Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

it's impossible we all know Loftus stadium records
Kwenye mpira hakuna kitu kinachoitwa impossible. Anayesema impossible kwenye maswala ya mpira wa miguu huyo hajui mpira. Atakayeingia na mbinu na ufundi sahihi kuliko mwenzie anauwezo wa kushinda mechi. Mechi ya awali sio kwamba Mamelod walipenda watoe sare bali walitamani waimalize mechi hapa hapa Tanzania ila wameshindwa. Kule Loftus mechi inaenda kuanza na upya hiyo mpaka sasa kwenye kufuzu ni 50-50
 
Nilipokuwa simba Enzi za Senzo nilipush sana Agenda 3.

1. Uwekezaji seriously.

2. Uongozi mzuri.

3. Wachezaji Bora.

Inshort sidhani kama simba ina mchezaji hata mmoja wa kucheza Fainalai CAFCL.
ww nae hueleweki hapo juu umesema kuchambua Simba na Yanga kwa vijana ni kupoteza muda na wewe uko hapa unachambua
 
Binafsi natamani sana Yanga atolewe, tena atolewe kwa goli si chini ya 3.

Tatizo ni kwamba Yanga wamekuwa na kikosi chenye motisha ya hali ya juu na wameshafanya maajabu yasiyotegemewa si mara moja.

Kufika fainali shirikisho, kumpiga CRB 4, Kutoa droo na Sundown si mambo tuliyoyategemea.

Tuwaombee mabaya hawa vyura wapigwe baraaa baraaa hiyo ijumaa ila tujiandae na kelele iwapo maombi hayatatimia na wakapita.

Ukijiaminisha hawapiti halafu wakapita unaweza taniwa kawaida tu na mzee mwenzako mwanayanga ukajikuta umetoa lugha chafu mbele ya vijana wadogo wanaokuheshimu.
 
Kwamba 70% possession won't win a match. tuwe serious??
 
wananchi uwezo awana. no need to run around the bush.
 
wananchi uwezo awana. no need to run around the bush.
Maisha yanaongozwa na kuendeshwa kwa Imani, si vibaya ukashikilia unachoamini na wananchi nao tunashikilia kile tunachokiamini...
 
Ni experience kwa sasa.
Yanga na Simba zote zilikuwa na uwezo wa kushinda game zao. Ila wameaminishwa na media za Tanzania kuwa wao ni timu ndogo.
Media zetu zinatuangusha sana watanzania, tena sana maana ni uoga tu ndio uliofanya wasifunge angalau bao moja kila timu. Hakuna maajabu mengine.
 
Watukuja Wana CCM Kukuporomoshea Matusi Ila Ukweli Watauona
 
Una ubongo kama wa panzi ubongo ambao unakesha vijiweni simba yanga ndo wew sasa ukisikia akili fupi kama mavi ndo zako et madrid ya nyoko
 
Umesahau na kumpiga simba goli 5
 
Kwamba 70% possession won't win a match. tuwe serious??
Hahahaha ndio madhara ya kufuata mkumbo kwenye kushabikia mpira yaaani ulipoona boyfriend wako anashabikia simba na wewe ukashabikia tu hebu nikuulize swali mchuchu nipe hiyo ball possession kati ya mechi ya simba na al ahly ile ya juzi
 
Hapa
Tujikumbushe kidogo kisa Cha DAUDI KUMUUA GOLIATH

Mkuu,

Kila kitu kinawezekana turudi hapa tarehe 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…