Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

Kuna wakati Imani na matokeo vinaendana na Kuna wakati haviendani as Imani huwa ni kwenye kesho na si Leo
Ila kama yasemavyo maandiko "Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwayo ,ni bayana ya mambo yasiyoonekana"Waebrania
Kwenye maandiko hayo waliyotuletea hao jamaa wao hawayatumii kabisa.
Wao wanawekeza na kuzingatitia miiko ya wakifanyacho.
 
Kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa impossible. Anayesema impossible kwenye maswala ya mpira wa miguu huyo hajui mpira. Atakayeingia na mbinu na ufundi sahihi kuliko mwenzie anauwezo wa kushinda mechi. Mechi ya awali sio kwamba Mamelod walipenda watoe sare bali walitamani waimalize mechi hapa hapa Tanzania ila wameshindwa. Kule Loftus mechi inaenda kuanza na upya hiyo mpaka sasa kwenye kufuzu ni 50-50
impossible ipo ndomaana hakuna Timu kutoka bara la Africa iliyowahi kufika hata fainali ya word cup achilia mbali kuchukua. Hakuna klabu kutoka Africa iliyowahi kuchukua fifa club word cup pia
 
vigezo juu hapo. I said what I said.
Katika vigezo ulivyotaja ukitoa hiyo LUCK ambayo kwenye mpira hakuna kitu kinaitwa LUCK basi hivyo vingine limebaki gap dogo sana linalotutenganisha sisi na wao unaoita wenye uwezo. Ambapo sasa hilo gap sio kizuizi chochote kwa hizi timu kutokusongambele ukilinganisha na miaka 5 nyuma.

Nafasi ipo na kila kitu kinawezekana mkuu
 
Back
Top Bottom