eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Nazir Karamagituwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote likafanikiwa hawajawahi kufanya.
mtu kama huyu ataiba tu kodi zetu.
we fikiria pesa nyingi inalipa mishahara mizuri na ya maendeleo ni kidogo tu.
hapa kukua juu kiuchumi tutakusikia kwa Usa, china, India, japani na England.
shida tupuWaangalia kama ni kada. But background ya. Mtu ahhh
Ndio maana tunapata watu ambao wanafanya majaribio kwenye uongozi
Kigwangala herbal clinic...huyu bwana kigwangala hamis alikua na herbal clinic hapo nzega na mkoani Tabora na amefanya / alifanya vyemaa TUtuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote likafanikiwa hawajawahi kufanya.
mtu kama huyu ataiba tu kodi zetu.
we fikiria pesa nyingi inalipa mishahara mizuri na ya maendeleo ni kidogo tu.
hapa kukua juu kiuchumi tutakusikia kwa Usa, china, India, japani na England.
aliendesha nini huyu kabla hajawa mbungeNazir Karamagi
Ku-run nchi na kuendesha mradi ni vitu viwili tofauti. Kwanza wengi ya hawa wenye miradi ni watu wa shortcut na wamepata mafanikio kwa njia haramu. Tanzania tunahitaji katiba nzuri ili tuwe na urahisi wa kuchagua kiongozi mzuri na kumuondoa iwapo atazembea.tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote likafanikiwa hawajawahi kufanya.
mtu kama huyu ataiba tu kodi zetu.
we fikiria pesa nyingi inalipa mishahara mizuri na ya maendeleo ni kidogo tu.
hapa kukua juu kiuchumi tutakusikia kwa Usa, china, India, japani na England.
ipo mpaka leo au ilishakufaKigwangala herbal clinic...huyu bwana kigwangala hamis alikua na herbal clinic hapo nzega na mkoani Tabora na amefanya / alifanya vyemaa TU
huoni kama hao wanaojua shortcut za mafanikio wanatufaa sana kuwa viongozi katika taifa letu? ili na taifa nalo likue juu kiuchumiKu-run nchi na kuendesha mradi ni vitu viwili tofauti. Kwanza wengi ya hawa wenye miradi ni watu wa shortcut na wamepata mafanikio kwa njia haramu. Tanzania tunahitaji katiba nzuri ili tuwe na urahisi wa kuchagua kiongozi mzuri na kumuondoa iwapo atazembea.
Mkuu wacha kupotosha.Kigwangala herbal clinic...huyu bwana kigwangala hamis alikua na herbal clinic hapo nzega na mkoani Tabora na amefanya / alifanya vyemaa TU
Napokea taarifa mkuu 😊Mkuu wacha kupotosha.
Kingwangala herbalist wa Tabora siyo huyo Waziri Kigwangala.
Hayo ni majina yenye kufanana tu, lakini watu ni tofauti.
Waziri Kigwangala kazaliwa Puge wilaya ya Nzega huko, wala Tabora hajulikani.
🤣🤣🤣 aisee hatari sanaMkuu wacha kupotosha.
Kingwangala herbalist wa Tabora siyo huyo Waziri Kigwangala.
Hayo ni majina yenye kufanana tu, lakini watu ni tofauti.
Waziri Kigwangala kazaliwa Puge wilaya ya Nzega huko, wala Tabora hajulikani.
tuainishie mafanikio yake please, mfano alianza hivi ila baada ya muda flani akapiga hatua hizi.Kigwangala herbal clinic...huyu bwana kigwangala hamis alikua na herbal clinic hapo nzega na mkoani Tabora na amefanya / alifanya vyemaa TU
Mtazamo mbaya wa Kitanganyika kwamba ukifanikiwa kwenye private sector wewe ni mwizi.Ku-run nchi na kuendesha mradi ni vitu viwili tofauti. Kwanza wengi ya hawa wenye miradi ni watu wa shortcut na wamepata mafanikio kwa njia haramu. Tanzania tunahitaji katiba nzuri ili tuwe na urahisi wa kuchagua kiongozi mzuri na kumuondoa iwapo atazembea.
