Tanzania has the lowest IQ in East Africa

Tanzania has the lowest IQ in East Africa

Hii yote imeletwa ili kufanya waafrica wasipate kazi na kuwa compitent kwenye maswala ya dunia, ni kama ukoroni mpya,
 
Wewe omba omba nyamaza.Sio wewe hua nakupita na kibakuli begging from Kenyans.Wacha ujeuri yako nani na tunawasaidia sana
Jibu kwa hoja. intelligently!! JF ijifunze, wajue ukweli, siyo unarudia neno lile lile tu! huna jipya! Unajaza saver za JF bure, Kenya ni mzigo kwa Mama Africa. TZ tunaomba wapi na kipi tusichokuwa nacho? wivu, na chuki hizo

Kweli umetamka uzuri sie ni jeuri, dat's how we are and we proud of it!! never try to stop it. since from our ancestral, in ancient Mesopotamia they were the same just like de way we are, its not a a sin, remember ''You better die while standing, rather than living on your knees'' dis' slogan have had existed for centuries among us,

kwa siraha simple tu ''ya Jeuri'', Mkoloni tulimfutilia kwa mbali, Bara na visiwani, hatukuwasha hata risasi moja kuwakimbiza, huo ni utaalamu wa hali ya juu Duniani haupo, na haijawahi kutokea, kumpiga adui kwa jeuri tu!

Kenyans ni walaini km wanawake mnapenda kusifiwa na kupewa pewa na Mabeberu, iko siku mtawalipa kwa damu ya watoto wenu, na mmeshaanza kuwalipa kupitia Alshaabab, Afadhali akusifu mwafrica kuliko mweupe, hata hamjiulizi? mnatia huruma sana.

Tanzanians ''United we stand, with our fellow Blacks World wide, we shall sacrifice from every one of us, come what may!!, All Kenyans you've something to learn from Ba-Tanzania freely!

Adui yenu ni Beberu, anae wasifia kinafiki, ndiyo siraha yake kubwa, km hamjui, siyo Mweusi, mtuache!!

You should remember! Kenyans with thick and thin we've forgiven you, cause you've been our burden since then until now still u'r, divide you fall, de journey dat u shall not make it again, mark ma words!!
 
Hizo ni chuki zenu binafsi na wivu wa kike! Mabeberu wamewafundisha kuchukia wa Africa wenzenu ili mnyonywe vizuri, na hamtaacha hiyo tabia sababu mnawaabudu ni miungu yenu,

Wapi, na lini, tuliomba Misaada? taja, Mkiomba mnadhani na sisi tunaomba, mnajidanganya, Chakula tunajilisha, Elimu Bure tunatoa, ndege tumenunua Cash faster, Bandari ni hela yetu, Barabara pana nzuri ni hela zetu, na wafanyakazi wa ndani.

Jeshi Imara tunalo linajitegemea kwa kila kitu, Shule, Hospital ya kisasa ya jeshi nzuri ya rufaa, timu ya Dharula ya jeshi, Ujenzi, Ufundi, Farm Estate za jeshi km Ruvu Ranch nk, usiombe sasa haya yoote tukaombe nini, na wapi penye uwezo km huu Duniani? haya tuna fanya kwa hela yetu bila Mzungu.

Wanaona aibu kutoa kwa watu wenye uwezo km sisi, km nyie mnavoona aibu, sasa inakuwa chuki. unaona Bandari ya Bagamoyo tuliwafukuza, Balozi wa USA tulimkataa Kenya hamwezi kufanya hivo?

Tunajitambua hatuyumbishwi! ndivo mlivo, wachoyo, mapoyoyo! Na nyie ni mzigo mkubwa kwa Africa, Kaburu alimuonea mwa frica kule South Africa tulimpa kichapo cha mbwa mwizi, nyie mlikimbia mlivo wa binafsi, bado mnaendeleza ubinafsi.

Usisahau tulikuwa nchi 5 za mstari wa mbele kwa ndugu zetu wanaoonewa , hela nyingi tulitupa huko na kweli leo wako huru! tunaheshimika Duniani.

Kabla hujaandika hii insha ilipaswa ujifunze kitu kuhusu nchi yako maana naona hauijui, hebu soma huu uzi hapa Afrika imelaaniwa, kainchi kadogo kama Sweden ndo huongoza kutoa misaada kwa nchi kubwa yenye kila kitu kama Tanzania
 
Una tatizo la kukariri hovyo, Adui yangu unataka aseme nini? akili za kuambiwa changanya na zako! anaye toa msaada kwa moyo huwaga hasemi. Israel inapewa Dola billion 7 na USA, imelaaniwa? mbona haisemwi vibaya?

