Uchaguzi 2020 Tanzania hakuna Vyama vya Upinzani makini

Besta Mlagila

Senior Member
Joined
May 29, 2018
Posts
101
Reaction score
191
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa wananchi.

Nini Matokeo yake
Mpaka unafika mwaka wa uchaguzi Si CHADEMA, ACT Wazalendo wala CUF waliokuwa wanajua nani angesimamishwa katika nafasi ya Urais kushindana na JPM, Mpaka uchaguzi umekaribia CHADEMA wakamsimamisha LISSU, ACT Wazalendo wakamsimamisha MEMBE na CUF wakamsimamisha LIPUMBA.

Katika kampeni zinazoendeleo mgombea anayefanya kampeni kwa kiasi kikubwa ni TUNDU LISSU lakini ukimsikiliza hoja anazotoa majukwaani haziakisi maisha ya mtanzania wa kawaida anayehitaji Maji safi, Huduma za Afya bora, Kilimo cha uhakika, nk badala yake anaahidi uhuru wa kuongea, kutoa mawazo na kutoa ahadi nono bila kueleze utekelezaji wake kitendo kinacosababisha zionekane ni danganya toto.

Nini Kinaendelea sasa
Baada ya Wapinzani (CHADEMA na ACT) kuona JPM atawashinda kwa urahisi wameamua kuungana na Kumsaliti MEMBE kitendo kinacholeta sintofahamu kwa wananchi na baadhi ya wanachama.

HAKIKA kinacoendelea wapinzani kusigana siku 7 kabla ya uchaguzi ni anguko la upinzani nchini.
 
Hakuna nchi yoyote Afrika iliyowahi kuondoa chama tawala kwa KIKUNDI KIDOGO CHA UPINZANI.

Vunja vikundi unda kikundi muondoe huyo NDULI apate changamoto kidogo akili imkae.

Chadema wafanyabiashara.
A. C. T wapiga dili

C. U. F mfu
Undeni chama kitakachaitwa CAC nduli ameshiba huyoo ninyi vimbaumbau!!
 
Mna hofu kubwa nyie wana CCM endeleeni kuitegemea tume ya uchaguzi kwa uhai wenu.
 
2015 mpasuko uliokuwa CCM ulipelekea mgombea wa ukawa kushinda alietokea CCM na kugombea Chadema Mhe Lowasa, lakini hakutangazwa ila tuna imani kubwa alishinda.

Uungwaji kutoka kwa wanachama wa CCM na upinzani ulipelekea Lowasa kupata kura nyingi sana, hata ukiona idadi ya watu ktk mikutano ya hadhara ilikuwa na watu wengi zaidi ya Tundu Lissu kwa sasa.

2020 Lissu kipindi hiki uungwaji wake mkono ni kwa upinzani tu na hii kupelekea kupata idadi ya watu wengi lakini hawafikii kwa Lowasa, na hata ushindi wake hautafikia wa Lowassa kama iliyokuwa 2015.
 
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa wananchi.
Ha Ha Ha. Tunamasikio na macho na tumeona na kusikia yaliyotendeka, kwa nini mnataka kutufanya mafala? Jamaa alichukua hatua zote za kuua upinzani, bungeni tumeyaona, vyama vya siasa vimeshughulikiwa sawa sawa-muulize Maalim na Lipumba.

Mikutano ikazimwa, kutekana kukaongezeka. Muulize Mbowe alichofanyiwa. Ya Lissu hayana haja ya kuyazungumza. Wabunge wakanunuliwa-unataka ushahidi gani tena. Sasa CHADEMA "iliyokufa" ndiyo hiyo.

Hivi umeona wapi na nchi gani watu wanakosa sera za kuelezea wananchi? Kama mliamini hivyo basi itakula kwenu.........................(LoL)
 
2015 mpasuko uliokuwa Ccm ulipelekea mgombea wa ukawa kushinda alietokea Ccm na kugombea Chadema mhe Lowasa, lakini hakutangazwa ila tuna imani kubwa alishinda.

Uungwaji kutoka kwa wanachama wa Ccm na upinzani ulipelekea Lowasa kupata kura nyingi sana, hata ukiona idadi ya watu ktk mikutano ya hadhara ilikuwa na watu wengi zaidi ya Tundu Lissu kwa sasa.

2020 Lissu kipindi hiki uungwaji wake mkono ni kwa upinzani tu na hii kupelekea kupata idadi ya watu wengi lakini hawafikii kwa Lowasa, na hata ushindi wake hautafikia wa Lowassa kama iliyokuwa 2015.
Makamanda uchwara hawakuelewi.
 
2020 Lissu kipindi hiki uungwaji wake mkono ni kwa upinzani tu na hii kupelekea kupata idadi ya watu wengi lakini hawafikii kwa Lowasa, na hata ushindi wake hautafikia wa Lowassa kama iliyokuwa 2015.
2020 CCM kwa umoja wao watampa kura Lisu. Kwasbb Magufuli alijimilikisha ccm na kukiendesha chama kama familia yake.

Kama Mambo ndani ya ccm yangeamuliwa na wanachama Bashiru na Polepole wasingekuwa viongozi wa ngazi hizo, Membe asingefukuzwa, Kinana, Kikwete, Hayati Mkapa na Makamba wasingetukanwa na Musiba.

