Mdude yuko wapi,Soka,Ben nani anayejali hata kuhusu wao hata chama chake hakijali kuhusu wao.

Temana na siasa za kipuuzi
Kweli mkuu wana siasa ni kama panya ukiziba tundu ili wasiingie kula nafaka na wao wanatafuta upeyo Mwingine, Mfano wa Viongozi waliokua chadema baada ya kuona mambo magumu hakuna tena pesa za bure wamekimbia.
 
Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.

Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.

Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.

Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.

Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.

Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.

Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.

Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Umejuaje
 
Wewe una tatizo moja. Huelewi maana ya demokrasia. Hata kitendo cha kuandika ''demokrasia uchwara za kiafrika'' inaonyesha kabisa unakubali kuwa Afrika hakuna demokrasia (ni uchwara)na ndiyo maana tupo hapa tulipo. Ni hivi: demokrasia ikifanyika kwa dhati na kulingana na mazingira ya sehemu husika basi inaleta matokeo chanya. Na Afrika tuko hapa tulipo kwa sababu tuna demokrasia uchwara. NOTE: Demokrasia siyo lazima iwe na mfumo wa vyama vingi. Unaweza kuwa na mfumo wa vyama vingi lakini usiwe na demokrasia.
Oky
Nimesema uchwara kwa sababu Demokrasia ya Afrika ipo katika kuwapa watu madaraka, baadhi wakiona haiwapi fursa ya kupata madark ndo wanpiga kelele.
Pamoja na yote hayo hakuna nchi ambayo imeendelea kupitia demokrasia. Nchi unazoziona zina demokrasia ambazo zimeendelea tambua kwamba maendeleo yalitangulia kabla ya demokrasia.

Walifnya kazi, kuna watu waliumia, wkatengeneza fursa na mifumo ya kuheshimiana, kujliana na kupendana kwa vitendo.
Huwzi pata demokrasia ya kweli kwa watu wabinafsi, wasioheshimiana wala kupendana kama ilivyo katika nchi nyingi za kiafrika. Soma tena andiko la mleta mada utaelewa anamaanisha nini
 
You are completely wrong. Hizi nchi unazozungumzia eti ziliendelea kabla ya kuwa na demokrasia, kama Ulaya, siyo kwamba zimeendelea sasa hivi kwa sababu hazikuwa na demokrasia. Ilikuwa tu concidence kuwa kipindi dunia bado iko nyuma, haijastaarabika ndiyo kilikuwa kipindi hizo nchi zinajijenga. Ingekuwa demokraisia haina umuhimu kwenye kuleta maendeleo, basi nchi nyingi za kiafrika zingekuwa ndiyo zina maendeleo kwa sababu nyingi zina demokrasia uchwara. Afrika inashindwa kwa sababu ya uongozi mbovu na moja ya elements za uongozi mbovu ni kukosa demokrasia.
 
Hakuna cha coincidence, maendeleo yana njia zake. Demokrasia ya kweli haikai kwa wenye njaa. Never.
Utapiga kelele lakini hakuna demokrasia kwa maskini walio na njaa. Tutafute maendeleo na siyo Demkokrasia. Nchi nyingi duniani zilizoendelea walijikita katika kutafuta maendeleo siyo demokrasia.
Angalia China, Singapore nk utaelewa. Acheni kupotosha wananchi wanahitaji uhakika, usalama na maisha bora ambayo hayaji kwa kutafuta demokrasia bali kwa kutafuta maendeleo
 
Demokrasia si tu uchaguzi, bali ni mfumo unaohakikisha uwajibikaji, usawa, haki za binadamu, na uhuru wa kujieleza — mambo ambayo ni msingi wa maendeleo ya kweli na endelevu. Kukiwa na demokrasia, wananchi wana nafasi ya kuwawajibisha viongozi, kushiriki katika maamuzi, na kulinda haki zao — hali inayochochea maendeleo jumuishi.
Hii ni dichotomy (mgawanyiko wa bandia). Haipaswi kuwa maendeleo badala ya demokrasia, bali maendeleo kupitia demokrasia
Wewe umekuwa brain-washed na CCM ili wapate kukutawala vizuri na watanzania wenye mawazo kama yako wako wengi kweli.Wananchi wanahitaji maendeleo na demokrasia. Hili si suala la kuchagua moja. Maendeleo yanapaswa kuja kwa njia inayowahusisha watu, siyo kwa kuwafumba midomo. Hivyo, kauli hiyo inapuuzia umuhimu wa uwajibikaji wa kidemokrasia na inaweza kutumiwa vibaya kuhalalisha utawala wa mabavu.
 
Wewe no unaiwaza demokrasia katika muktadha wa uchaguzi n mitazamo ya wanasiasa.
Kwamba nimekuwa brainwashed na CCM. Ili uelewe ninachokisem lazima ujitoe kwenye mtizamo wa kisiasa. Hata mimi ninaweza sema umekuwa brainwashed na wanaoitwa Wapinzani.
Demokrasia haimwajibishi kiongozi au mtawala bali kiongozi au mtawala anapaswa kuwajibika kutokana na utekelezaji wake wa majukumu aliyopewa.
Narudia tena kamsome mleta mada bila kuweka mitazamo ya kisiada utaelewa namaanisha nini.
 
Back
Top Bottom