Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo .

So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
 
Vyama vya upinzani vipo kama vina maslahi ya moja kwa moja kwako, lakini kinyume na hapo vyama vya upinzani havina maslahi..

kama unapata pesa (elewa neno pesa) na maisha yanasonga kupitia vyama vya upinzani basi jua una maslahi navyo, napambana viendelee kuwepo

Kama hupati chochote kupitia vyama vya upinzani, basi acha kupoteza muda wako
 
Yawezekana mbowe akawa tawi la CCM. TBC kurusha live mkutano wake hii ni aibu
 
Moja kati ya mada bora kabisa ya mwaka huu. Ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom