Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti.

Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
 
Kuna ka harufu ya siasa za Kenya sema kilichobadilika wameona huku kugawanya watu kwa makabila ni ngumu wameamua kutumia dini....mambo ya divide and conquer
 
Nyie mnachotafuta mtakipata , nchi hii ina watu hawana dini nyie leteni mikwara yenu uone kama kuna mvaa joho ataingia vitani na uzee wake , kwanza ni waoga ..Mnataka watu wa jihadi wawe wanaingilia serikali ili patokee vita sio ?
 
Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti.

Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
Na wadini na waliopandikiza udini ni waroma
 
Kuna mshenzi katoka kwao huko sijui wapi, anakuja kututesea ndugu yetu kosa asikosolewe kwa mifumo yake mibovu ya kuongoza ofisi
 
Kuna ka harufu ya siasa za Kenya sema kilichobadilika wameona huku kugawanya watu kwa makabila ni ngumu wameamua kutumia dini....mambo ya divide and conquer
Lipo kitambo hili,hata ufuasi wa vyama ni kwa misingi ya dini
 
Wafuasi wa CCM ni wa dini gani??
CCM pekee ndiyo inabalance hili tatizo,cdm ikishika hatamu waislam wataanzisha harakati za kisiasa zisizomithilika na nchi itakua kwenye chaos kubwa
 
Unaendeleza udini chini ya zuria la bara na visiwani,huyo mteswaji alilimwa risasi 40 na mtawala toka bara
Mimi na udini wapi na wapi? Nyie wenye dini zenu za kuletwa majahazi mnanichukia na dini yangu ya asili mnayoiita u Pagani. Nyie pambaneni na dini zenu za malaika na majini
 
CCM pekee ndiyo inabalance hili tatizo,cdm ikishika hatamu waislam wataanzisha harakati za kisiasa zisizomithilika na nchi itakua kwenye chaos kubwa
Kwa hiyo kuna Wakatoliki ndani ya CCM pia??
 
Sisi sote ndugu zanguni ni wachrist namaanisha uislamu na ukatoliki, misingi yetu tumeijenga juu yake Christ, tunakataa ubabe na uonevu, ni heri mtumwa atukuzwe kuliko mbabe aendelee kutawala,

Wa kuwalaumu ni hawa wasomi mliowapeleka wakasome dini, wengi walirudi na mashetani badala ya neno..

Nani anayesimama na miguu miwili anapenda siasa kuliko silka
 
Na wadini na waliopandikiza udini ni waroma
Kwa sababu ni wasomi na wameshika sehemu nyingi na kwa sababu ni professionals ,nyie na kobazi badala ya kusoma mnaenda madrasa kucheza karatee
 
Halikua kubwa sana ila kwa sasa linakuzwa.....na kuna mkono tokea nje unataka kutumia hii nafasi
Lilikuwepo,sema sasa hivi upande wa pili wameshtuka,so ukiweka ugoko nao wanaweka nyundo
 
Back
Top Bottom