Tanzania has the lowest IQ in East Africa

Wakenya bhana..

Wanachoweza ni kutamani tu kula chapoo na mandondo(chapati maharage)
 
Your grey matter is tear gassed by hates .
 
Hilo lipo wapi Tanzania, ukiona raia bado zinaishabikia Ccm huhitaji uchawi kujua watu wa hili taifa wana uwezo mdogo wa kung'amua mambo.
 
Kwenye majadiliano humuhumu utagundua kuwa Kenya ni nchi yenye watu wenye IQ ndogo.pia korona imedhihirisha nchi gani afrika mashariki inajielewa ina IQ kubwa
 

Kingine ambacho huwalemaza kiakili ni hizi pumba za kujiaminisha kwamba mliikomboa Afrika eti ndio maana bado mpo maskini zaidi miaka hamsini baada ya uhuru, hamna jipy nyie wazembe na huo ujamaa ndio umesababisha mumezembea kwenye kila kitu ikiwemo kielimu na uwezo wa kujituma.

Masuala ya siasa hata ndio usitaje, tunaziona mlivyo, upinzani unakandamizwa kupita maelezo, wabunge wa upinzani wanaenguliwa bila huruma.

Ujamaa uliwafanya muwe watu wasiokua na uwezo wa kuhoji chochote, mnaishia kunung'unika ndani kwa ndani kimya kimya, hivi unafahamu Tanzania ipo kati ya mataifa kumi duniani ambayo wananchi wake wanaishi kwa majungu na dhiki, yaani mna kila raslimali lakini furaha hamna, soma hapa During a pandemic, what does being the world's happiest country mean?
 
Mimi Nita amini
tu huo utafiti ikiwa2025 tutamwacha magufuli asiendelee kuwa raisi kwa zaidi ya miaka 20
 
Hawa jamaa juzi wasanii wao si walikua hapa bongo na wote walisema wanatamani wangekua watanzania, na sijui wariporudi huko kwao kama waliwaweka karantini, kama wanavyojidai
 
Huu Utafiti kama ni kweli, ni matusi kwa waafrika, naona waafrika tu ndio wenye IQ ndogo

Ila chochote kutoka kwa mabeberu huwa lazima waipondee Tanzania sababu wanajua kwa sasa Africa, Tanzania pekee ndio inaweza kuwaambia https://jamii.app/JFUserGuide you on their straight face

Ni Taifa gani linaweza kumkoromea beberu usoni kama Tanzania?
 
hilo nalo mbna lipo wazi hata haitajiki utafiti wa kisayansi
 
kauli kama hizi kumhusisha beberu kwa kila matatizo yenu yote ndo huonesha mlivyo na iq ndogo
 
Misukule ya lumumba itapinga hapa
 
Wali wapima vp sample zao sababu anga lilifungwa karibu dunia nzima. Iyo survey yao wana mpelekee malkia wao mwenye IQ negative 0
 
Najisikia aibu sana kuwekwa kundi moja na Kenya ikiwa Wakenya wenyewe wanashindwa hata kujua wapi wanaweza kutoa data badala ya kuishia kuokoteza kila kilichopo online!!

Mtoa mada ambae inaonesha ni Mkenya ambae hatimae anathibitisha kwamba Wakenya wana Low IQ possibly in realiity wapo below the average, ameshindwa hata kufuatilia links alizowekewa ili ku-verify alichoandika!!

Na endapo angetumia dakika chache tu, angefahamu kwamba actual data ni:-

Kiumbe huyu kutoka taifa ambalo inaelekea hata hiyo 72 hawastahili, ametumia data kutoka mtandao ambao ukiufanyia web analysis, unagundua tovuti yenyewe is just piece of trash, manake hata Alexa Ranking ya mtandao husika ni 1.02M kuonesha mtandao husika unafahamika na wamiliki tu labda na mademu zao!



Na raia kutoka mataifa yenye raia waliojaa maarifa kichwani waliwahi kuufanyia review huo mtandao wa Brainstats ambao umetumika kama source na kiumbe kutoka nchi ambayo inaonesha its IQ Average is even lower that it's thought!

Review ya mtandao husika ni hii hapa chini:-



Yaani trust ya hiyo source from 51 Reviews is ONLY 1.4/5 ambayo ni 28%!!!!!

Hivi nyie viumbe kutoka Kenya huwa mnafundishwa nini darasani ikiwa mnashindwa kufahamu hata vitu vidogo namna hii ambavyo wala havihitaji kwenda darasani kuvifahamu?!
 
Hilo lipo wapi Tanzania, ukiona raia bado zinaishabikia Ccm huhitaji uchawi kujua watu wa hili taifa wana uwezo mdogo wa kung'amua mambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]honestly i pit you...
 
Wali wapima vp sample zao sababu anga lilifungwa karibu dunia nzima .... Iyo survey yao wana mpelekee malkia wao mwenye IQ negative 0
Now, this the low IQ that we are talking about. These are 2019 research that has been released in 2020. Kwali watanzania wanatumia asilimia moja ya akili zenu.
 
Nyinyi watanzania mnakuanga na akili kweli? This is a 2006 data kijana?
 
kauli kama hizi kumhusisha beberu kwa kila matatizo yenu yote ndo huonesha mlivyo na iq ndogo
Beberu ni takataka tu ndio maana tunamuita beberu sababu kwenye hiyo takataka yake kawa weka waafrika tu kwenye low IQ, wazungu na Caucasians wote wana IQ kubwa isipokua waafrika tu tena Sub-Saharan Africans

Usitegemee mtanzania mwenye IQ kubwa kama sisi tukakubaliana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…