Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Kwanza angalia umbali wa hio image na nilishakwambia dar hakuna slum kuna unplanned settlement
Lakini kwa mujibu wa map yako, Nairobi iko na slums chache (only 15), na planned settlements kibao!
 
Yeah. kaa mbali na mimi. kubali umeshindwa. hata mtoto ako kindergaten ("chekechea" kama sijakosea) Kenya anaeza kukutoanisha vibaya sana. if you can't express yourself in English in Kenya, it means you never set your feet in a classroom door.

nilikwambia kabla,kuwa si tu kingereza bali hata lugha adhimu ya kiswahili huijui.

mtoto ako = mtoto aliye

Kenya anaeza = kenya anaweza

kukutoanisha = kukutoa

Jifunze kwanza lugha ya kiswahili halafu uombe mjadala na mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watu wanaishi Slum za dar ni maskini tu kama wale wanoishi slumza Kibera...... hawana maji safi, mazingira masasi, au uwezo wa kiuchumi....... Lakini kinachofanya kibera iwe mbaya zaidi ni kwavile kibera ni mahali padogo sana ki jiografia (Ukilinganisha na hata mbuga ya wanyama ya Nairobi(Nairobi National Park NNP) ni 117square Kilometer wakati Kibera ni 2.5 sq.km) , hivyo kila kitu kimeshikana..... Tena ukumbuke Dar iko pwani -Upande wa pwani hua kuna design tofauti za kujenga, Mara nyingine si lazima uwe na simiti, Unaezajenga na udongo na ukuta flat nimeona hata mombasa vitongoo duni hua wanafanya hivyo.
---- Tofauti na kibera, pale wanaokaa kwa hayo mabati, si yao, wanakodisha na kulipa from 300,400-700Ksh kwa mwezi, ukipatengeneza unatengezea mkodishaji,mwezi ujao ukishindwa kulipa atakuhamisha!

Nilikua nasoma kuhusu dar nikaona mahali flani WB inasema suluhisho moja kupunguza uongezeko wa slum dar ni kupanua mipaka ya jiji kama vile swiden au sijui netherlands ilivyofanya...... Naona nairobi ikifuatilia hivyo na ikifanyikiwa kupanua mipaka ya mji pia tutatatua shida kadhaa, manake vile Nairobi ni ndogo, kununua shamba ekari moja ni zaidi ya pesa utakazotumia kujenga nyumba ndogo.. Wakiongeza jiji labda kutakua na nafasi ya kupumua..... Tena isitoshe, Nairobi Ni 684 skq.km wakati NNP ni 117sq.km hii inamaanisha 20% ya nairobi (ambayo ni ndogo tayari) ni mbuga ya wanyama!



Angalia nairobi, Mji mkubwa wenye watu wengi zaidi Kenya, huo mji na pia Mombasa imebewa mipaka midogo sana


Kama Nairobi haitaongezwa mipaka basi ile mipango ya Nairobi Metro iharakishwe ili hata watu wa mapato ya chini wawe na uwezo wa kusafiri kila asubuhi na jioni kwa nauli ndogo kupitia treni au BTR kutoka metro region kwa county jirani kama Kajiado,Kiambuu, Machakos wakija Nairobi ili wawe hawana haja ya kuishi kibera ambapo wanaweza tembea hadi CBD wakitafuta kazi..


Alafu hayo mambo ya sijui morgage ya bei nafuu, hayata saidia, Tayari wakaazi wa kibera walianza kujengewa apartmets hapo kando ya kibera ambapo walikua watalipa bei nafuu(Nafikiri ilikua 1000 kwa mwezi 1 bedroom na 2k for 2 bedroom), Lakini mradi wenyewe ulionekana kufanya zero work, pindi wakazi wa kibera walipoanza kuhamishwa kwa hizo nyumba, walizikodisha 4K-5k kwa wakenya wengine na wakarudi kibera ya mabati ili wapate faida , Kwahivyo suluhisho la kuhamisha wakaazi wa kibera ni mwanzo uwapatie kazi itakayo lipa vizuri

apartment mpya za kibera ndo hizo hapo unaziona zilijengewa hata ukuta na barabara


Zile picha nimeona zikiwekwa hapa za kibera ni za kitambo, sasa kuna barabara (southern by-pass inapita kati kati ya kibera

Ukiangalia upande wa kushoto bado ni hizo appartment mpya zilizojengewa za wakaazi wa kibera, lakini kama nilivyosema, wengine wao walizikodisha na kurudi Kibera ya mabati

ukiangalia hapo wamesafisha wanataka kuongeza apartment zengine, lengo ni kuondoa kibera polepole, lakini serekali imegundua ni vigumu sana

 

hahaha. you never seize to amaze me. jibambe mzae.
Americans and British both speak English but is their English the same??
Germans and Austrians both speak Deutsch but is the Deutsch spoken in both countries the same???
Jiulize kwa Kenya na Danganyika pis hilo swali kosha utapata jibu. sawa mwalimu? but msanii mkubwa kama Diamond (an A-list celebrity in Danganyika) "ku-murder" lugha ya Kiingereza ati "I feel so INCOMPLETED...." lolwhut????? apo ata mimi pia "ameni_moda" my friend. ivi sasa niko hosi nawekewa drip. You are not different anyway either.

[HASHTAG]#Utanipata[/HASHTAG] hosi
 
wallah sijakuelewa.hicho ni kiswahili nchi cha gani?, maana hata kile kibovu cha kikenya ambacho binafsi nakielewa,hakishabihiani na kiswahili chako.

rudi shule au jisajiri hata katika madarasa ya jioni (evening classes), ujifunze kiswahili ili kujiepusha na aibu.
 
Look at your "unplanned settlements". They look pretty eyesore, anywhere else they could be called be called slums!
Tena 70% ya dar iko hivyo! Hata sisi tunayo mapicha ya dar is slum, lakini hautatuona kila siku tunazunguka tukipost picha hizo kwa kila thread ya Tanzania


Kukinyesha mji mzima chini ya maji
 
Hahaha Hawa kwasasa wanatushinda vitu vikubwa 2
Slum na barabara 2
lingine Wizi
 
Kwanza naskitika kukwambia pole sana dar hakuna nyumba ya mabati kama hizo so rudia tena hizo picha ujue za wapi, nyumba za dar ni blocks hilo ulijue kwanza alafu dar hakuna slums wacha nikuoneshe sehemu slums zinapatikana
Hio ni nairobi amabyo munaita kichwa ya Kenya.
Sehemu kama hizo kwa huku Tanzania wanakaa nguruwe
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€somo limeingia enhhhh
 
Mungu huyu
kwahiyo hayo nimakazi ya wakenya!!
Da!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…