Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Simba tunakosa 2,5 na 7..direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need 1: experience 2. quality players 3. luck 4. money 5. leadership 6. fans 7.great manager
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.
acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge
yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
Tunawasukutua ngumi za midomo tuTulianza msimu uliopita kombe la Shirikisho Afrika
_Kwamba hawana uwezo wa kufika makundi shirikisho
_Hawana uwezo wa kuwafunga sijui akina river united,
_Hawana uwezo wa kwenda robo fainali shirikisho
_Hawana uwezo wa kufika nusu fainali
_Hawana uwezo wa kumfunga mwarabu kwao
Yote hayo wananchi tukayafanya bila hiyana
Msimu huu mlianza kama msimu uliopita...
Sisi tutaongea mwisho wa safari yetu maana bado haijaisha...
Ndio kawaida yetu wana Yanga... Maneno machache vitendo vingi
amna atakaye fuzu.Na simba ikifuzu mtakuja hapa kumpongeza benchika
Lengo letu ni kufuzu, na ikitokea hatujafuzu ni moja ya matokeo pia...amna atakaye fuzu.
Simba tunakosa 2,5 na 7..
Kwa experience nafikiri Tunayo
you don't have the team to qualify for the finals or the semiLengo letu ni kufuzu, na ikitokea hatujafuzu ni moja ya matokeo pia...
Jambo kubwa hapa kwasasa, ni kwamba tunapambana ili tufuzu,
Tusubiri tuoneyou don't have the team to qualify for the finals or the semi
English imdpungua eeh? Afadhali maana inasikitisha sana ku murder lugha za watu.direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.
acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge
yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
Mbona kama una kinyongo! Shida ni nini? Na vipi ikitokea hiyo Yanga ikafuzu! Utakuja na ngonjera ipi tena?direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.
acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge
yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
YANGA anapita nikooo palee na DRW ya magolidirect to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities
tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.
acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge
yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
it's impossible we all know Loftus stadium recordsMbona kama una kinyongo! Shida ni nini? Na vipi ikitokea hiyo Yanga ikafuzu! Utakuja na ngonjera ipi tena?
kuwa serious, tumia dataYANGA anapita nikooo palee
HahaaaaaTunawasukutua ngumi za midomo tu
View attachment 2950810