Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

Yani mpaka sasa naogopa I Wonder wanawake walioenda na watoto wadogo.
Mmesikia taarifa za msiba wa Mama na Watoto wake wamefariki wote baada ya mkanyagano uliotokea juzi? Msiba upo Mbezi huko.
 
Mtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz hawezi kumkumbuka huyu mtu;
Mauaji,
Utekaji,
Ajira za upendeleo wa kichama,kiukanda,n.k,
Kuhamishia mali za nchi Chato,
Kuminya Uhuru wa vyombo vya habari,
Udikteta kwa vyama vya upinzani,

Acheni unafiki.
Mnajua maana ya "mtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz"?
Moja ya post bora kabisa umeandika mkuu, salute!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli. kina uzembe mahali. kama umeona michango ya wadau utajua tatizo linaanzia wapi. somehow shirika la usalama liliyumba mahali baada ya kuruhusu wanasiasa ku temper nalo.
Ndugu TISS wanajua huu mchezo wote, na wanatumika, sasa tuna hitaji technologia kuwa na evidence ya kuwakamata wote wanao husika na mchezo huu.
 
We have never been naked nor have we ever been open!

Usaliti wa wachache husiwajumuishe wote wanaopambana kufa na kupona juu ya Taifa letu!

Let’s be real! In a place where more than 20 peeps are supposed to stand with One , with a a truth or dare moment , comprising situations hazikwepeki!

Hasa “deal” likiwa nono haswa!
Watu 20 wengi sana hata mmoja, that's mole, mpaka personal file, makabrasha, emails, groups?
Kitendo cha siri za Magufuli, Maalim, kuwa nje, hali zao za kiafya pacemaker, sijui kuugua, kifo, kuanza kutangazwa mitandaoni kabla ya matamko rasmi ya kiserikali ni shida!
Media za nje zinaripoti, ni weaknesses mbaya SANA kwenye mfumo.
Na hili huenda limetokana na uwepo na ikulu 3, Dar, Dodoma na Chato. Watumishi wengi wasio na weledi wala tija. Watumishi waliotokea kwenye fitina za chama.

Compromising situation hazikwepeki but this is way too much in my opinion.
Wafumue mfumo! Watu wapelekwe kupanga mafaili mahakamani huko.

Everyday is Saturday................................😎
 
Ndugu TISS wanajua huu mchezo wote, na wanatumika, sasa tuna hitaji technologia kuwa na evidence ya kuwakamata wote wanao husika na mchezo huu.
hauko ndani ya shirika ukaja na total conclusion ya jambo hilo. utbahatisha tu but picha halis hutoipata.
si operatives wote wa tiss ni wabaya.. wazalendo wapo sana tu.
Technology haitomake sense kama watumiaje watakuwa wale wale.
we need fresh faces kwanza.
 
Wasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwa
Kama hicho unachokihisi kwamba kinatendeka kwa sasa na vipenyo ukilinganisha na yaliyokuwa yakisemwa, yanayoendelea kusemwa ndani na nje ya mfumo basi nakubaliana nawe kwamba mfumo mzima wa usalama ni sharti ufumuliwe na kufanyiwa marekebisho makubwa ikiwa pamoja na kanuni za maadili zipitiwe upya na kuwekewa vigingi saidizi kudhibiti kuepuka viapo (The whole security detail system must be comprehensively overhauled and existing codes of ethics revisited to contain the current flaws).

Hata hivyo kutoa taarifa zinazosaidia kuokoa maisha na mali yaliyohatarini ni vema, lakini zenye mlengo wa kudhalilisha au kusuta uongozi unaowasimamia au kuingilia utekelezaji wa sula linalosaidia kuhifadhi maslahi ya taifa ni kosa na dhabu yake wenyewe wahusika wanajua huwa wanafanywa nini, lakini inawezekana katika utekelezaji wake pakawepo na uonevu hivyo kusababisha mgawanyiko unaopelekea mwathirika aliyemo ndani kutoa siri hiyo kwenda kwa adui ama kwa malipo au sharti la kusaidia kuibua kitendo kilichomumiza ndipo nia ovu zinapoanza kupangwa na kutekelezwa kwa njia isiyo shuku.

