gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Sheikh takadiri aliona dalili za nyerere na udini wake,akawaonya waislam wakampuuza,1968 nyerere anaua taasisi ya waislam,wizara ya elimu anaweka padre,wanafaulu wakristu 75%+ kila mwaka kwenda sekondari,hapo ulikua unajengwa mfumo kristo, mpaka 1990s ofisi za umma waislam ni chini ya 25%,wengi matarishi na madereva, wakristu wanaona serikali ni mali yao,ofisi za umma kupambwa mapambo ya krismass ni kawaida,na gharama ni za serikaliKwa sababu ni wasomi na wameshika sehemu nyingi na kwa sababu ni professionals ,nyie na kobazi badala ya kusoma mnaenda madrasa kucheza karatee
Mtu mzima kuuliza maswali ya kijingaKwa hiyo kuna Wakatoliki ndani ya CCM pia??
Kwa nini leo hii ofisi kibao zina ushungi na sio wakati wa JK??Leo ikulu kuna ushungi, ofisi kibao zina ushungi,watu vigangoni roho zinauma,na heri wazowee,maana itafika tu 50/50
Mbuyu unaoabudu ukipigwa radi utatafuta mwingineMimi na udini wapi na wapi? Nyie wenye dini zenu za kuletwa majahazi mnanichukia na dini yangu ya asili mnayoiita u Pagani. Nyie pambaneni na dini zenu za malaika na majini
Endelea kuota elimu hamna , no 1 mwenyewe ni incompetent Bila katiba hakufaa kua ata balozi wa nyumba kumiSheikh takadiri aliona dalili za nyerere na udini wake,akawaonya waislam wakampuuza,1968 nyerere anaua taasisi ya waislam,wizara ya elimu anaweka padre,wanafaulu wakristu 75%+ kila mwaka kwenda sekondari,hapo ulikua unajengwa mfumo kristo, mpaka 1990s ofisi za umma waislam ni chini ya 25%,wengi matarishi na madereva, wakristu wanaona serikali ni mali yao,ofisi za umma kupambwa mapambo ya krismass ni kawaida,na gharama ni za serikali
Leo ikulu kuna ushungi, ofisi kibao zina ushungi,watu vigangoni roho zinauma,na heri wazowee,maana itafika tu 50/50
Buza kwa Lulenge au kwa Mama Bonge?Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza
Mwanakondoo ameshinda tumfuateMbuyu unaoabudu ukipigwa radi utatafuta mwingine
Tangu jkKwa nini leo hii ofisi kibao zina ushungi na sio wakati wa JK??