Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
its better for new faces kuliko hao walio experienced. new faces ni easy to teach.. to control.Unfortunately even the “fresh faces we need” are also partially compromised!
Wengi wamejazwa upepo! Full of a bright future on the outside but lack of the real future in the inside!
Madebe Matupu!!!
Mkuu haya ni mambo ya kawaida sana kwenye system ya watu wengi. Bush na Bush Jr walimtafuta Osama zaidi ya 10yr bila mafanikio kosa Lao kubwa lilikuwa ni kushirikisha usalama wa taifa. Obama alifanikiwa kumpata baada ya kushirikisha watu wawili tu na yeye ni wa3. Vijana wakaanza mazoezi bila kufahamu wana mission gani.
Wanajaribu kutuaminisha kitu ambacho hakipo, waambieni watuonyeshe CCTV footage zikionyesha Magufuli alilazwa na kutibiwa mzena kwa covid 19, waonyeshe magufuli akiwa anapata misaada ya upumuaji kwa kutumia machine za upumuaji, tulichokiona ni kuambia kafia mzena mwili unachukuliwa unapelekwa hospital jeshi, huku jana yake makamu wa rais alitangaza kifo cha Rais akiwa Tanga, immagine sio ikulu ni Tanga hehe, yaani makamu wa Rais na waziri mkuu wake hawana taarifa yeyote ya kuzidiwa kwa Rais wao na hata kukatisha ziara zao kurudi ikulu/makao makuu ya nchi, inavyooneka ni mtu kampigia simu samia huko aliko na akatangaza kifo baada ya hapo wakawa na jibu ni corona.Rais hajafa kwa covid-19..
Hao wanaojitambulisha ni maafisa usalama kama kachumbari sijui Chahari,hata Mbowe au Gwajima wanaweza wakawa TISS.Nikiwa kama raia mzalendo naunga mkono hoja.
Huwezi kuzuia kuvuja kwa taarifa, kwa sababu ya kujua kuwa teknolojia. Mfano gari la kubeba maiti za rais zilionekana mchana kweupe ikitoka maeneo ya Lugalo kuelekea maeneo ya Makumbusho, watu wakapiga picha na kusambaza kwa kasi ya mwanga, wakaunganisha dots na kuanza kujua what goes on. Ingekuwa zamani na Simu zetu za phillips taarifa zaisingesambaa hivyo.. Halafu taarifa nyingi zilizovuja zilikuwa na maslahi kwa taifa. Sio kila mtu anapenda wachache wake nchi, Ndio maana wanaanika uozo
Mkuu mimi lililo nisikitisha sana ni TISS kutokwenda kisayansi bali kwenda na emotions za viongozi.Ndani ya mwezi mmoja,ikulu yetu tumepoteza viongozi muhimu sana. Sio kitu cha kawaida. TISS msikae kimya.kuna jambo
Noma Sana.TISS imeingiliwa na wana siasa. haswa chama tawala. ukishakuwa kada wanakusukumizia huko.. hawajali kuhusu qualifications.
zamani TISS walikuwa wana recruit smart peoples tu. na kazi za weledi zilionekana.
lakin sasa hivi makada ndio usalama..nmatokeo yake tunapata watumishi wasio na weledi.
na huu ni mwanzo.tu.
Kwa mwendo huu wa usalama. nashindwa kuamini km Mwamba kafariki kifo chakawaida.
Ubongo wangu unagoma kabisa, maadui inaonekana wameingia hadi chumbani.
Mungu mpumzishe kwa amani mzalendo no 1. Hakika tutakukumbuka daima JPM.
MamakoKenge hapo ni nani kama siyo wewe?
Mkuu una kaujinga unakokalea kichwani mwako.
Unaiponda demokrasia eh?
Nikuulize tu, Magufuli alifikaje pale alipofika?
Au unalivunja daraja la demokrasia alimradi wewe umefika uliko fika.
Ni dhahiri Prez Magufuli alifanya mengi mazuri na ya kuigwa, lakini mengine at the expense of democratic principles.
Kama wewe hutaki democracy si basi Jeshi lipate madaraka liendeshe nchi toka zamani, kwa mawazo hayo Magufuli angeupata wapi urais?
Narudia tena , ni ujinga kudhihaki muundo wa demokrasia uliokufikisha ulipofika, halafu ukafikiria ni business as usual.
Tuliweke hilo kuwa mada ya siku nyingine.Naomba kukazia
Hakuna kitu kinaitwa demokrasia kwenye Utawala unaojitambua
Kwani Tor network ina utofauti gani na VPN kimatumizi ya ulinzi wa kimtandao?man unaweza ku hide your location without tor network.
Vpn ikiwa moja wapo. and siongoelei normal vpn.. vpn with extra tunneling.
could one or more. making hard to find the target.
"Mtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz" anamaanisha uwe m-ccm. Usipokuwa CCM wewe si mzalendo. Ndo tulipofikiaMtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz hawezi kumkumbuka huyu mtu;
Mauaji,
Utekaji,
Ajira za upendeleo wa kichama,kiukanda,n.k,
Kuhamishia mali za nchi Chato,
Kuminya Uhuru wa vyombo vya habari,
Udikteta kwa vyama vya upinzani,
Acheni unafiki.
Mnajua maana ya "mtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz"?