Kama kweli picha mgando au mwendo zilitolewa kabla ya tangazo la kifo kutangazwa na Mh Samia basi kazi hiyo imefanywa na mfuatiliaji wa siri kwa lengo maalum (undercover surveillance covert/snitch) ambaye anaweza kuwa ndani kama sehemu ya mfumo au nje lakini mwenye mwunganiko yakini na watu wa ndani kwa mahusiano ya udugu, urafiki, maslahi uchumi/cheo au huruma ya kibinadamu).. Kuna mwingine pia alidai katika uzi wake kwamba wamenfanyizia watu wa ndani wenye kichwa cha habari 'Fix'? ambapo kilichoandikwa humo ndani hata kabla ya tangazo rasmi ziliashiria kama utani kuwa inawezekana alikuwa hayupo tena 'he was no more/he had kicked the bucket'

Kwa kawaida watu wa usalama hawatakiwi kufahamiana labda wawe kwenye kanda ya uendeshaji moja, lakini kuna baadhi wanaweza kuwa hawakujiunga kwa wito ndipo unawakuta kusaliti viapo vya usiri hivyo kuvujisha taarifa bila kuzingatia athari zake na kulindana.

*This is an eye opener to correctly interpret the rainbow silver line to fix the traitors. Classified information won't be carelessly given away to third party without reasons and source. When you opined that Tanzania is no longer safe on claims it had been infiltrated by opponents it is a clear message to reassess its reliable and credible instruments functions as being consistently and ethically adhered to for integrity and trust restoration.
 
Watu 20 wengi sana hata mmoja, that's mole, mpaka personal file, makabrasha, emails, groups?
Kitendo cha siri za Magufuli, Maalim, kuwa nje, hali zao za kiafya pacemaker, sijui kuugua, kifo, kuanza kutangazwa mitandaoni kabla ya matamko rasmi ya kiserikali ni shida!
Media za nje zinaripoti, ni weaknesses mbaya SANA kwenye mfumo.
Na hili huenda limetokana na uwepo na ikulu 3, Dar, Dodoma na Chato. Watumishi wengi wasio na weledi wala tija. Watumishi waliotokea kwenye fitina za chama.

Compromising situation hazikwepeki but this is way too much in my opinion.
Wafumue mfumo! Watu wapelekwe kupanga mafaili mahakamani huko.

Everyday is Saturday................................😎

Kama bado unafikiri system ya utendaji ya individual personnel inashabihina na the whole system, basi bado huelewi kitu!

Umewahi kuwaza, pengine wanaotoboa vipenyo katika taasisi ya nchi na mfumo wa usalama wa nchi ni watumishi wa zamani wa kitengo?!?

Uzalendo na Usalama wa Taifa ni pipa na mfuniko!
 
Ukiisoma mitazamo na michango ya ma "NAIVE" Gts humu ndan unaweza amin kuwa kwel Tanzania imepotea na Tiss kwel hawafanyi kazi!...

Mimi binafsi naamin hiki "Whatever u think u struggled to know,THEY JUST DECIDED TO LET U KNOW"
Hakuna nyeti inayo leak kila kitu ni calculated Move.

Ndio maana hata ile event ya Lindi mkadanganywa jamaa kavuta kumbe wapi!!.

Hata hii wajinga wakawadanganya sijui jpm yuko india mara Kenya kumbe waapi!..

Do not think u can outsmart the Lads.Vijana wako vizur na wanachapa kazi 24/7..

Wabongo maisha yenu hayaendi bila umbea umbea ndio maana wanawapa hizo nyepesi mpooze machungu ya maisha magumu.

Nawasilisha
 
hauko ndani ya shirika ukaja na total conclusion ya jambo hilo. utbahatisha tu but picha halis hutoipata.
si operatives wote wa tiss ni wabaya.. wazalendo wapo sana tu.
Technology haitomake sense kama watumiaje watakuwa wale wale.
we need fresh faces kwanza.