Hasira hizi za wanaccm zinaishia kwenye sanduku la kura.
 
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa wananchi.

Nini Matokeo yake;-

Mpaka unafika mwaka wa uchaguzi Si CHADEMA, ACT Wazalendo wala CUF waliokuwa wanajua nani angesimamishwa katika nafasi ya Urais kushindana na JPM, Mpaka uchaguzi umekaribia CHADEMA wakamsimamisha LISSU, ACT Wazalendo wakamsimamisha MEMBE na CUF wakamsimamisha LIPUMBA.

Katika kampeni zinazoendeleo mgombea anayefanya kampeni kwa kiasi kikubwa ni TUNDU LISSU lakini ukimsikiliza hoja anazotoa majukwaani haziakisi maisha ya mtanzania wa kawaida anayehitaji Maji safi, Huduma za Afya bora, Kilimo cha uhakika, nk badala yake anaahidi uhuru wa kuongea, kutoa mawazo na kutoa ahadi nono bila kueleze utekelezaji wake kitendo kinacosababisha zionekane ni danganya toto.

Nini Kinaendelea sasa;-

Baada ya Wapinzani (CHADEMA na ACT) kuona JPM atawashinda kwa urahisi wameamua kuungana na Kumsaliti MEMBE kitendo kinacholeta sintofahamu kwa wananchi na baadhi ya wanachama.

HAKIKA kinacoendelea wapinzani kusigana siku 7 kabla ya uchaguzi ni anguko la upinzani Nchini.
Yaani kila siku ccm ahadi zenu ni zile zile tumechoka kila siku maji maji maji miaka mitano ijayo tena maji maji mara madawa lini mtazungumzia sera za kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa east Afrika na Afrika kwa ujumla kama hoja zenu miaka nenda rudi ni zile zile? Sasa basi
Wacha tumpigie kura za ndio Lissu mkajipange kwanza benchi.
 
Ukiona GENTAMYCINE nakuambia ni CCM na nakipenda Chama cha CCM basi jua ni Kizuri. Imara na Bora kabisa hata Mwenyezi Mungu anakubali.
Kwa taarifa yako wanachama wengi wa CCM wapo nyuma ya Lissu ili awasaidie kukikomboa chama na waepuke balaa la kulazimishiwa watu kama Bashite 2025. Wanamuita adui mwenye manufaa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Sisi wana CCM Werevu ambao tunaenda na Mgombea wetu Dkt. Magufuli na wale wana CCM Wapumbavu je, hapa 'unawalenga' wepi hasa?
 
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa wananchi.

Nini Matokeo yake;-

Mpaka unafika mwaka wa uchaguzi Si CHADEMA, ACT Wazalendo wala CUF waliokuwa wanajua nani angesimamishwa katika nafasi ya Urais kushindana na JPM, Mpaka uchaguzi umekaribia CHADEMA wakamsimamisha LISSU, ACT Wazalendo wakamsimamisha MEMBE na CUF wakamsimamisha LIPUMBA.

Katika kampeni zinazoendeleo mgombea anayefanya kampeni kwa kiasi kikubwa ni TUNDU LISSU lakini ukimsikiliza hoja anazotoa majukwaani haziakisi maisha ya mtanzania wa kawaida anayehitaji Maji safi, Huduma za Afya bora, Kilimo cha uhakika, nk badala yake anaahidi uhuru wa kuongea, kutoa mawazo na kutoa ahadi nono bila kueleze utekelezaji wake kitendo kinacosababisha zionekane ni danganya toto.

Nini Kinaendelea sasa;-

Baada ya Wapinzani (CHADEMA na ACT) kuona JPM atawashinda kwa urahisi wameamua kuungana na Kumsaliti MEMBE kitendo kinacholeta sintofahamu kwa wananchi na baadhi ya wanachama.

HAKIKA kinacoendelea wapinzani kusigana siku 7 kabla ya uchaguzi ni anguko la upinzani Nchini.

Kuwazonga waandishi wa habari na kuwapa kesi, kuzuia mikutano ya hadhara kuwabana wananchi wasiongee mabaya ya serikali na bado upinzani upo namna hii basi ametenda kinyume na alivyoahidi.
 
Tunampambania kachero wetu mtoto wa Kamilius.......siasa za kijinga sana😁
 
Hakuna nchi yoyote Afrika iliyowahi kuondoa chama tawala kwa KIKUNDI KIDOGO CHA UPINZANI.

Vunja vikundi unda kikundi muondoe huyo NDULI apate changamoto kidogo akili imkae.

Chadema wafanyabiashara.
A. C. T wapiga dili

C. U. F mfu
Undeni chama kitakachaitwa CAC nduli ameshiba huyoo ninyi vimbaumbau!!
Mi nadhani tatizo sio kuunda kikundi. Shida ni kiongozi wa kikundi atakuwa nani.
 
Kwa taarifa yako wanachama wengi wa CCM wapo nyuma ya Lissu ili awasaidie kukikomboa chama na waepuke balaa la kulazimishiwa watu kama Bashite 2025. Wanamuita adui mwenye manufaa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hapo sijakuelewa, yaani mwanadada amtaftie mumewe mke mwingine, ili amsaidie kulea mwanae!
 
Back
Top Bottom