Rubbish !Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.
Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.
Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.
Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.
Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.
Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.
Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.
Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Hongera sana.Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.
Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.
Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.
Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.
Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.
Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.
Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.
Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Haya mawazo unayo wewe na baadhi ya watanzania na siyo kila mtu. Tena ni mawazo ya kijinga sana kama yale waliokuwa wanafikiri watu wa enzi za mawe. Watu wenye akili wanajua kabisa kuwa viongozi hawajengi nchi bali wananchi ndiyo hujenga. Wanajua kuwa ushindani wa kisiasa kwa kutumia demokrasia ni moja ya misingi ya kuanza kuleta maendeleo. Unazungumzia Kenya, hivi unajua nchi yao ilikokuwa enzi za KANU na iliko sasa? Unadhani mabadiliko ya uongozi yanaleta matokeo chanya mara moja kama kubonyeza kitufe? Msingi inaweza kuwekwa leo lakini wajukuu wako au vitukuu na hata vilembwe ndiyo wakaanza kuona maendeleo. Ulaya unayoiona hakuanza hivyo, ni matokeo ya mapambano ya muda mrefu sana na magumu.Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.
Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.
Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.
Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.
Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.
Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.
Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.
Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Ndo ujinga aliousema mleta. Hata reforms zikifanyika ukashinda uchaguzi kwa huu ujinga tulionao hakuna maendeleo.Rubbish !
No reform no election
Perioood
Mambo ya kupiga ramli na uchumi wapi wapi, usilaumu dalili laumu chanzo cha wa Tanganyika kuwa hv, Tatizo la nchi yetu mi ccm, ccm wakibadirisha Sera, wakaweka watu wenye weredi (best and abled) meritocracy, kwenye maamuzi, ya ki uchumi tutafika mbali, sio, Rais anaamua ajenge airport kijijini kwake, hakuna biashara, hakuna ndege, amekufa uwanja umebaki wa, kuanikia mahindi, billions of shillings zimepotea, badala, ya, kuweka watu Bora, unaweka sycophants, machawa, wakusifia hata kama, Mambo hayaendi,Ujinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.
Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.
Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.
Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.
Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.
Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.
Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.
Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.amboambo
Demokrasia haileti maendeleo bali wananchi wenye maono na wenye weredi. Hiyo ulaya haijajengwa kwa demokrasia acha kujidanganya. Kama hujamwelewa mleta mada basi wewe una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wakoHaya mawazo unayo wewe na baadhi ya watanzania na siyo kila mtu. Tena ni mawazo ya kijinga sana kama yale waliokuwa wanafikiri watu wa enzi za mawe. Watu wenye akili wanajua kabisa kuwa viongozi hawajengi nchi bali wananchi ndiyo hujenga. Wanajua kuwa ushindani wa kisiasa kwa kutumia demokrasia ni moja ya misingi ya kuanza kuleta maendeleo. Unazungumzia Kenya, hivi unajua nchi yao ilikokuwa enzi za KANU na iliko sasa? Unadhani mabadiliko ya uongozi yanaleta matokeo chanya mara moja kama kubonyeza kitufe? Msingi inaweza kuwekwa leo lakini wajukuu wako au vitukuu na hata vilembwe ndiyo wakaanza kuona maendeleo. Ulaya unayoiona hakuanza hivyo, ni matokeo ya mapambano ya muda mrefu sana na magumu.
Kweli kabisa, kitu ambacho wabongo wengi tunsahauNa kwa mantiki hiyo. Wananchi tukiwa waadilifu tunapata viongozi waadilifu. Tukiwa wa hovyo tunapata wa namna hiyo. Uwongozi una anza na sisi kwanza kwenye familia zetu. Andaa wanao na maadili sahihi kwanza kabla hujataka mabadiliko nje na kwako
Ukisoma vizuri bila mihemko ya kisiasa utamwelewa mleta mada.Mambo ya kupiga ramli na uchumi wapi wapi, usilaumu dalili laumu chanzo cha wa Tanganyika kuwa hv, Tatizo la nchi yetu mi ccm, ccm wakibadirisha Sera, wakaweka watu wenye weredi (best and abled) meritocracy, kwenye maamuzi, ya ki uchumi tutafika mbali, sio, Rais anaamua ajenge airport kijijini kwake, hakuna biashara, hakuna ndege, amekufa uwanja umebaki wa, kuanikia mahindi, billions of shillings zimepotea, badala, ya, kuweka watu Bora, unaweka sycophants, machawa, wakusifia hata kama, Mambo hayaendi,
Kama chadema haiwezi, kuifanya bomgo iwe kama ulaya, ccm wameweza nini!
Ninachokiona ni Rais wao, kurembua macho tu kila siku, kama, amekula kungu
As
Mkuu Mi MiUjinga uliopo katika nchi ya Tanzania na katika mataifa mengi ya Afrika ni wananchi kufikiri watawala wao ndio wenye matatizo pekee ila wao wananchi hawana shida.
