Mizengwe kwangu ni namba moja kwa vichekesho kwanza wanaigiza maisha harisi ya Tanzania, vichekesho vyao huku ukiwa una furaha na fundisho pia, kifupi nawakubali sanaa.Niliwasahau kuwataja. Mizengwe noma, mtu 5 tu ndani ya dk kadhaa wanachekesha na kufikisha ujumbe murua
Hahah muroto hua ananichekesha sana yule mzee he is a true comedianList yangu ya wachekeshaji (1)Msukuma akiwa bungeni(2)Muroto akiwahoji watuhumiwa na kuwahukumu live mbele ya wahandishi wa habari(3)Bashite akiangua kilio kanisani.
HAHAHAHA! Duuuuuh!Tafuta muda uangalie komedi za Mc Pilipili utajuta kuharibu muda wako bora ujikite kwenye punyeto.
Wewe pia ni mchekeshaji maana umenifurahisha mkuuKumchekesha Mtz aliyezimwa pesa za korosho sio ishu ndogo.
Wakikuwa wanatumia akili kubwa kidogo,Unafiki pembeni, wale jamaa wa "JAMBO NA VIJAMBO" Wanajua sana. Kibongobongo nawakubali sana wale raia.....Kwa malegendari, Joti yupo juu.
Hahaa jamaa alikuwa na IQ kubwa sana,Wanajua kuongea kwa sauti kubwa ndiyo uchekeshaji, wasanii wengi hakuna kitu wachukue clip za Champlin waone utofauti.
Jamaa haongei ila unacheka.
Daaah heshimu basi kazi ya mtu angalau kdg. Hata kama unatoa critisizations zako tumia lugha ya kiungwana. Afu kama ww hakuchekeshi kumbuka kuna ambao anawachekesha ndo maana anaendelea na hio kazi, kama kungekua hakuna hata mmoja wanaemchekesha kwa nn basi wangeendelea.

Heshimu kazi ya mtu bwana
List yangu ni hii
Joti
mpoki
Maufundi
ringo
kipupwe
tiny white
Na braza k
waangalie vijana wa cheka tu, halafu rudi kusema sio wote ni wa hivyo.
hakika mpoki yupo vizuri kwa stand up comedy tena bila kujipanga alimwambia manara yeye na manara wanatatizo la kubaguliwa rangiTanzania stand-up comedy bado sana, hamna kitu kabisa.
Ila naona Mpoki akiamua kuifanya ataweza sana. Nimeangalia hiyo Cheka tu yako naona watu wanajilazimisha tu kucheka.
Comedian wenyewe wanaishiwa maneno.

hapana mimi ni mdau tu huwa nafuatilia kazi zao kiukweli hao jamaa wanachekesha muda wote
[emoji16][emoji16]Ndani ya muda mfupi aliweza kupanga maneno ya hatari.. mala sijui daimond awe na mabodigadi yeye atamiliki waganga.hakika mpoki yupo vizuri kwa stand up comedy tena bila kujipanga alimwambia manara yeye na manara wanatatizo la kubaguliwa rangi