Tanzania has the lowest IQ in East Africa

Hawezi kukujibu hii, af huyu jamaa huwa anajiita msomi, ss km wasomi wenyewe ndo hawa basi kenya ina safari ndefu mno kufika hapa tulipo.
 
Authors like you in Tanzania we are calling them "Utopolo".

Umesema watu wenye IQ kubwa wapo vizuri kiuchumi na ukasema Uganda wapo juu kwenye IQ kuliko sisi. Swali kwako, uchumi wa Uganda na sisi Watanzania ni upi upo imara?

After 5 years Wakenya mtakuwa mnatupigia magoti trust me.
 

Kunao wananyimwa kimoja na kupewa kingine, Uganda walipewa ubongo wakanyimwa raslimali, nyie mumepewa raslimali ila ubongo mkanyimwa na pia ujamaa ukawalemaza kwenye uwezo wa kujituma, mkaishia kuwa wazembe na maskini wa kutupwa.
Sisi tulinyimwa raslimali ila tukapewa ubongo na bidii ya kujituma, pia inawezekana ukapewa ubongo lakini usijitume.
Hivyo sisi kwa raslimali chache ila tunazidi mataifa yote ukanda huu kwa kila kitu, uchumi, kijeshi, teknolojia n.k.
 
Tanzania Nchi yenye watu wenye watu wenye IQ ndogo.

One of the best universities viko Tanzania
For instance UDSM and UDOM.

Kenya ni nchi yenye uchumi mkubwa ukilinganisha na Tanzania.

Ila licha ya IQ yetu ndogo Tanzania ndio yenye matajiri wengi ukilinganisha na nchi zote Afrika Mashariki.

Licha ya IQ ndogo Tanzania ndio inaongoza katika uzalishaji na kilimo East Africa.

Kwenye Diplomasia Tanzania ndio number one kwenye nchi zenye amani East Africa.

Licha ya IQ yetu ndogo Tanzania ndo imeongoza kwenye invention and innovation kwa mwaka 2020 East Africa..
 
Nakubaliana na unachosema sikatai neno..
Si chenye tunataka ni development tu kwa nchi na kwa individual lakini masuala ya IQ tuwaachie kina ninyi
 
This is now the low IQ that I was talking about. This is the list of the best universities in Africa. Ukipata hizo universities za kusomea uchawi mbele ya UoN, KU and JKUAT usikose kuniambia tafadhali.
Africa | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions
This is invention and innovation ranking in Africa. Actually the only thing a Tanzanian can invent ni ku-kula albino
Kenya ranked top tech hub in sub-Saharan Africa
 
Nakubaliana na unachosema sikatai neno..
Si chenye tunataka ni development tu kwa nchi na kwa individual lakini masuala ya IQ tuwaachie kina ninyi
Hata hiyo development bado mko nyuma ya Kenya, Ethiopia and Uganda.
 
Wazungu wanatuaminisha Afrika kuwa sisi ni wajinga.
Unajidai msomi kwa akili ya Mzungu
Nonsense
Hiyo Report kabla sijaisoma najua itakuwa ya wazungu.

Wanaanda report kisha wanazua mjadala baina ya Hao waafrika wanaojita intellects halafu wao wanapiga hela

Anything you do in Africa is termed as nonsense but Anything said by Whites is appreciated and valued...
Whites have known how to disrupt our minds and physcology
 
Your reasoning is even below the 1%
 
Okay smart kunyaland citizens [emoji23][emoji23]

I see you are chasing away your scum representatives. ....How barbaric!!! Mje huku kujifunza siasa

 
Okay smart kunyaland citizens [emoji23][emoji23]

I see you are chasing away your scum representatives. ....How barbaric!!! Mje huku kujifunza siasa

Siasa ya kupiga wapinzani risasi ama?
 
wachana na hizi mbuzi zipandane hapa, watakushusha kwenye ujinga wao kisha wakuonee kwa uzoefu wao.
Yeah bro
Ndio maana duniani siku zote wenye uelewa watabaki wachache kwasababu huwa hawapendi kubishana na endapo hutawaelewa hunyamaza[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ni raslimali gani milizonyimwa ambazo sisi Watanzania tunawazidi? Na unajua kama kuna baadhi ya mambo huko kwenu mnafanya ila huku Tanzania ni illegal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…