Tanzania has the lowest IQ in East Africa

Ni raslimali gani milizonyimwa ambazo sisi Watanzania tunawazidi? Na unajua kama kuna baadhi ya mambo huko kwenu mnafanya ila huku Tanzania ni illegal?

Kwanza mna madini ya kumwaga, mna vivutio vya utalii ambavyo ni bora kuliko vyote Afrika yaani vitu vingi tu ambavyo nikivitaja hapa nitajaza huu ukurasa, sasa waza kuna mataifa yamebarikiwa na moja ya hizo raslimali lakini yamewashinda mara kumi kiuchumi, hayo ndio madhara ya kuwa na IQ ndogo halafu mzembe hujitumi, unaishia kuwa na raslimali nyingi lakini maskini wa kutupwa, inashangaza hadi leo bajeti yenu kuna asilimia bado inategemea kuzungusha kibakuli kwa mabeberu.
 

Nashindwa kuelewa kama unawaza kwa tumbo au kichwa
 
Kenya ni mke mkubwa wa Beberu kwene ukanda huu..hivo bwanake akimsifu anafurahia zaidi na kuachia 'yote' kama yote..!
 
Ebu tuambie JKUAT ni ya ngapi na UDSM ni ya ngapi?
 
Hizo mali ulizotaja ndo tumeamua kuzitumia sasa hivi na ndiyo maana unaona tunafanya miradi mingi kwa wakati mmoja pasipo kuyumbisha nchi kitu ambacho hakuna nchi ya kiafrika inaweza ofcz hii ni kutokana na utajiri tuliobarikiwa na Mungu, kama ungeliniambia hizo mali zinaliwa na wageni km ilivyo kenya hapo sawa ningesema WaTz wajinga sana but tuliamua kuziacha ili WaTz smart km kina Jpm waje kuzitumia na ss unaweza kujionea mwenyewe nchi yetu inafanya miradi ambayo Kenya ni ndoto yenu ya muda mrefu na hamtakaa muifanye.
 
Lockdown inaisha lini?
 
That is an open secret, even the development gap between us proves that.
 
We watu wanachagua maccm yanayowadidimiza kwenye ufukara kila kukicha unatarajia ni wazima kichwani hao? wengine wako humu ambao kimsingi ni opportunists au kupe
 
Japo nimejifunza somo kutoka kwa mababeru kwenye hili la wao kuwatafuna nyie, kwamba unapikula na kipofu usiongee sana, hata akikutusi wewe piga kimya endelea kutafuna mazuri yake.

Ndio maana hata mkiwatusi vipi, wao hunyamaza tu.

MK254 Unajua Kupenda sifa za kijinga, kunawagharimu mno! kutawaumiza sana, Kaburu, Beberu siyo Mtu mzuri, naomba kukuuliza hapo ulipo umesha kula Msosi? naona kelele zako zimeisha! njaa! njaaa! njaa siyo nzuri inakusumbua!, Njaa bana haina Baunsa wala IQ kubwa,

Njooni hapa mpakani Sirari- mle bure kwanza. Beberu kawadanganya mna COVID mmeingia chaka kiulainiii! mmejifungia ndani ajili ya uvivu, sasa mtakula IQ ya uzezeta! Tangu lini mwafrica akafa kwa mafua? kuna wengine wanaelewa sana, njooni tupige kazi EAC isonge mbele!!!
 

IQ is a meaningless entity.

Stupid people think it is a measure of intelligence.

It is not.

It is just used for propaganda, like this one. Intelligence can not be measured by IQ tests. IQ tests are very childish to be cited as a measure of intelligence. They were designed for children who were about to start school in order to measure the so-called "learning disability", but but it doesn't mean they were fit for their intended purpose.

Plus there are no IQ tests being conducted by any govt in Africa, so white people pull IQ data about Africa from their asses. In Tanzania we measure intelligence by national exams. So anyone who talks about IQ of Tanzania is a stupid person, talking without data; and even if he had data (ie. if Tanzania had IQ tests) still it would be meaningless data since IQ tests are NOT a measure of intelligence.

The same applies for Africa.

This Kenyan who posted this is one of those stupid Africans who worships or blindly follows anything that comes from white people.
 


The blind kenyan who worships every whiteman matters. 🤣
 
Hehehe!!! Huu uzi, ila ndio hizo takwimu za kisayansi..
 
Kwani ni sisi tuliwanyima mali?
 
Nimetembea duniani, ila sijawahi kuona watu wajinga kama jirani zetu Kenya. Ni vibaraka wa wazungu, angalia balozi wao anaongea ujinga kule UN wakati watu weusi wanakua miss treated in Ukraine. Pathetic
 
Nigeria wana mafuta mbona bado ni nchi masikini
 
Nimetembea duniani, ila sijawahi kuona watu wajinga kama jirani zetu Kenya. Ni vibaraka wa wazungu, angalia balozi wao anaongea ujinga kule UN wakati watu weusi wanakua miss treated in Ukraine. Pathetic
Have you done any research about racism in Russia? Please do, you'll take back your words
 
Mbona udikteta upo China, Korea Kaskazini na Russia pia?
We watu wanachagua maccm yanayowadidimiza kwenye ufukara kila kukicha unatarajia ni wazima kichwani hao? wengine wako humu ambao kimsingi ni opportunists au kupe
 
Nigeria wana mafuta mbona bado ni nchi masikini

Nigeria inatoshana na Tanzania kwa ukubwa, ila hiyo Nigeria ina watu 214,587,291 ilhali Tanzania inao watu 62,546,742
Maana kwamba kwa wingi wa watu, Nigeria inawazidi mara karibia nne
Nyie mpo wachache na linchi lote hilo lenye madini ya kumwaga na ardhi kubwa yenye rotuba nzuri, hamna sababu yoyote kwanini kila Mtanzania asimiliki Noah - Magufuli aliwahi kuwasisimua na huo mstari.

Tatizo kubwa ni hilo lililosemwa la IQ, hamnazo maana mngekua nazo aisei leo tungekua tunakuja kuomba kazi za nyumbani na kupalilia bustani zenu, ila leo hii dada zenu ndio wanaongoza kwa wingi huku wameajiriwa kwenye kazi za ndani, barabara zetu zimejaa omba omba wa kutokea kwenu.
 
Huyu jamaa huwa anaropoka mpk mda mwingine nacheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…