Shida ya Tanganyika ni Watanganyika wengi kufikiri chama cha TANU ndicho chenye shida pekee ila wao Watanganyika wengine walio nje ya TANU hawana shida lakini ukweli ni kwamba ujinga na mjinga unaye mpata ndani ya TANU ndie utakaye mpata nje ya TANU.
Hata Chadema wakitwaa dola na huyu Lissu anaye sifiwa sana hakuna kitu cha maana watakachofanya,watafanya yale yale wanayo fanya TANU.
Afrika siasa ni ulaji,vijana wadogo wanakufa kifala kisa kufuata mikumbo ya kisiasa kwa wanasiasa malaya malaya waliopo Afrika.
Kiuhalisia ni kuwa Tanganyika na sehemu kubwa ya Afrika hasa Waafrika weusi kumejaa ujinga na watu wajinga wajinga wengi sana hawa watu hawawezi kujikwamua walipo hata wabadili vyama vya siasa kama nguo za ndani lakini kama ujinga wao hautakoma hakuna la maana litakalo fanyika.
Wakenya walio mshangilia Ruto ndio leo wana mmlilia Ruto na walio mshangilia Odinga ndio leo Odinga kaungana na Ruto kuwa adhibu vijana wenye mihemko ya kisiasa katika siasa za kiafrika.
Tambueni kuwa hakuna mwanasiasa wa Afrika anaye humizwa wala kujali kuhusu shida zenu wanacho jali ni kuhusu maslahi yao na ndugu na jamaa walio wazunguka na ndio maana walio pigania uhuru waligeuka kuwa madikteta ya kutupwa.
Msicho fahamu ni kuwa Kenya KANU haipo tena madarakani leo na wala hakuna la maana Kenya, leo ana tukanwa Ruto nina uhakika hata atakaye kuja atatukanwa kama anavyo tukanwa Ruto vijana wakiendelea kufa wanasiasa wakiendelea kukunja manoti wao na ndugu na jamaa.
Demokrasia HAILETI maendeleo ndiyo. Wewe ulidhani watu tunaopigania demokrasia huwa tunasema inaleta maendeleo? Demokrasia ni kichocheo muhimu tu kati ya vingi. Chukulia hivi: Moto ni muhimu sana kwenye kumfanya binadamu ale chakula.... lakini moto per se hauwezi kumfanya binadamu ale.... bila juhudi zake za kutafuta chakula cha kupika na pia kukipika bila kusahau vifaa vya kupikia. Statement kama hizi: ''Kama hujamwelewa mleta mada basi wewe una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako'' ni statement zinazopendwa sana na watanzania pale wanaposhindwa kutetea hoja yao au kutaka kila mtu akubaliane na anachosema. Tafakari: Kama viongozi na rais wa nchi wana uwezo wa kutumia fedha za nchi kwa manufaa yao bila kuulizwa chochote na yeyote na wakiulizwa wanakufunga au kukuua nchi itapata maendeleo? Bila shaka jibu ni hapana na huu ni mfano mmoja tu.Demokrasia haileti maendeleo bali wananchi wenye maono na wenye weredi. Hiyo ulaya haijajengwa kwa demokrasia acha kujidanganya. Kama hujamwelewa mleta mada basi wewe una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako
Upo sahihi sanaNa kwa mantiki hiyo. Wananchi tukiwa waadilifu tunapata viongozi waadilifu. Tukiwa wa hovyo tunapata wa namna hiyo. Uwongozi una anza na sisi kwanza kwenye familia zetu. Andaa wanao na maadili sahihi kwanza kabla hujataka mabadiliko nje na kwako
Umenielewa vyemaUkisoma vizuri bila mihemko ya kisiasa utamwelewa mleta mada.
Hivi hiyo Chadema ndo ilikuwa na akin kigaila, mrema et.al ambao wmekimbia chama baada ya sponsor wao kushindwa uenykiti na saa wnakivuruga chama.
Hivi hao wtu wangepewa madaraka wangleta maendeleo wanayoyahubiri?
Kama umesoma PhD ya Mkopo anayekupa mkopo ana nguvu ya kuamua usomee jambo lipi. Slavery of 21st century.Kweli kweli , tunataka kuona wasomi wanafanya makubwa sio kujisifia kuajiriwa na UN ,Phd za mkopo ...kila siku mnadefend thesis bila ya kuleta kitu kipya kwenye jamii.
Achaa kunilishaa uoga ww ,mabadiliko lzm yafanyikee utaki n ww na kuvimbiwa kwako ,mm cna njaa yyt ila lzm reform,,Kwa hyo kina sokoine na Ben kupotea ndio iwe kigeo Cha kuogopaa ety🤔🤔🤔🤔Dogo sikiliza acha upumbavu na mihemko ya mitandaoni kisa siasa za kifala za Afrika.
Hata hizo reforms zikifanyika wewe huto nufahika kwa lolote ni familia za wanasiasa ndizo zita nehemeka na hizo reforms wewe utaendelea kula vumbi na kupush kampeni za kipuuzi.
Mdude yuko wapi,Soka,Ben nani anayejali hata kuhusu wao hata chama chake hakijali kuhusu wao.
Temana na siasa za kipuuzi