mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Wakati Urusi ilipovamia Czechslovakia mwaka 1968 Tanzania chini ya Nyerere tulialaani kitendo hicho. Wakati Urusi ilipoivamia Afghanstan mwaka 1979, Tanzania chini ya Nyerere tuliaani kitendo kile; ni wakati huo huo ndipo Amini alipoivamia Tanzania, na bado pia tukalaani. Wakati Saddam alipoivamia Kuwait mwaka 1990, Tanzania chini ya Mwinyi tulilaani kitendo kile.Tanganyika hadi Tanzania haijawahi kuwa na msimamo tangu kuumbwa kwake. Wewe Fikiria Mreno kapita, Mwarabu kapita, Mjerumani akafanya yake, Mwingereza akamalizia shughuli. Haya kuna msimamo hapo?
Kwanza maskini anawezaje kuwa na msimamo?
Tanzania ya leo msimamo wao wa Aina yyt kuunga au kutounga mkono hauna athari yyt kwenye maamuzi ya kidunia..Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine
Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka lakini halikutokea.
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema: “Katika sera yetu ya mambo ya nje ni kutafuta muafaka, kutumia njia ya diplomasia, lakini hilo halikuwezekana ndiyo maana katika kupiga kura tukaamua kutofungamana na upande wowote.
“Lengo ni kutoa meseji kuwa sisi hatufungamani na upande wowote, hivyo kutopiga kura ni kuonyesha msimamo wa Tanzania.”
Tamko hilo limekuja ikiwa ni siku moja tangu Umoja wa Ulaya (EU) utoe tamko kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine kijeshi hadharani.
Tamko hilo lilitolewa na baadhi ya mabalozi wa nchi za Ulaya waliopo nchini Tanzania ambao nchi zao ni wanachama wa EU, jana Machi 22, 2022, wakieleza kuwa kuungana huko hakutakuwa na maana Urusi itasitisha uvamizi muda huohuo lakini itakuwa na maana kubwa kwa kuionyesha Urusi jinsi dunia ambavyo haikubaliani nao.
View attachment 2161931
Source: TBC
Kwa sababu hataki uonevu wa mabeberu,wa ulaya na marekani.Kwanini?
Yaani huo unao wala wazir hahitaji kukufanya mjingaKutokupiga kura kuunga mkono upande wowote kidiplomasia maana yake ni kuwa na upande lakini tunaogopa kuunyosha wazi wazi. Na katika hili la sasa maana yake Tanzania tumechagua upande wa Vita, tunawaunga mkono Urusi kwa 100%, hivyo huyo waziri wa mambo ya nje wa Tz aache kutufanya sote wajinga. Na katika hili tujiandae kulipa gharama.
Wakati Urusi ilipovamia Czechslovakia mwaka 1968 Tanzania chini ya Nyerere tulialaani kitendo hicho. Wakati Urusi ilipoivamia Afghanstan mwaka 1979, Tanzania chini ya Nyerere tuliaani kitendo kile; ni wakati huo huo ndipo Amini alipoivamia Tanzania, na bado pia tukalaani. Wakati Saddam alipoivamia Kuwait mwaka 1990, Tanzania chini ya Mwinyi tulilaani kitendo kile. Wakati marekani ilipoivamia Iraq mwaka 2003, Tanzania chini ya Mkapa tulialaani kitendo hicho.
Kwa nini mwaka huu urusi imeivamia Ukraine na tukashindwa kulaani?
Gharama kivipi mkuu. Acha uoga !!!!Kutokupiga kura kuunga mkono upande wowote kidiplomasia maana yake ni kuwa na upande lakini tunaogopa kuunyosha wazi wazi. Na katika hili la sasa maana yake Tanzania tumechagua upande wa Vita, tunawaunga mkono Urusi kwa 100%, hivyo huyo waziri wa mambo ya nje wa Tz aache kutufanya sote wajinga. Na katika hili tujiandae kulipa gharama.