Unfortunately even the “fresh faces we need” are also partially compromised!

Wengi wamejazwa upepo! Full of a bright future on the outside but lack of the real future in the inside!

Madebe Matupu!!!
 
..kama kuna watu ndani ya Tiss wanafanya UHALIFU basi watu hao na matendo yao lazima yafichuliwe.

..haiwezekani hiki chombo kiwe kinafanya kazi kwa maslahi ya CCM, badala ya maslahi ya taifa, halafu baadhi yetu tunaita huo ni uzalendo.
 
Alikpelekwa Kenya. Siyo uongo! Mengi tuliyoambiwa ni kweli. Aliugua corona ikajulikana. Alipelekwa Kenya ikashindikana akarudishwa. Chanzo cha haya yote ni Magufuli kuibinafsisha TISS na kwa kuweka watu wake wasio na weledi. Wewe hushangai usalama unamwacha rais mapaka anakufa kwa corona wakati warning signs zilikuwepo tena nyingi?
 
Rais hajafa kwa covid-19..
 
..kama kuna watu ndani ya Tiss wanafanya UHALIFU basi watu hao na matendo yao lazima yafichuliwe.

..haiwezekani hiki chombo kiwe kinafanya kazi kwa maslahi ya CCM, badala ya maslahi ya taifa, halafu baadhi yetu tunaita huo ni uzalendo.
Joka, hiki chombo kimechezewa. Wamewekwa watu kwa vigezo vya ukada na ukanda. Upinzani na watu wanaomkosoa rais ndiyo job description yao. Hivi watu hawashangai ilikuwaje rais apate corona wakati warning signs zilikuwepo kwa watu wake wa karibu kupata corona? Tena mtu mwenyewe alikuwa kwenye risk group.
 
MAMA SAMIA SULUHU HASSANI RAIS WA AWAMU YA SITA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SHAHADA YA HESHIMA ( PHD YA HESHIMA).

Wale wanao tunuku viongozi PHD ya heshima huu ndiyo muda sahihi, Mh.Sami Suluhu Hassani kutunukiwa Udaktari wa Heshima, kwa sababu zifuatazo:-

1.Ni,mwanamke wa kwanza kuwa makamo wa Rais Tanzania
2 Ni, Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania

3.Kuenzi mchango wa akinamama viongozi na wasio viongozi Tanzania.

Kwani hili tunaona hata JK alikuwa anatunikiwa na yeye shahada nyingi kama kutambua mchango wake kulingana na jinsi alivyoshughulikia jambo au

Hapa chini ni Baadhi ya PHD za heshima alizotunukiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiwa Raisi wa awamu ya 4 wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania

Kwa kumbukumbu zangu, mbali na Degree ya Uchumi "aliyoisomea" Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK katunukiwa PhD za heshima zifuatazo:

1. PhD kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta. Hii PhD ya heshima alitunukiwa kwa sababu ya kile kilichoelezwa kuwa ni mchango wake JK katika kusuluhisha mgogoro wa kisiasa uliotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007.

2. PhD ya pili ni ile ya heshima aliyotunukiwa kule Uturuki[hapa sikumbuki ni ya nini].

3.Kutoka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, JK alitunikiwa PhD ya heshima ya Sheria wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, na miaka 50 Chuo hicho.

4.PhD ya nne ni ile aliyotunukiwa pale Chuo Kikuu cha Dodoma chini ya Ben Mkapa.

NB:Kabla ya kupewa PhD ya UDOM, JK alitunukiwa tena Shahada ya Sayansi Tiba huko Chuo Kikuu cha Muhimbili chini ya A H. Mwinyi..

5. PhD ya tano, ni ile ya heshima aliyotunukiwa huko Canada hivi karibuni kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kwa kutambuliwa kwa mchango wa JK katika kilimo hapa

IMG-20210323-WA0053.jpg
 
Back
Top Bottom