Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities

tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.

acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge

yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
Tanzania inauwezo sio tu wa kuingia semi final hata kuchukua hilo kombe lenyewe..

Mpora unambinu nyingi na tunazijua nyingi sana hofu yangu ni psychology ya wachezaji wetu naona kama hawajajiset kuwa wakubwa africa..
 
Kwamba 70% possession won't win a match. tuwe serious??
Ndio maana nilikwambia mpira hujui. Kwenye mpira wa miguu sio kuwa na possession kubwa ndio kushinda mechi. Man City alikuwa na possession ya 70 na anafungwa mechi. Mpira ni mbinu na sio possession dogo. Yanga aliongoza possession kule Algeria dhidi ya Belouizdad ila akafungwa goli tatu. Sumba aliongoza possession dhidi ya Al Ahly ila kafungwa goli moja nyumbani. Mpira wewe unajilazimisha ila hujui kitu kwenye mchezo wa mpira
 
Hahahaha ndio madhara ya kufuata mkumbo kwenye kushabikia mpira yaaani ulipoona boyfriend wako anashabikia simba na wewe ukashabikia tu hebu nikuulize swali mchuchu nipe hiyo ball possession kati ya mechi ya simba na al ahly ile ya juzi
Anatia aibu bora angekaa kimya tusingejua kama ana upeo mdogo kiasi hiko kwenye maswala ya mpira. Eti possession, ingekuwa possession ndio matokeo basi Simba isingefungwa na Al Ahly.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Wewe nawe tumekuchoka huu upuuzi wako kila post unaweka hizi takataka zako🚮🚮🚮
 
direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities

tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.

acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge

yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
gamondi ni kocha makini na akipata wachezaji,anaweza kuingia nusu fainali,lakini kwa sasa yanga ni timu nzuri lakini wachezaji wenye uwezo na ujuzi wa kutufikisha nusu fainali yanga wapo 5 tu,ili tungie nusu fainali ni lazima tuwe na wachezaji wenye huo ujuzi angalau 10
 
Kwa hiyo mkuu unatuhakikishia kuwa wataruka ruka tu warudi nyumbani?
Jamaa anakupooza, ila mechi bado sio rahisi kihivyo kwa Mamelod, chochote kinaweza kutokea. Mpaka sasa ni 50 - 50 Mamelod kule wanakazi mbili ya kucheza apate goli na pia awazuie Yanga wasipate goli la ugenini.
 
Hebu tutajie hao quality players ambao hawapo Yanga na Simba
 
it's impossible we all know Loftus stadium records
Petro de Luanda waliwatoa hapo hapo Loftus versfeld.
Wydad waliwatoa Mara mbili hapo hapo Loftus.
Yanga pia inaweza kuwatoa, hili ni soka lolote laweza kutokea sababu ya bahati na mipango au mikakati mizuri ndani na nje ya uwanja.
 
Kila jambo Lina mwanzo,msimu uliopita yanga kacheza final cafcc
Msimu huu kaingia robo mbele ya team kutoka Algeria tena bingwa wa ligi pale kwao
Ka draw na Mamelody tena akiwa na kikosi ambacho kina upungufu wa wachezaji tegemezi
Huenda huu ndio mwanzo wa kufikia hiyo hatua na pengine kuchukua kombe
1.luck yanga wanayo kwa Sasa
2.uongozi unajitahidi sana (kumbuka Andre Mtine si mtu mdogo kwenye soccer la vilabu afrika)
3.Fedha IPO si kama zamani
4.Quality player wapo kwa level za afrika
Final tunaweza kucheza na kuleta ushindani changamoto ni pale tutakapokutana na Madrid kule duniani itatusumbua sana
Well said.
 
🤌 set that daudi and goliath in real life. una hisi jiwe could kill a giant
Kwaio mkuu hata hapo timu zetu zimefikia Ni MUUJIZA AMA NGEKEWA KWA MITAZAMO WAKO??!!

Binadamu tumepishana mitazamo na the way tunavyo yaona mambo..

Binafsi Mimi nilikataaga ku fail in different aspects of my life.. siku zote nikiambiwa huwezi ndio catalyst ya kupambana kuwa prove wrong wote walio Ni underate... The case kwa Simba na yanga zetu..

Zama zimebadilika Sanaa japo Ni ngumu sisimizi KUMUUA tembo ama MENDE kuangusha kabati..

In football everything is possible
 
Petro de Luanda waliwatoa hapo hapo Loftus versfeld.
Wydad waliwatoa Mara mbili hapo hapo Loftus.
Yanga pia inaweza kuwatoa, hili ni soka lolote laweza kutokea sababu ya bahati na mipango au mikakati mizuri ndani na nje ya uwanja.
Yes, Simba waliwatoa Zamaleck hapo hapo Misri. Hivyo, mpira unadunda usije shangaa Simba anamtoa Ahaly hapo hapo Misri.
 
Anatia aibu bora angekaa kimya tusingejua kama ana upeo mdogo kiasi hiko kwenye maswala ya mpira. Eti possession, ingekuwa possession ndio matokeo basi Simba isingefungwa na Al Ahly.
Aina hii ya mashabiki ndio inayochangia kuharibu mijadala ya michezo humu jf......mpira ni mchezo wa mbinu kwa dunia ya sasa ,,mfano tukija hata mchezo ambao simba alipigwa goli 3 na jwaneng galaxy kwa mkapa simba aliongoza hiyo ball possession ila mwisho wa mchezo wachezaji wa simba walianguka chini wakawa wanalia na kulaumiana
 
direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need
1: experience
2. quality players
3. luck
4. money
5. leadership
6. fans
7.great manager
8. good facilities

tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5 years to reach the semi finals.

acheni hype. tulieni mtapata aibu. mkiweza fanyeni kaZi acheni mpira wa siasa. maneno mingi amna timu ya defenders na mzinze mawenge

yanga yanga kelele nyingi team ya guede na gamondi. acheni siasa tulieni
Endelea kupiga Ramli
 
Ungemalizia Kwa kusema timu itakayovuka robo fainali utatowa tako ndio ningeona upo seriously.
 
Back
Top Bottom