eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
- #41
ukweli mtupu huuNa matatizo makubwa ya taifa yanatokana na hilo.
Watu wenye kufanya maamuzi makubwa ya taifa hawana uzoefu wowote katika sekta wanazozitolea maamuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukweli mtupu huuNa matatizo makubwa ya taifa yanatokana na hilo.
Watu wenye kufanya maamuzi makubwa ya taifa hawana uzoefu wowote katika sekta wanazozitolea maamuz
utofauti wake ni niniHuu ni mtazamo potofu sana, kuongoza nchi ni tofauti sana na kuendesha kampuni.
Lengo la kampuni ni kupata faida tu hata kwa njia zisizofaa ikiwemo ukwepaji kodi, uchafuzi wa mazingira, unyonyaji wafanyakazi n.k Lengo kuu la kwanza la uongozi wa nchi ni raia wapate furaha na maendeleo kwa kujali haki za wote, sheria, usawa, national pride, mazingira na vizazi vijavyo.utofauti wake ni nini
kama lengo la kampuni ni kufikia mafanikio makuu na kusambaa kila upande, vipi lengo la nchi liwe tofauti na maendeleo?
tuache kudanganyana
Yupo: HAYATI DR.J.P.MAGUFULI alikua na mafanikio kila alipo kanyaga, ila bahati mbaya walikua wanamkwamisha sana, na hata baada ya ku take control bado alikimbiza mbaya ila ndio hivyo tena wa kwamishaji hawakosekaniTuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote likafanikiwa hawajawahi kufanya.
Mtu kama huyu ataiba tu kodi zetu.
We fikiria pesa nyingi inalipa mishahara mizuri na ya maendeleo ni kidogo tu.
Hapa kukua juu kiuchumi tutakusikia kwa Usa, china, India, japani na England.
furaha ya watu wa kawaida ni kulipwa vizuri, na ili walipwe vizuri ni kupata mtu anayejua shortcut za maendeleo ili kutoa unafuu wa maisha. na hao watu ni waliofanikiwa kabla ya madarakaLengo la kampuni ni kupata faida tu hata kwa njia zisizofaa ikiwemo ukwepaji kodi, uchafuzi wa mazingira, unyonyaji wafanyakazi n.k Lengo kuu la kwanza la uongozi wa nchi ni raia wapate furaha na maendeleo kwa kujali haki za wote, sheria, usawa, national pride, mazingira na vizazi vijavyo.
kukanyaga ndio nini? kipi alikiendesha kikafanikiwa kabla hajawa mbunge, waziri au raisYupo: HAYATI DR.J.P.MAGUFULI alikua na mafanikio kila alipo kanyaga, ila bahati mbaya walikua wanamkwamisha sana, na hata baada ya ku take control bado alikimbiza mbaya ila ndio hivyo tena wa kwamishaji hawakosekani
Kuna watu tayari wanalipwa vizuri wanataka usalama, maji, umeme, barabara bora, miji iliyopangiliwa vizuri n.kfuraha ya watu wa kawaida ni kulipwa vizuri, na ili walipwe vizuri ni kupata mtu anayejua shortcut za maendeleo ili kutoa unafuu wa maisha. na hao watu ni waliofanikiwa kabla ya madaraka
hawa wanajua njia za kupita
Trump amerudi madarakani kwa sababu ya sera yake ya uchumi kueleweka kwa wamarekani
Hawa wako pale kwa upigaji na kulinda biashara zao.Rostam. Turki, Shabibi, Abood, Gulamali
Ndo maana wengi ni watumiaji tu wa kodi za watanganyika kama huyu aliyepo. Ndege ya matanuzi ya nini kwenye uchumi huu. Wakati Dunia nzima inajaribu kubana matumizi. Wakitoka hapo TRA wanawasha moto watu walipe kodi kwa nguvu.Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote likafanikiwa hawajawahi kufanya.
Mtu kama huyu ataiba tu kodi zetu.
We fikiria pesa nyingi inalipa mishahara mizuri na ya maendeleo ni kidogo tu.