Mna kandamizwa kisaikolojia, kupitia umaskini mnashangilia kipoyoyo! kwa hiyo unaamini Kenya imelaaniwa? na nani? mnalipuka sana km matahaira! hamjui kupembua mambo

Nakuandikia insha ili ujue kuwa najua nachokuambia!
 
Wewe unamuita adui ilhali kula yako inatoka kwake, Miafrika nani aliwaroga, mnawazungushia vibakuli mkiwatukana, aisei mabeberu wavumilivu sana maana ingelikua ni mimi mngenikoma, nawaacha mjifie tu hadi siku mtanipigia magoti.
 
Mali asili nyingi tulizo nazo, ni fursa kwa TZ, kivutio cha kila Beberu alipo, kujipendekeza kwa vijimisaada, yaani hii tu inatosha kuwafanya wao watufanyie kazi tunavotaka, kama watumwa wetu!
 
Wewe unamuita adui ilhali kula yako inatoka kwake, Miafrika nani aliwaroga, mnawazungushia vibakuli mkiwatukana, aisei mabeberu wavumilivu sana maana ingelikua ni mimi mngenikoma, nawaacha mjifie tu hadi siku mtanipigia magoti.
Unaniimbisha wimbo usio kuwa na chorus, Bakuli tuu huna jipya, wee! Beberu mzee tulia hujapata damu leo? !
nyie maBeberu ndiyo mtakufa! kwa kutu tamani, usiku na mchana mmerogwa mabeberu wa Kenya hatuwataki msije huku. ole wenu!!!
TZ na Africa haikurogwa, haijarogwa na haitarogwa, hata utambikie uchi na huyo beberu mwenzio,

Na ndiyo hatujakosea nyie mabeberu ni adui zetu, we don't want to be given some fishes day by day! no! we wanna train to fish for our own needs! na hatufi ng'oo! utakufa wewe na mabeberu wenzio wasiojitambua!
 
Coming from a low IQ man who is unemployed, uneducated and very ignorant.Pole hatuwezi skiza mjinga kama wewe.First be an example to uaself and to ua village.
 
Miafrika nani aliwaroga, mnawazungushia vibakuli mkiwatukana,
Sikia wewe Kaburu Beberu mzee! siku zenu za kukaa Kenya zinahesabika, Kenyans original wale ni wadogo zetu, watoto wetu, tutawakomboa tu km huamini tunakuja huko Nairobi saa sita mchana usiyoijua wewe, si mnatujua kwa kichapo kitakatifu?
 
Coming from a low IQ man who is unemployed, uneducated and very ignorant.Pole hatuwezi skiza mjinga kama wewe.First be an example to uaself and to ua village.
We Blacks are so smart far better than even your ass can imagine, go back to your fu'''en Caucasian Mt, caves, you are not of dis World by nature.
 
We Blacks are so smart far better than even your ass can imagine, go back to your fu'''en Caucasian Mt, caves, you are not of dis World by nature.
Wake up from that cave of uas we are in a 21st century (Homo sapiens)
 
Unaniimbisha wimbo usio kuwa na chorus, Bakuli tuu huna jipya, wee! Beberu mzee tulia hujapata damu leo? !
nyie maBeberu ndiyo mtakufa! kwa kutu tamani, usiku na mchana mmerogwa mabeberu wa Kenya hatuwataki msije huku. ole wenu!!!
TZ na Africa haikurogwa, haijarogwa na haitarogwa, hata utambikie uchi na huyo beberu mwenzio,

Na ndiyo hatujakosea nyie mabeberu ni adui zetu, we don't want to be given some fishes day by day! no! we wanna train to fish for our own needs! na hatufi ng'oo! utakufa wewe na mabeberu wenzio wasiojitambua!

Nilikua nashangaa hivi kwanini mabeberu licha ya nyie kuwatukana huwa wanavumilia na kuendelea kuwapa misaada, nikakumbuka jinsi huwa wanafyonza raslimali zenu na kusababisha muendelee kuwa maskini wa kutupwa miaka yote hii, kweli mna haki ya kuwatukana, sema mngejikomboa kwanza kwenye umaskini, labda mjitutume muelimike, ila hilo hamuwezi, kwanza jana niliona mlipewa agizo na rais mzaliane sana maana matiti ya kunyonyesha yapo, sasa hapo mtaendelea kuwa mzigo kwa hao wanaowapa misaada.
 
