Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Povu? Is that all u've got? Mimi sijapinga ukweli wowote. Hiyo si ni evidence yako umeweka hapo?Povuuuuuuuuuuu hahhahahahha ukweli huupendi lakin ukweli haupingiki hata siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu? Is that all u've got? Mimi sijapinga ukweli wowote. Hiyo si ni evidence yako umeweka hapo?Povuuuuuuuuuuu hahhahahahha ukweli huupendi lakin ukweli haupingiki hata siku moja
Yeah, there aint any slums in Dar, cos pretty much the entire place is shantytown. There isnt any particular place u can describe as a slum
![]()
Dar is Slum!
Lakini kwa mujibu wa map yako, Nairobi iko na slums chache (only 15), na planned settlements kibao!Kwanza angalia umbali wa hio image na nilishakwambia dar hakuna slum kuna unplanned settlement
Kwanza angalia umbali wa hio image na nilishakwambia dar hakuna slum kuna unplanned settlement hehehheehhehehe utaelewa tu
Tuonyeshe picha ya Nairobi nzima ikiwa hivyo. Tazama hizo picha za Dar.
Yeah. kaa mbali na mimi. kubali umeshindwa. hata mtoto ako kindergaten ("chekechea" kama sijakosea) Kenya anaeza kukutoanisha vibaya sana. if you can't express yourself in English in Kenya, it means you never set your feet in a classroom door.
These are slums. But eliakeem prefers a rather fanciful term for them; "unplanned settlements".I told them that and they kept saying they didn't understand what i said
As if they are any better than other any other slums in Africa. Ati unplanned settlements.dar hakuna slum kuna unplanned settlement...
These guys don't know than unplanned settlements is the definition of slumAs if they are any better than other any other slums in Africa. Ati unplanned settlements.
Even the UN call those neighborhoods in Dar slums!
Watu wanaishi Slum za dar ni maskini tu kama wale wanoishi slumza Kibera...... hawana maji safi, mazingira masasi, au uwezo wa kiuchumi....... Lakini kinachofanya kibera iwe mbaya zaidi ni kwavile kibera ni mahali padogo sana ki jiografia (Ukilinganisha na hata mbuga ya wanyama ya Nairobi(Nairobi National Park NNP) ni 117square Kilometer wakati Kibera ni 2.5 sq.km) , hivyo kila kitu kimeshikana..... Tena ukumbuke Dar iko pwani -Upande wa pwani hua kuna design tofauti za kujenga, Mara nyingine si lazima uwe na simiti, Unaezajenga na udongo na ukuta flat nimeona hata mombasa vitongoo duni hua wanafanya hivyo.Inabidi muwache ushindani wakijinga kwani united nation kwa wao slum ni sehemu yeyote ambayo haijapimwa, tatizo lilokuwepo Kenya especially in Nairobi watu wa hali ya chini hawana jinsi ya kujenga nyumba za bei nafuu
Wakati Dar Es salaam watu Wenye hali ya chini wanauwezo wakujenga.Kenya inabidi isaidie watu wake zaidi kwani Nairobi inaitaji nyumba zaidi ya 2 million za bei nafuu, inawezekana kujenga nyumba zote kwa kutumia Saccoss ilikuwapa watu mortgage za bei nafuu.
nilikwambia kabla,kuwa si tu kingereza bali hata lugha adhimu ya kiswahili huijui.
mtoto ako = mtoto aliye
Kenya anaeza = kenya anaweza
kukutoanisha = kukutoa
Jifunze kwanza lugha ya kiswahili halafu uombe mjadala na mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wallah sijakuelewa.hicho ni kiswahili nchi cha gani?, maana hata kile kibovu cha kikenya ambacho binafsi nakielewa,hakishabihiani na kiswahili chako.hahaha. you never seize to amaze me. jibambe mzae.
Americans and British both speak English but is their English the same??
Germans and Austrians both speak Deutsch but is the Deutsch spoken in both countries the same???
Jiulize kwa Kenya na Danganyika pis hilo swali kosha utapata jibu. sawa mwalimu? but msanii mkubwa kama Diamond (an A-list celebrity in Danganyika) "ku-murder" lugha ya Kiingereza ati "I feel so INCOMPLETED...." lolwhut????? apo ata mimi pia "ameni_moda" my friend. ivi sasa niko hosi nawekewa drip. You are not different anyway either.
[HASHTAG]#Utanipata[/HASHTAG] hosi
Tena 70% ya dar iko hivyo! Hata sisi tunayo mapicha ya dar is slum, lakini hautatuona kila siku tunazunguka tukipost picha hizo kwa kila thread ya TanzaniaLook at your "unplanned settlements". They look pretty eyesore, anywhere else they could be called be called slums!
Lugha yawenyewebig nation of loosers
Unamdharau huyogreat artist but a big embarrassment hehe
Hii ni Nairobi!![emoji23] [emoji23] [emoji23]kawaida yangu hua natibu kichwa kwanza alafu viungo vingine😀😀😀😀😀 tuvumiliane tu🙂🙂🙂🙂
![]()
Hahaha Hawa kwasasa wanatushinda vitu vikubwa 2so ukichukua populations za only 3 slums in nairobi maana ziko nyingi nimechukua tatu tu
kibera 1 million + mathare 0.5million + makuru kayaba 0.7 million = 2.2 million people
so bado slums nyingi kama kariobangi, mwiki, umoja, guthurei, soweto, kisumu ndogo, etc
tunaenda taratibu maana mimi hua natibu kichwa kwanza kabla viungo vingine
Kwanza naskitika kukwambia pole sana dar hakuna nyumba ya mabati kama hizo so rudia tena hizo picha ujue za wapi, nyumba za dar ni blocks hilo ulijue kwanza alafu dar hakuna slums wacha nikuoneshe sehemu slums zinapatikanaTena 70% ya dar iko hivyo! Hata sisi tunayo mapicha ya dar is slum, lakini hautatuona kila siku tunazunguka tukipost picha hizo kwa kila thread ya Tanzania
View attachment 497955 View attachment 497956 View attachment 497957 View attachment 497958
Kukinyesha mji mzima chini ya maji
View attachment 497961 View attachment 497962
Mungu huyuKwanza naskitika kukwambia pole sana dar hakuna nyumba ya mabati kama hizo so rudia tena hizo picha ujue za wapi, nyumba za dar ni blocks hilo ulijue kwanza alafu dar hakuna slums wacha nikuoneshe sehemu slums zinapatikana
Hio ni nairobi amabyo munaita kichwa ya Kenya.
Sehemu kama hizo kwa huku Tanzania wanakaa nguruwe
😀😀😀😀somo limeingia enhhhhView attachment 497973 View attachment 497974 View attachment 497975 View attachment 497976 View attachment 497977 View attachment 497978 View attachment 497979 View attachment 497980 View attachment 497981
Kwanza jifunze maana ya unplanned settlement na slums nenda usome tofaut zake hahhahahahhahahahhaA slum is unplanned settlement, so you confirm that Dar is Slum already