Hapa kukua juu kiuchumi tutakusikia kwa Usa, china, India, japani na England.
hivi unajua kama asilimia kubwa ya wafanyakazi wa viwandani wanaishi kama watumwa kwa malipo wanayolipwa. na hawa ni wale wasiokuwa na vyeo kabisa.Kuna watu tayari wanalipwa vizuri wanataka usalama, maji, umeme, barabara bora, miji iliyopangiliwa vizuri n.k
Makubaliana na wewe sio kiongozi anadai eti kodi zilipwe ilihali hajawwhi Kufanya Biashara yoyote na kufaham ugumu wa kodi ni ipi na inalipwajeTuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote likafanikiwa hawajawahi kufanya.
Mtu kama huyu ataiba tu kodi zetu.
We fikiria pesa nyingi inalipa mishahara mizuri na ya maendeleo ni kidogo tu.
Hapa kukua juu kiuchumi tutakusikia kwa Usa, china, India, japani na England.
ukiwa hujui namna pesa inatafutwa ndio kama hivi, unatumia kodi za watu kwa starehe badala ya maendeleo yao ya msingiNdo maana wengi ni watumiaji tu wa kodi za watanganyika kama huyu aliyepo. Ndege ya matanuzi ya nini kwenye uchumi huu. Wakati Dunia nzima inajaribu kubana matumizi. Wakitoka hapo TRA wanawasha moto watu walipe kodi kwa nguvu.
ndio maana tunahitaji watu waliofanikiwa tayari ili watusaidie na hili.Makubaliana na wewe sio kiongozi anadai eti kodi zilipwe ilihali hajawwhi Kufanya Biashara yoyote na kufaham ugumu wa kodi ni ipi na inalipwaje
😂😂😂hatari na nusuNi kweli.wengine kabla.ya.kupata uraisi ukiwauliza their.plans.when they get.tobe.elected utashangaa anakujibu mambo yatajiseti hukohuko juu.
Sijamaanisha career politicians wote hawajui, wala sijamaanisha waliopita sekta nyinginezo wote walifanya vizuri.Huu ni mtazamo potofu sana, kuongoza nchi ni tofauti sana na kuendesha kampuni.
Bill Clinton ambaye ni career politician, mojawapo wa marais bora kabisa wa Marekani aliicha US na ziada ya bajeti(surplus), Bush Mfanyabiashara aliyerithi uchumi imara kutoka kwa Clinton aliiacha Marekani na deni kubwa, vita visivyoisha(endless wars) pamoja na matatizo makubwa ya uchumi.
Urais ni experience na uwezo wa mtu binafsi. Uwezo wa kuona, kushaurika, kutafuta vipaji vya wataalam wa mambo, kujua kuchambua pumba na mchele na mambo mengine.Siyo lazima kuanzisha. Urais unahitaji mtendaji mzuri mwenye maono. Tusidanganyane.
Twende na mifano.Lengo la kampuni ni kupata faida tu hata kwa njia zisizofaa ikiwemo ukwepaji kodi, uchafuzi wa mazingira, unyonyaji wafanyakazi n.k Lengo kuu la kwanza la uongozi wa nchi ni raia wapate furaha na maendeleo kwa kujali haki za wote, sheria, usawa, national pride, mazingira na vizazi vijavyo.
Wewe unajaribu kupingana na kanuni za maisha. Haya mambo mbona hayahitaji ubishi kwani nchi research nyingi zimeshafanyika na kuna uzoefu kutoka nchi zilizoendelea? Nenda Finland na nchi za Scandinavia uone ''utajiri'' wa viongozi wao. Unakuta mtu anakuwa rais au waziri mkuu wakati anamiliki nyumba moja ya kulala na kama sh milioni 20 kwenye account yake. Na wanafanikiwa kishenzi. Wewe unakuja na kanuni pori zako hapa kwa kitu ambacho tayari kimefanyiwa majaribio?ndio maana tunahitaji watu waliofanikiwa tayari ili watusaidie na hili.
Naomba nitumie mfano wa Nchi na Kampuni ili kuonyesha hicho ulichosema kinaweza kuwa na faida kimaendeleo:Lengo la kampuni ni kupata faida tu hata kwa njia zisizofaa ikiwemo ukwepaji kodi, uchafuzi wa mazingira, unyonyaji wafanyakazi n.k Lengo kuu la kwanza la uongozi wa nchi ni raia wapate furaha na maendeleo kwa kujali haki za wote, sheria, usawa, national pride, mazingira na vizazi vijavyo.