Oya tupe update ya corona huko kwenu

Ubeberu siyo tusi, ndivyo mlivyo, sifa yao kuu! najua hujui maana ya Beberu! unandandia tu Lugha isiyo yako! haya ndiyo matokeo, ya kudhania dhania kila neno la kiswahili ni tusi,

Hapa nakupa faida mara 10 nakufundisha kiswahili, huwezi kuongezea zaidi ya uliyo karirishwa. ,hueleweki, Kufyonza ndiyo nini? rudi darsani kwanza!

Unajua maana ya maskini wa kutupwa au umekusudia kuropoka tu!
 
Wazungu wanavyoaminisha Waafrika kuwa wao ni wajinga kila tafiti za Mzungu.

Ndo maana ata aliposema binadamu wa kwanza alianzia Afika tukakubali mbona sisi hatuendi kufanya research kwenye nchi zao.
 
Ubeberu siyo tusi, ndivyo mlivyo, sifa yao kuu! najua hujui maana ya Beberu!!!! unandandia tu Lugha isiyo yako! haya ndiyo matokeo, ya kudhania dhania kila neno la kiswahili ni tusi,

Hapa nakupa faida mara 10 nakufundisha kiswahili, huwezi kuongezea zaidi ya uliyo karirishwa. ,hueleweki, Kufyonza ndiyo nini? rudi darsani kwanza!

Unajua maana ya maskini wa kutupwa au umekusudia kuropoka tu!

Japo nimejifunza somo kutoka kwa mababeru kwenye hili la wao kuwatafuna nyie, kwamba unapikula na kipofu usiongee sana, hata akikutusi wewe piga kimya endelea kutafuna mazuri yake.

Ndio maana hata mkiwatusi vipi, wao hunyamaza tu.
 
Hii huwa hata hainishangazi, mara nyingi huwa nasema haiwezekani ukapewa vyote, aidha upewe raslimali ila unyimwe ubongo au ubarikiwe uwezo wa kutumia akili lakini unyimwe raslimali.

Watanzania wamepewa raslimali nyingi lakini huu utafiti unadhihirisha walinyimwa IQ na ndio maana wao ni maskini kwa kipindi kirefu licha ya kuwa na kila kitu.

Huwa wamejenga uadui na Wakenya kwa ajili ya wivu lakini ukweli ni kwamba sio sisi tuliwanyima ubongo.
Tafuta article inayoitambua Tz km nchi maskini ukiipata nitag nitoke Jf, btw enjoy this [emoji116][emoji116]
tapatalk_1599200704754.jpeg
 
Najisikia aibu sana kuwekwa kundi moja na Kenya ikiwa Wakenya wenyewe wanashindwa hata kujua wapi wanaweza kutoa data badala ya kuishia kuokoteza kila kilichopo online!!

Mtoa mada ambae inaonesha ni Mkenya ambae hatimae anathibitisha kwamba Wakenya wana Low IQ possibly in realiity wapo below the average, ameshindwa hata kufuatilia links alizowekewa ili ku-verify alichoandika!!

Na endapo angetumia dakika chache tu, angefahamu kwamba actual data ni:-

Kiumbe huyu kutoka taifa ambalo inaelekea hata hiyo 72 hawastahili, ametumia data kutoka mtandao ambao ukiufanyia web analysis, unagundua tovuti yenyewe is just piece of trash, manake hata Alexa Ranking ya mtandao husika ni 1.02M kuonesha mtandao husika unafahamika na wamiliki tu labda na mademu zao!

View attachment 1555172

Na raia kutoka mataifa yenye raia waliojaa maarifa kichwani waliwahi kuufanyia review huo mtandao wa Brainstats ambao umetumika kama source na kiumbe kutoka nchi ambayo inaonesha its IQ Average is even lower that it's thought!

Review ya mtandao husika ni hii hapa chini:-

View attachment 1555173
Yaani trust ya hiyo source from 51 Reviews is ONLY 1.4/5 ambayo ni 28%!!!!!

Hivi nyie viumbe kutoka Kenya huwa mnafundishwa nini darasani ikiwa mnashindwa kufahamu hata vitu vidogo namna hii ambavyo wala havihitaji kwenda darasani kuvifahamu?!
Yaani hapa umemmaliza mkuu. Atakuwa online kusoma comments tu kwa aibu.
 
Back
Top Bottom