eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote likafanikiwa hawajawahi kufanya.
Mtu kama huyu ataiba tu kodi zetu.
We fikiria pesa nyingi inalipa mishahara mizuri na ya maendeleo ni kidogo tu.
Hapa kukua juu kiuchumi tutakusikia kwa Usa, china, India, japani na England.