Ed edd n eddy
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 263
- 345
ok.🐒Utamaduni wetu wa nyama choma hapa Tanzania kwa ujumla ni wakishamba sana. Ukiagiza nyama choma matarajio ya watu wengi ni nyama iive mpaka ndani iwe imekauka kabisa. Ukiomba medium rare au rare, unaweza kuangaliwa kana kwamba umeagiza nyama mbichi kutoka machinjioni.
Tatizo letu ni kwamba tumefundishwa kuamini kuwa nyama ikiwa na rangi ya pinki katikati, basi haijaiva. Nyama inakauka mpaka inakosa juisi yakw
Katika nchi zenye kujua nyama watu wanafurahia steak ya medium rare kwa sababu wanathamini ulaini na ladha halisi ya nyama. Hapa kwetu, mara nyingi tunaichoma mpaka inakuwa ngumu kutafuna, halafu tunaifunika kwa pilipili, chumvi nyingi na viungo ili angalau iweze kuliwa.
Pia mi naona huenda wengi wetu hatujapata nafasi ya kutosha kuonja nyama bora iliyotayarishwa kwa mbinu tofauti. Nyama yenye ubora mzuri, ikipikwa au kuchomwa vizuri inaweza kuwa na ladha nzuri bila kuhitaji kuchomwa mpaka ikauke. Wakati mwingine, kuichoma kupita kiasi kunaficha ladha na ubora wake badala ya kuviendeleza.
Okkwa kifupi bongo nyama hatuli nyama ni anasa,very expensive
tatizo uandaaji,,ilitakiwa waende course uturuki wajifunze vyenye nyama huchomwaKwahio tatizo ni nyama mbaya au hatujui kuiandaa?
very expensíve sababu hakuna overproduction ya mifugo,kama supply ikiwa kubwa unakuta kuku mzima unamnunua kwa sh 5000 ambayo ingefanya nyama ya kuku isiwe tena ni anasakwa kifupi bongo nyama hatuli nyama ni anasa,very expensive
Running cost ni kubwa chakula cha kuku wa nyama ununue laki moja kwa mfuko halafu huyo kuku uje umuuze 5k?very expensíve sababu hakuna overproduction ya mifugo,kama supply ikiwa kubwa unakuta kuku mzima unamnunua kwa sh 5000 ambayo ingefanya nyama ya kuku isiwe tena ni anasa
Kigamboni kuku kashakaangwa 5,000/- tuvery expensíve sababu hakuna overproduction ya mifugo,kama supply ikiwa kubwa unakuta kuku mzima unamnunua kwa sh 5000 ambayo ingefanya nyama ya kuku isiwe tena ni anasa
Leo kazi ipoHamjui kwasababu mbili kuu....
Hamuweki ingredients sahihi na kwamuda wa kutosha.
Pia uroho wa nyama ambao hupelekea msiivishe nyama mujarab.
mchawi ni bei ya mbolea tu,ingekua chini,uzalishaji nafaka ungekua mkubwa kwa gharama ndogo,kupelekea bei ya chakuka cha mifugo kuwa chini na kupelekea overproduction ya mifugo,na so bei ingeshuka juu ya oversupplyRunning cost ni kubwa chakula cha kuku wa nyama ununue laki moja kwa mfuko halafu huyo kuku uje umuuze 5k?
Classmate unatia spana tuHamjui kwasababu mbili kuu....
Hamuweki ingredients sahihi na kwamuda wa kutosha.
Pia uroho wa nyama ambao hupelekea msiivishe nyama mujarab.
Ni wa siku ngapi huyo kuku? Ni kuku kweli au chikuku 😹Kigamboni kuku kashakaangwa 5,000/- tu
Ha ha ha nawaona barabarani wanakaangwa wanauzwaNi wa siku ngapi huyo kuku? Ni kuku kweli au chikuku 😹
Hatujui kuiandaa sababu nyama mbaya pia.. Hatuna Quality beef tz.Kwahio tatizo ni nyama mbaya au hatujui kuiandaa?
Kuku wa wiki 2?Kigamboni kuku kashakaangwa 5,000/- tu