Huu mtazamo wa ''kitanganyika'' kuwa ukifanikiwa private sector wewe ni mwizi ni muhimu sana japo mara nyingi siyo hivyo. Na mimi sisemi kuwa kila mfanyabiashara ni mwizi au hawezi kuongoza. Lengo langu ni kumwonyesha mwanzisha thread kuwa siyo lazima ukifanikiwa kwenye biashara basi wewe ni kiongozi mzuri. Vivyo hivyo, utajiri haumaanishi kuwa utakuwa kiongozi mbaya. I mean nataka tujikite kwenye tatizo linasababisha hasa tunashindwa ki-uongozi na tusipotoshe. Turudi kwenye katiba nzuri tuache kupotosha.Mtazamo mbaya wa Kitanganyika kwamba ukifanikiwa kwenye private sector wewe ni mwizi.
Marekani imewahi ongozwa majenerali wazuri wastaafu, wanasheria wakubwa, wafanyabiashara na hadi sasa Rais mteule ni mfanyabiashara, bondia kama Abraham Lincoln, mwigizaji wa filamu kama Ronald Reagan na hawa wote walifanikiwa kwenye fani zao.
Hufyatuki uko ukagombea Urais na hujawahi fanikiwa kwenye jambo lolote ulilofanya. Wala huji kugombea wakasema wewe ni tajiri hivyo ni mwizi, Rais Ford alikuwa billionaire na alifanya sera nyingi nzuri zinazohusiana na sheria za kazi. Hata sheria ya siku 5 za kazi, saa 8 za kazi, siku mbili za weekend aliianzisha yeye huku wakosoaji wakiipinga vikali.
Ford aliianzisha kwenye kiwanda chake, Ford akiwa mmiliki wafanyakazi wake waliweza jenga nyumba, miliki gari na kulea familia huku mama akiwa wa nyumbani. Wamefuata Marais hao unaoita sio wezi wakaharibu.
Israel viongozi wao hasa Waziri Mkuu aliwahi fanikiwa kwenye jambo lao kuu, ulinzi na usalama.
Sasa sisi mtu alikuwa UVCCM, mjumbe wa sijui nini, kaimu, mkuu wa wilaya, boom Waziri alafu leo Wizara ya Afya, kesho Wizara ya Michezo na kote uko hajui kitu.
Hao wenye Asili ya Asia achana nao Kabisa, Hawafai hata kuzifikia Top position, Sisi tunaongelea WatanzaniaRostam. Turki, Shabibi, Abood, Gulamali
Kumbuka katiba inaendeshwa na watu.Mnaweza kuwa na katiba nzuri sana na sheria nzuri lkn utayari wa wananchi wenyewe kuanzia kiakili - kichwani na kimtazamo kutekeleza hayo maelekezo inaweza kuwa changamoto.Huu mtazamo wa ''kitanganyika'' kuwa ukifanikiwa private sector wewe ni mwizi ni muhimu sana japo mara nyingi siyo hivyo. Na mimi sisemi kuwa kila mfanyabiashara ni mwizi au hawezi kuongoza. Lengo langu ni kumwonyesha mwanzisha thread kuwa siyo lazima ukifanikiwa kwenye biashara basi wewe ni kiongozi mzuri. Vivyo hivyo, utajiri haumaanishi kuwa utakuwa kiongozi mbaya. I mean nataka tujikite kwenye tatizo linasababisha hasa tunashindwa ki-uongozi na tusipotoshe. Turudi kwenye katiba nzuri tuache kupotosha.
asante mkuu kwa comment bora sanaMtazamo mbaya wa Kitanganyika kwamba ukifanikiwa kwenye private sector wewe ni mwizi.