Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Wewe ni mtu mzima hopeless kama ni mtu mzima kweli lakini.
 
Unfortunately even the “fresh faces we need” are also partially compromised!

Wengi wamejazwa upepo! Full of a bright future on the outside but lack of the real future in the inside!

Madebe Matupu!!!
its better for new faces kuliko hao walio experienced. new faces ni easy to teach.. to control.
so i say bora hao.. but wawahi.before it is too late
 
Uongo mtupu
 
Rais hajafa kwa covid-19..
Wanajaribu kutuaminisha kitu ambacho hakipo, waambieni watuonyeshe CCTV footage zikionyesha Magufuli alilazwa na kutibiwa mzena kwa covid 19, waonyeshe magufuli akiwa anapata misaada ya upumuaji kwa kutumia machine za upumuaji, tulichokiona ni kuambia kafia mzena mwili unachukuliwa unapelekwa hospital jeshi, huku jana yake makamu wa rais alitangaza kifo cha Rais akiwa Tanga, immagine sio ikulu ni Tanga hehe, yaani makamu wa Rais na waziri mkuu wake hawana taarifa yeyote ya kuzidiwa kwa Rais wao na hata kukatisha ziara zao kurudi ikulu/makao makuu ya nchi, inavyooneka ni mtu kampigia simu samia huko aliko na akatangaza kifo baada ya hapo wakawa na jibu ni corona.
 
Kwa nini hizo gari hazikupitishwa usiku?
 
Ndani ya mwezi mmoja,ikulu yetu tumepoteza viongozi muhimu sana. Sio kitu cha kawaida. TISS msikae kimya.kuna jambo
Mkuu mimi lililo nisikitisha sana ni TISS kutokwenda kisayansi bali kwenda na emotions za viongozi.
Usalama wa nchi si hisia za kiongozi bali hard facts na evaluations za hizo facts.
Tulijua kuwa covid ipo, na kisayansi ina mutate, thats a fact.

TISS inayoaminika na Taifa, iliamua kwenda na emotions za imani, Kusali na kuomba.
Hapo ndo nikajua something is very wrong.

Ndani ya Ikulu tumepoteza watu kwa kujidai covid haipo.
Ni mpaka pale tumeona viongozi wakubwa wanaanza kudondoka kama nzi ndiyo tumesituka.

Lazima tukubali kuwa katika hili, TISS wameonyesha udhaifu mkubwa kiutendaji.

On the other hand nilifiwa na Afisa wa JWTZ, na tuliaga pale Lugalo.
Standing order pale Lugalo ni KILA MTU KUVAA BARAKOA, no matter whom!
Nikajiuliza kama kuna orders tofauti katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?
Kwa vyovyote msimamo wa JWTZ ulikuwa sahihi.

Tunawasihi TISS kurudi kwenye misingi ya kuanzishwa kwake.
 
Noma Sana.
 
Unakuwa na mawazo km yangu akili yangu pia imegoma kuamini sababu iliyotolewa.
Kwa mwendo huu wa usalama. nashindwa kuamini km Mwamba kafariki kifo chakawaida.
Ubongo wangu unagoma kabisa, maadui inaonekana wameingia hadi chumbani.
Mungu mpumzishe kwa amani mzalendo no 1. Hakika tutakukumbuka daima JPM.
 
Wewe mjomba wako akikutafutia kazi utashindwa kumweleza hbr za kazini kwako
Wengi vijana pale ikulu baba zao wapo serikalini na katika chama hayo mengine mtajaza wenyewe
 
Naomba kukazia

Hakuna kitu kinaitwa demokrasia kwenye Utawala unaojitambua


 
Naomba kukazia

Hakuna kitu kinaitwa demokrasia kwenye Utawala unaojitambua
Tuliweke hilo kuwa mada ya siku nyingine.
Kura yako moja hailingani na kura moja ya Rostam Aziz, ndio demokrasia hiyo.
 
man unaweza ku hide your location without tor network.
Vpn ikiwa moja wapo. and siongoelei normal vpn.. vpn with extra tunneling.
could one or more. making hard to find the target.
Kwani Tor network ina utofauti gani na VPN kimatumizi ya ulinzi wa kimtandao?
 
Kwenye wasifu wa marehemu JPM, TL ameandika chanzo cha habari za raisi kuwa mgonjwa alizipata kutoka Marekani na Afrika Kusini. Na alizipata habari hizo siku 3 kabla hajaaandika Twitter. Mbona hamjiulizi Wamarekani wanapata wapi COVID data za kuwaonya raia watu wachukue tahadhari na safari za kuja Tanzania? Serikali hazitoi hizi takwimu sasa Wamarekani hata Waingereza wanazipataje?
 
Mtanza
"Mtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz" anamaanisha uwe m-ccm. Usipokuwa CCM wewe si mzalendo. Ndo tulipofikia
 
Tundu Lissu anadai na kutamba taarifa zote za kuugua na umauti wa JPM alikuwa anapatiwa na vyanzo vya uhakika vilivyomo ndani ya Serikali. NI HATARI Nchi hususani za kiafrika zikifikia hali hii. Ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…