Unaifahamu sera ya Tanzania dhidi ya hizi blocks mbili kubwa duniani?Kutokupiga kura kuunga mkono upande wowote kidiplomasia maana yake ni kuwa na upande lakini tunaogopa kuunyosha wazi wazi. Na katika hili la sasa maana yake Tanzania tumechagua upande wa Vita, tunawaunga mkono Urusi kwa 100%, hivyo huyo waziri wa mambo ya nje wa Tz aache kutufanya sote wajinga. Na katika hili tujiandae kulipa gharama.
Inaelekea huelewi maana ya kutofungamana na upande wowote -Non Aligned Movement (NAM).Siasa ya kutofungama na upande wowote ilianzishwa na nani ili itumike wakati gani? Wakina Doctor Shika msitulazimishe kumuunga mkono Urusi.
Sababu za kijinga.Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine
Imesisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo hilo ndilo walilotaka lakini halikutokea.
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema: “Katika sera yetu ya mambo ya nje ni kutafuta muafaka, kutumia njia ya diplomasia, lakini hilo halikuwezekana ndiyo maana katika kupiga kura tukaamua kutofungamana na upande wowote.
“Lengo ni kutoa meseji kuwa sisi hatufungamani na upande wowote, hivyo kutopiga kura ni kuonyesha msimamo wa Tanzania.”
Tamko hilo limekuja ikiwa ni siku moja tangu Umoja wa Ulaya (EU) utoe tamko kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia Ukraine kijeshi hadharani.
Tamko hilo lilitolewa na baadhi ya mabalozi wa nchi za Ulaya waliopo nchini Tanzania ambao nchi zao ni wanachama wa EU, jana Machi 22, 2022, wakieleza kuwa kuungana huko hakutakuwa na maana Urusi itasitisha uvamizi muda huohuo lakini itakuwa na maana kubwa kwa kuionyesha Urusi jinsi dunia ambavyo haikubaliani nao.
View attachment 2161931
Source: TBC
Inaelekea huelewi maana ya kutofungamana na upande wowote -Non Aligned Movement (NAM).
Kwani hayo matukio manne niliyotaja hapo juu kulikuwa hakuna sera hiyo ya kutofungamana na upande wowote? Nyerere mwenyewe aliyekuwa mjamaa bado alilaani kitendo cha urusi kuvamia Czechoslovakia na Afghanstan. Wewe unaelekea kuimba siasa ya kutofungamana kwa mtazamo mfupi wa ama upande wa Urusi au upande wa Marekani, ambao ni mtazamo mfupi sana na hauna uhusiano wowote na tukio hili.
Kwa hiyo unapoona watu Ukraine wanauwawa bila makosa unachukulia hiyo ni sawa mradi hufungamani na Marekani?
Wakati Idi Amin alipoivamia Tanzania, si kwamba tulilaani tu, bali tuliuomba ulimwengu ulaani kitendo hiki. Leo hii tunapata kigugumizi kuilaani Urusi.Wakati Urusi ilipovamia Czechslovakia mwaka 1968 Tanzania chini ya Nyerere tulialaani kitendo hicho. Wakati Urusi ilipoivamia Afghanstan mwaka 1979, Tanzania chini ya Nyerere tuliaani kitendo kile; ni wakati huo huo ndipo Amini alipoivamia Tanzania, na bado pia tukalaani. Wakati Saddam alipoivamia Kuwait mwaka 1990, Tanzania chini ya Mwinyi tulilaani kitendo kile. Wakati marekani ilipoivamia Iraq mwaka 2003, Tanzania chini ya Mkapa tulialaani kitendo hicho.
Kwa nini mwaka huu urusi imeivamia Ukraine na tukashindwa kulaani?
Hiyo kauli ya Waziri haina mantiki. Kama tunataka Urusi na Ukraine wamalize mgogoro kwa njia ya mazungumzo, je ni nani katika hizo nchi mbili iliyoamua kutumia nguvu?Serikali ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine