Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

Kwa sababu ni wasomi na wameshika sehemu nyingi na kwa sababu ni professionals ,nyie na kobazi badala ya kusoma mnaenda madrasa kucheza karatee
Sheikh takadiri aliona dalili za nyerere na udini wake,akawaonya waislam wakampuuza,1968 nyerere anaua taasisi ya waislam,wizara ya elimu anaweka padre,wanafaulu wakristu 75%+ kila mwaka kwenda sekondari,hapo ulikua unajengwa mfumo kristo, mpaka 1990s ofisi za umma waislam ni chini ya 25%,wengi matarishi na madereva, wakristu wanaona serikali ni mali yao,ofisi za umma kupambwa mapambo ya krismass ni kawaida,na gharama ni za serikali
Leo ikulu kuna ushungi, ofisi kibao zina ushungi,watu vigangoni roho zinauma,na heri wazowee,maana itafika tu 50/50
 
Kwa nini leo hii ofisi kibao zina ushungi na sio wakati wa JK??
 
Sheikh takadiri aliona dalili za nyerere na udini wake,akawaonya waislam wakampuuza,1968 nyerere anaua taasisi ya waislam,wizara ya elimu anaweka padre,wanafaulu wakristu 75%+ kila mwaka kwenda sekondari,hapo ulikua unajengwa mfumo kristo, mpaka 1990s ofisi za umma waislam ni chini ya 25%,wengi matarishi na madereva, wakristu wanaona serikali ni mali yao,ofisi za umma kupambwa mapambo ya krismass ni kawaida,na gharama ni za serikali
Leo ikulu kuna ushungi, ofisi kibao zina ushungi,watu vigangoni roho zinauma,na heri wazowee,maana itafika tu 50/50
Endelea kuota elimu hamna , no 1 mwenyewe ni incompetent Bila katiba hakufaa kua ata balozi wa nyumba kumi
 
Back
Top Bottom