Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pana bandiko comment #5 sijui kama uliliona pale. Mengine nilikuandikia wewe moja kwa moja haiyumkiniki hujaruka mahali na umeona kimoja kimoja, vyote kabisa katika nilivyoandika kwenye uzi huu.
Ni muhimu kutambua nchi hii imetoka mbali na bado haijafika mwisho. Kutokea hapo tu, suala unalongelea la kuchagua sijui kimoja linakuwa halipo kabisa yaani "immediately it becomes null and void."
Sina hakika na philosophy ya Kenya kama taifa. Ila labda nikudokeze ya Tanzania ilivyo.
Kitanzania tunaamini maendeleo yanategemea vitu vinne: Watu, Ardhi, Siasa safi na uongozi bora. Hakuna kitu kama chagua moja kati ya mawili kama unavyojaribu ku "beat around the bush."
Nini kifanyike sasa au lini, inafahamika na si kutokea leo.
Pamoja na kuvijua vyote hivi kwa watanzania "utu kwanza" ni priority kabla ya mali. "This explains the peace and tranquility you see around."
Kitanzania umimi kwanza hauna nafasi. Ndiyo maana ilikuwa muhimu kutumia muda na raslimali zetu nyingi kuona ndugu zetu waafrika wenzetu waliokuwa bado wako chini ya wakoloni wanakuwa huru na salama.
Uliza Mozambique, Zimbabwe, Namibia, Africa Kusini, na wengi wengine ambako watanzania wenzetu wamekufa wakiwapigania.
Tanzania haiendekezi faida ya mali peke yake. Bali hata ile salama ya ndugu zetu wakiwamo wakenya, waganda, wacongo, warundi, wanyarwanda nk. ni muhimu kwetu kama binadamu. Hii ni hata kama "some ignorant fools somewhere may not have even the courtesy to say thank you."
Umenisoma mkuu?
Mimi Nita aminiSema kuna kaukweli, wewe waza nchi kama Tanzania yenye raslimali za kila aina, madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba kila sehemu, vivutio bora vya utalii kuzidi mataifa yote Afrika, maziwa, gesi ya kumwaga na kila ktiu lakini bado mnatajwa maskini wa kutupwa. Yaani kuna mataifa yanatoka kwa kutumia tu mojawapo wa hizo raslimali.
Hupewi vyote....uchague kimoja kati ya raslimali na akili.
Hawa jamaa juzi wasanii wao si walikua hapa bongo na wote walisema wanatamani wangekua watanzania, na sijui wariporudi huko kwao kama waliwaweka karantini, kama wanavyojidaiKipimo cha akili ya mtu ni pale yanapotokea matatizo.
Tatizo la corona limetuonyesha nani ana iQ kubwa .
Wakati mnajifungia maambukizi yanaongezeka sisi tunaendelea na maisha kama kawaida.
Kama mnafikiri IQ ni kuongea kiingeleza endeleeni kuamini hivyohivyo.
kauli kama hizi kumhusisha beberu kwa kila matatizo yenu yote ndo huonesha mlivyo na iq ndogoHuu Utafiti kama ni kweli, ni matusi kwa waafrika, naona waafrika tu ndio wenye IQ ndogo
Ila chochote kutoka kwa mabeberu huwa lazima waipondee Tanzania sababu wanajua kwa sasa Africa, Tanzania pekee ndio inaweza kuwaambia **** you on their straight face
Ni Taifa gani linaweza kumkoromea beberu usoni kama Tanzania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]honestly i pit you...Hilo lipo wapi Tanzania, ukiona raia bado zinaishabikia Ccm huhitaji uchawi kujua watu wa hili taifa wana uwezo mdogo wa kung'amua mambo.
Now, this the low IQ that we are talking about. These are 2019 research that has been released in 2020. Kwali watanzania wanatumia asilimia moja ya akili zenu.Wali wapima vp sample zao sababu anga lilifungwa karibu dunia nzima .... Iyo survey yao wana mpelekee malkia wao mwenye IQ negative 0
Nyinyi watanzania mnakuanga na akili kweli? This is a 2006 data kijana?Najisikia aibu sana kuwekwa kundi moja na Kenya ikiwa Wakenya wenyewe wanashindwa hata kujua wapi wanaweza kutoa data badala ya kuishia kuokoteza kila kilichopo online!!
Mtoa mada ambae inaonesha ni Mkenya ambae hatimae anathibitisha kwamba Wakenya wana Low IQ possibly in realiity wapo below the average, ameshindwa hata kufuatilia links alizowekewa ili ku-verify alichoandika!!
Na endapo angetumia dakika chache tu, angefahamu kwamba actual data ni:-
Kiumbe huyu kutoka taifa ambalo inaelekea hata hiyo 72 hawastahili, ametumia data kutoka mtandao ambao ukiufanyia web analysis, unagundua tovuti yenyewe is just piece of trash, manake hata Alexa Ranking ya mtandao husika ni 1.02M kuonesha mtandao husika unafahamika na wamiliki tu labda na mademu zao!
View attachment 1554962
Na raia kutoka mataifa yenye raia waliojaa maarifa kichwani waliwahi kuufanyia review huo mtandao wa Brainstats ambao umetumika kama source na kiumbe kutoka nchi ambayo inaonesha its IQ Average is even lower that it's thought!
Review ya mtandao husika ni hii hapa chini:-
View attachment 1555081
Yaani trust ya hiyo source from 51 Reviews is ONLY 1.4/5 ambayo ni 28%!!!!!
Hivi nyie viumbe kutoka Kenya huwa mnafundishwa nini darasani ikiwa mnashindwa kufahamu hata vitu vidogo namna hii ambavyo wala havihitaji kwenda darasani kuvifahamu?!
Nyinyi watanzania mnakuanga na akili kweli?
Beberu ni takataka tu ndio maana tunamuita beberu sababu kwenye hiyo takataka yake kawa weka waafrika tu kwenye low IQ, wazungu na Caucasians wote wana IQ kubwa isipokua waafrika tu tena Sub-Saharan Africanskauli kama hizi kumhusisha beberu kwa kila matatizo yenu yote ndo huonesha mlivyo na iq ndogo