wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Mmesikia taarifa za msiba wa Mama na Watoto wake wamefariki wote baada ya mkanyagano uliotokea juzi? Msiba upo Mbezi huko.Yani mpaka sasa naogopa I Wonder wanawake walioenda na watoto wadogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmesikia taarifa za msiba wa Mama na Watoto wake wamefariki wote baada ya mkanyagano uliotokea juzi? Msiba upo Mbezi huko.Yani mpaka sasa naogopa I Wonder wanawake walioenda na watoto wadogo.
Moja ya post bora kabisa umeandika mkuu, salute!Mtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz hawezi kumkumbuka huyu mtu;
Mauaji,
Utekaji,
Ajira za upendeleo wa kichama,kiukanda,n.k,
Kuhamishia mali za nchi Chato,
Kuminya Uhuru wa vyombo vya habari,
Udikteta kwa vyama vya upinzani,
Acheni unafiki.
Mnajua maana ya "mtanzania wa kweli na mwenye uchungu na Tz"?
Ndugu TISS wanajua huu mchezo wote, na wanatumika, sasa tuna hitaji technologia kuwa na evidence ya kuwakamata wote wanao husika na mchezo huu.ni kweli. kina uzembe mahali. kama umeona michango ya wadau utajua tatizo linaanzia wapi. somehow shirika la usalama liliyumba mahali baada ya kuruhusu wanasiasa ku temper nalo.
Watu 20 wengi sana hata mmoja, that's mole, mpaka personal file, makabrasha, emails, groups?We have never been naked nor have we ever been open!
Usaliti wa wachache husiwajumuishe wote wanaopambana kufa na kupona juu ya Taifa letu!
Let’s be real! In a place where more than 20 peeps are supposed to stand with One , with a a truth or dare moment , comprising situations hazikwepeki!
Hasa “deal” likiwa nono haswa!
hauko ndani ya shirika ukaja na total conclusion ya jambo hilo. utbahatisha tu but picha halis hutoipata.Ndugu TISS wanajua huu mchezo wote, na wanatumika, sasa tuna hitaji technologia kuwa na evidence ya kuwakamata wote wanao husika na mchezo huu.
Kama hicho unachokihisi kwamba kinatendeka kwa sasa na vipenyo ukilinganisha na yaliyokuwa yakisemwa, yanayoendelea kusemwa ndani na nje ya mfumo basi nakubaliana nawe kwamba mfumo mzima wa usalama ni sharti ufumuliwe na kufanyiwa marekebisho makubwa ikiwa pamoja na kanuni za maadili zipitiwe upya na kuwekewa vigingi saidizi kudhibiti kuepuka viapo (The whole security detail system must be comprehensively overhauled and existing codes of ethics revisited to contain the current flaws).Wasaidizi wa Rais wana vifaa maalumu vya kunusa hatari,Wanaweza kudetect devices.Kitendo cha mtu kupita pale na Camera wakati walikataza jua hawa jamaa hawako makini.Any time hata Rais angeweza kuvamiwa
Watu 20 wengi sana hata mmoja, that's mole, mpaka personal file, makabrasha, emails, groups?
Kitendo cha siri za Magufuli, Maalim, kuwa nje, hali zao za kiafya pacemaker, sijui kuugua, kifo, kuanza kutangazwa mitandaoni kabla ya matamko rasmi ya kiserikali ni shida!
Media za nje zinaripoti, ni weaknesses mbaya SANA kwenye mfumo.
Na hili huenda limetokana na uwepo na ikulu 3, Dar, Dodoma na Chato. Watumishi wengi wasio na weledi wala tija. Watumishi waliotokea kwenye fitina za chama.
Compromising situation hazikwepeki but this is way too much in my opinion.
Wafumue mfumo! Watu wapelekwe kupanga mafaili mahakamani huko.
Everyday is Saturday................................😎
hauko ndani ya shirika ukaja na total conclusion ya jambo hilo. utbahatisha tu but picha halis hutoipata.
si operatives wote wa tiss ni wabaya.. wazalendo wapo sana tu.
Technology haitomake sense kama watumiaje watakuwa wale wale.
we need fresh faces kwanza.
Na ndio maana nasema nchi haipo salama,kuna Vijana wa TISS siyo waaminifu wanatoa taarifa nje. Hii kitu siyo ya kuchekea kabisa ni hatari sana
Rais hajafa kwa covid-19..Alikpelekwa Kenya. Siyo uongo! Mengi tuliyoambiwa ni kweli. Aliugua corona ikajulikana. Alipelekwa Kenya ikashindikana akarudishwa. Chanzo cha haya yote ni Magufuli kuibinafsisha TISS na kwa kuweka watu wake wasio na weledi. Wewe hushangai usalama unamwacha rais mapaka anakufa kwa corona wakati warning signs zilikuwepo tena nyingi?
Joka, hiki chombo kimechezewa. Wamewekwa watu kwa vigezo vya ukada na ukanda. Upinzani na watu wanaomkosoa rais ndiyo job description yao. Hivi watu hawashangai ilikuwaje rais apate corona wakati warning signs zilikuwepo kwa watu wake wa karibu kupata corona? Tena mtu mwenyewe alikuwa kwenye risk group...kama kuna watu ndani ya Tiss wanafanya UHALIFU basi watu hao na matendo yao lazima yafichuliwe.
..haiwezekani hiki chombo kiwe kinafanya kazi kwa maslahi ya CCM, badala ya maslahi ya taifa, halafu baadhi yetu tunaita huo ni uzalendo.
Sikulazimishi. Baki na ulinachojua.Rais hajafa kwa covid-19..
Sawa tiss mzalendoSikulazimishi. Baki na ulinachojua.